Mbatia kaipa serikali vidonge vyake juu ya maisha ya watu wasio na hatia yanayopotea kila kukicha. R.I.P dr.Sengondo Mvungi.
Mbatia ni part ya Magamba!Ameteuliwa na Rais,sio mpinzani
Mbatia kaipa serikali vidonge vyake juu ya maisha ya watu wasio na hatia yanayopotea kila kukicha. R.I.P dr.Sengondo Mvungi.
Mvungi atakumbukwa kwa katiba mpya. Yafaa tumuenzi kwa mambo yafuatayo
1.0 Waziri kutokuwa mbunge,
2.0 Viti maalumu kutokuwepo,
3.0 Kupunguza baraza la mawaziri
4.0 Viongozi wote waliwahi kushika nafasi basi wasiishi nje ya nchi baada ya ukomo wa uongozi wao
5.0 Serikali ihakikishe katika kila rasilimali ya ardhi basi inamiliki japo 20% ikiwemo gesi na madini.
Kupitia kituo cha Television cha ITV, kazi ya kuagwa kwa gwiji la Sheria na Siasa ndo imeanza muda huu. Tufuatilie...
Wakuu naona choo kimeingia na CD yake ya CHADEMACHADEMA andaeni maandamano ya kulaani kuuwawa kwa mvungi.
Alikuwa mtaalam wa karate na judo...
Kupitia kituo cha Television cha ITV, kazi ya kuagwa kwa gwiji la Sheria na Siasa ndo imeanza muda huu. Tufuatilie...
Namwona Mwigulu Nchemba naye yumo