Kuahirishwa kwa Safari ya Mwanza......

mi nipo mwanza sijawahi kuhusishwa na wing ya mwanza why charminglady

Ni kwa sababu hushughuliki nayo... At the first and second meeting tulikuwa tunaweka uzi hapa hapa jukwaani kwa ajili ya kualikana. Baada ya kufahamiana tukawa na utaratibu wa kutoweka. BTW karibu!!!
 
Last edited by a moderator:
Preta.........!

Kwa kweli Mi binafsi nilipopata ujumbe huu ya ghafla kwa kweli ilinitatiza sana kwani kwa jinsi wadau walivyojipanga kwa kweli ndipo nikakumbuka ule usemi wa wahenga ya kwamba "Mvuna janga hula na wa kwao" Kwa kweli udhuru huu ni kwamba tumtangulize Mola katika yote haya.
Ila wadau wa Jiji la Mwanza wajisikie ya kwamba ugeni huu utawahusu tu.
Tutakiane kheri na hata haya yaliyojitokeza na hata pepo mchafu wa kuharibu mipango ya watu na ashindwe kabisa kwa jina Bwana wa majeshi aliye hai na hata sasa!
 
Last edited by a moderator:
woman_hiding_face.jpg

Aibuuuuu.... Sijui ntaufichaapi uso wangu!!!!
 
Nimeshindwa kuchangia hii thread tangu imewekwa! Binafsi nlitamani sana niwe Mwz leo ila sina la kusema! Ntamwambia nini amu? Ni lugha gani nitamweleza Honey Faith!? Niweleze nini brenda18!!?
Anyway, Mungu ndiye mpangaji wa yote! Kama alivyosema Dark City, "hamu haiishi utamu", tunajipanga upya na tutakuja mwanza kama tulivyopanga!
Hiyo ni promise na naamini tutaitimiza soon!
Poleni sana wote walioumizwa na jambo hili, hasa mpendwa wangu charminglady!
 
Last edited by a moderator:
Preta.........!

Kwa kweli Mi binafsi nilipopata ujumbe huu ya ghafla kwa kweli ilinitatiza sana kwani kwa jinsi wadau walivyojipanga kwa kweli ndipo nikakumbuka ule usemi wa wahenga ya kwamba "Mvuna janga hula na wa kwao" Kwa kweli udhuru huu ni kwamba tumtangulize Mola katika yote haya.
Ila wadau wa Jiji la Mwanza wajisikie ya kwamba ugeni huu utawahusu tu.
Tutakiane kheri na hata haya yaliyojitokeza na hata pepo mchafu wa kuharibu mipango ya watu na ashindwe kabisa kwa jina Bwana wa majeshi aliye hai na hata sasa!

Eimen,tena ashindwe kabisa yani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom