Huu Hapa Ukweli Mchungu

black-tz

Member
Jul 20, 2021
38
55
Isingekuwa Rahisi Kufika Hapa,
Huu Hapa Ukweli Mchungu 25 NILIOJIFUNZA kwa Gharama Kubwa:

UZI.

#SIKU100ZAUHURU

1. Duniani hakuna cha bure.

2. Hakuna anayekuja kukusaidia.

3. Unalipwa kulingana na thamani yako.

4. Una option ya kuwa mzalishaji au mlaji.

5. Unakuwa kile unachofikiria. Uchaguzi ni wako.

6. Kila unapolalamika unamaanisha wewe ni mhanga.

7. Ukiona unaletewa fursa mezani, ujue wewe ndio fursa.

8. Muda ndio asset ghali zaidi duniani. Hufai kucheza nayo.

9. Hata uwe mzuri kiasi gani, lazima kuna mtu ata-hate tu.

10. Kama hakuna risk, hakuna mtonyo. Mtonyo, una njia zake.

11. Maisha sio fair, hayajawahi kuwa fair, na hayatawahi kuwa.

12. Tunapewa muda sawa. Namna unavyoutumia ni juu yako.

13. Usipotekeleza ahadi na malengo yako, unapoteza kujiamini.

14. Hakuna jambo jema linakuja kwa wepesi, jasho lazima livuje.

15. Energy hufata attention. Chagua pa kupeleka attention yako.

16. Njia bora ya kukwepa disappointments ni kupunguza expectations.

17. Watu wengi unaowaita marafiki ni masinitch. Jifunze kutofautisha.

18. Daima watu watachagua namna ya kuku-judge, ufanye au usifanye.

19. Binadamu anaweza kubadilika wakati wowote, na hakuna kitu utafanya.

20. Bahati hutengenezwa. Huwezi kuokota dodo ukiwa maghetoni. Laizma utoke.

21. Usipokuwa makini dunaini watu watakugeuza kama chapati na kukutimia vibaya.

22.Unaogopa macho ya watu. Kumbuka hakuna atakayekuja kukulipia bills na chakula chako.

23.Afya ni matji. Ni ujinga kuipoteza ukiwa unatafuta ili uje uinunue ghali ukiwa kitandani.

24.Maisha ni magumu, na watu ni wakatili sana, usitegemee kila ubaya kulipwa kwa ubaya.

25.Moyo mwema ni tuzo. Mara 1000 uwe na true love, kuliko kukimbizana kanisani na msikitini huku ukiombea wenzako mabaya.

REPOST Iwafikie Wana!
 
Isingekuwa Rahisi Kufika Hapa,
Huu Hapa Ukweli Mchungu 25 NILIOJIFUNZA kwa Gharama Kubwa:

UZI.

#SIKU100ZAUHURU

1.Duniani hakuna cha bure.

2.Hakuna anayekuja kukusaidia.

3.Unalipwa kulingana na thamani yako.

4.Una option ya kuwa mzalishaji au mlaji.

5.Unakuwa kile unachofikiria. Uchaguzi ni wako.

6.Kila unapolalamika unamaanisha wewe ni mhanga.

7.Ukiona unaletewa fursa mezani, ujue wewe ndio fursa.

8.Muda ndio asset ghali zaidi duniani. Hufai kucheza nayo.

9.Hata uwe mzuri kiasi gani, lazima kuna mtu ata-hate tu.

10.Kama hakuna risk, hakuna mtonyo. Mtonyo, una njia zake.

11.Maisha sio fair, hayajawahi kuwa fair, na hayatawahi kuwa.

12.Tunapewa muda sawa. Namna unavyoutumia ni juu yako.

13.Usipotekeleza ahadi na malengo yako, unapoteza kujiamini.

14.Hakuna jambo jema linakuja kwa wepesi, jasho lazima livuje.

15.Energy hufata attention. Chagua pa kupeleka attention yako.

16.Njia bora ya kukwepa disappointments ni kupunguza expectations.

17.Watu wengi unaowaita marafiki ni masinitch. Jifunze kutofautisha.

18.Daima watu watachagua namna ya kuku-judge, ufanye au usifanye.

19.Binadamu anaweza kubadilika wakati wowote, na hakuna kitu utafanya.

20.Bahati hutengenezwa. Huwezi kuokota dodo ukiwa maghetoni. Laizma utoke.

21.Usipokuwa makini dunaini watu watakugeuza kama chapati na kukutimia vibaya.

22.Unaogopa macho ya watu. Kumbuka hakuna atakayekuja kukulipia bills na chakula chako.

23.Afya ni matji. Ni ujinga kuipoteza ukiwa unatafuta ili uje uinunue ghali ukiwa kitandani.

24.Maisha ni magumu, na watu ni wakatili sana, usitegemee kila ubaya kulipwa kwa ubaya.

25.Moyo mwema ni tuzo. Mara 1000 uwe na true love, kuliko kukimbizana kanisani na msikitini huku ukiombea wenzako mabaya.

REPOST Iwafikie Wana!
Nice
 
Tuishi humo yaani, kiufupi yaani watu watakupenda baada ya kuona faida kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom