Ayaaaahh...
Dr unajua nilishaaga hapa mtaani kuwa naenda kukutana na Preta wa jeiefu...sura yangu sijui nitaificha wapi mimi!!!
Hata hivyo kama ulivyotangulia kuandika, Mola ndiye mpangaji wa zetu ratiba.
Atatujumuisha tu tena panapo majaaliwa yake!
![]()
Aibuuuuu.... Sijui ntaufichaapi uso wangu!!!!
Nimeshindwa kuchangia hii thread tangu imewekwa! Binafsi nlitamani sana niwe Mwz leo ila sina la kusema! Ntamwambia nini amu? Ni lugha gani nitamweleza Honey Faith!? Niweleze nini brenda18!!?
Anyway, Mungu ndiye mpangaji wa yote! Kama alivyosema Dark City, "hamu haiishi utamu", tunajipanga upya na tutakuja mwanza kama tulivyopanga!
Hiyo ni promise na naamini tutaitimiza soon!
Poleni sana wote walioumizwa na jambo hili, hasa mpendwa wangu charminglady!
Eti . . . . . . . .!!????
Damn!!!!!!!!!
Eti . . . . . . . .!!????
Damn!!!!!!!!!
Poleeeee ila usijali tutakwenda siku nyingine
Siku nyingine ndio nini bana??
Na mimi naomba twende woote
Jiraniiiiii. Pole.
Nimepamisi kweli Luxury aiseeee. Sijui niende New Years Eve?Hahaha jirani nishapoa atii...
Siye wa kipande yetu kule acha tuendelee na mitoko yetu ya Kilimani Temboni au Mbezi Luxury..
Kwa heshima na taadhima.........naomba nisogee mbele yenu.....(kwa niaba ya Arusha Wing).......kwa masikitiko......kuwaeleza wale wote waliokuwa wanatutarajia wageni wao kutoka Arusha kuelekea Mwanza.......kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu........(majukumu kuzidi)......tutashindwa kuhitimisha safari yetu hii kwa sasa hadi hapo tutakapoweza kujipanga tena.
Shukrani zetu zimwendee kila mmoja wenu......ambao mlikuwa mmejitolea kutupokea na tuwaombe samahani sana.......kama binadamu huwa tunapanga.....lakini mpangaji mkuu huwa ni Mungu.....
Mpendwa wetu charminglady.......tunaomba radhi kwa kutokuweza kufika.......umejitahidi sana kutuwekea mambo sawa lakini ndio kama hivyo tena........tunaomba uwafikishie na wengine uliokuwa nao kwenye team yako salam zetu hizi za masikitiko.......tutakuja siku nyingine........
Tunawashukuru wote mlioonyesha moyo wa kuungana na sisi.......Mungu atajalia tutafanikisha hili.........siku zijazo.......
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/547912-jf-mwanza-wing-mpo-arusha-wing-tunakuja-kuwashikaaa.html..
Asanteni Sana.........
cc: Filipo.. marejesho.... Arushaone.... Valentina.... Tonykp.... Lily Flower..... PakaJimmy..... Dark City.... Mwanyasi..... SnowBall.... IGWE... LiverpoolFC.... Madame B.... Mzee wa Rula... Kaizer.... watu8... KOKUTONA.... Cantalisia.... Blaki Womani......
Nimeshindwa kuchangia hii thread tangu imewekwa! Binafsi nlitamani sana niwe Mwz leo ila sina la kusema! Ntamwambia nini amu? Ni lugha gani nitamweleza Honey Faith!? Niweleze nini brenda18!!?
Anyway, Mungu ndiye mpangaji wa yote! Kama alivyosema Dark City, "hamu haiishi utamu", tunajipanga upya na tutakuja mwanza kama tulivyopanga!
Hiyo ni promise na naamini tutaitimiza soon!
Poleni sana wote walioumizwa na jambo hili, hasa mpendwa wangu charminglady!
Nimepamisi kweli Luxury aiseeee. Sijui niende New Years Eve?
There is always next time, Mwanza wing msife moyo tunajipanga na tunamtanguliza Mungu atupe wepesi wa kila tulipangalo hakika tutafanikiwa, maana hakuna lisilowezekana mbele ya Mungu.
Hahaaa. Pazuri. Ila hapakujaa kweli na ilikuwa weekend?Nilikuwepo hapo jana Jmosi jirani...si unajua palivyo tulivu na yale mazingira asilia...