kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,709
- 25,487
Nilijipa likizo kidogo ya kama week hivi nione kama zoezi litakua endelevu ili niache kabisa mambo ya tungi.
Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi tatu za chap chap kuchangamsha akili kwanza.
Kuacha tungi ni zoezi gumu sana wakuu.
Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi tatu za chap chap kuchangamsha akili kwanza.
Kuacha tungi ni zoezi gumu sana wakuu.