Kuahirishwa kwa Safari ya Mwanza......

Kuahirishwa kwa Safari ya Mwanza......

Sitaongea kitu kwenye hii thread, uso wa mwanadamu umeumbwa na Aibu.

Neno moja tu liende kwa charminglady, "Nisamehe kwa ile mipango mizito tuliyokuwa tayari tushaipanga".
Nadhani kwa hapo inatosha.

Imeniuma beyond Normal Explanation.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa kuchangia hii thread tangu imewekwa! Binafsi nlitamani sana niwe Mwz leo ila sina la kusema! Ntamwambia nini amu? Ni lugha gani nitamweleza Honey Faith!? Niweleze nini brenda18!!?
Anyway, Mungu ndiye mpangaji wa yote! Kama alivyosema Dark City, "hamu haiishi utamu", tunajipanga upya na tutakuja mwanza kama tulivyopanga!
Hiyo ni promise na naamini tutaitimiza soon!
Poleni sana wote walioumizwa na jambo hili, hasa mpendwa wangu charminglady!

Mkuu nishapoa aisee.... Nilihisi kupasuka!!!!!!!
 
Back
Top Bottom