Kuacha kuongeza mshahara ni kosa kubwa

Kuacha kuongeza mshahara ni kosa kubwa

Watanzania wanapenda kuchezewa gemu za kitoto sana kama ilivyokuwa inafanyika awali wanashindwa kuelewa ya kwamba ni bora zaidi kustabilise bei za kiuduma na vyakula kuliko kuongeza mishahara mf UK salary per 8 hrs ni pounds 12 na pesa nakiwango hiki kimedumu kwa zaidi ya muongo mmoja sasa with no changes ninachotaka kusema hapa ni kwamba serekali inaweza kuongeza mshahara at the same time ikaongeza bei petrol kwa shs 75 ikakuuzia vocha kwa mia 5 ila ikakupunja muda wa maongezi kufidia hili watu wakabaki wanacheka kupanda mshahara kama mazuzu bila kufahamu maumivu yanakuja kwa njia gani #JPM,#CHACHU_OMBARA waone
 
wasilisheni kwa waziri wa fedha Dr. Philipo Mpango anaweza anaweza lipa angalau hayo malimbikizo ya mshara(arreas) na likizo zenu, hayo mengine yanaweza kushughulikia taratibu.
 
Watanzania wanapenda kuchezewa gemu za kitoto sana kama ilivyokuwa inafanyika awali wanashindwa kuelewa ya kwamba ni bora zaidi kustabilise bei za kiuduma na vyakula kuliko kuongeza mishahara mf UK salary per 8 hrs ni pounds 12 na pesa nakiwango hiki kimedumu kwa zaidi ya muongo mmoja sasa with no changes ninachotaka kusema hapa ni kwamba serekali inaweza kuongeza mshahara at the same time ikaongeza bei petrol kwa shs 75 ikakuuzia vocha kwa mia 5 ila ikakupunja muda wa maongezi kufidia hili watu wakabaki wanacheka kupanda mshahara kama mazuzu bila kufahamu maumivu yanakuja kwa njia gani
Na vipi kuhusu wafanyakazi kupandishwa vyeo/madaraja kwa mujibu wa sheria na taratibu za kazi? Tuachane kwanza na hiyo stori ya kuongezewa mishahara.

Unafahamu kuna watu tangu walipoajiriwa mwaka 2014 mpka leo wanaishi kwa mshahara ule ule sawa na walioajiriwa 2015,16,17,18 na 19? Na hii nayo lengo ni kustabilize huo mfumuko wa bei?

Halafu mbona Mgombea wako hakutoa sababu hiyo? Yeye alisema ataongeza baada ya uhakiki(akaingia mitini), baaada ya kununua ndege (napo akaingia mitini) na pia baada ya kutoka madarakani (na mwaka huu Lissu anamtoa kweli madarakani) lakini wapi!!! Hakuna kitu.
 
Aisee!! Yaani nikiwa kama mfanyakazi badala ya kudai nyongeza ya mshahara, kupandishwa daraja kwa wakati, mazingira bora ya kufanyia kazi, kurudishwa fao la kujitoa,kulipwa pensheni kwa wakati, nk. Nipiganie ujenzi wa barabara!!

Hilo ni jukumu la serikali yoyote ile iliyopo madarakani. Mfanyakazi analipa kodi kila mwezi, mfanyabiashara naye analipa kodi hiyo hiyo kwa utaratibu aliowekeana na serikali! Mkulima naye analipa kodi baada ya kuuza mazao yake!

Kodi hiyo ndiyo inayotakiwa sasa kuendeshea serikali iliyopo madarakani, pamoja na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo zikiwemo hizo barabara! Hili somo umfikishie MZEE! Sawa? By the way, foleni iko nchi nzima au ni huko Dar tu mnakong'ang'ania wote kuishi?
Mbona madaraja wafamyakazi wanaostahili wanapandishwa! Mwaka jana mwezi wa Mei walipandishwa wanaostahili na mwaka huu wamepandishwa au wewe unataka upandishwaji holela wale wanaostahili waachwe na wapandishwe wasiostahili?

Sawa serikali inakusanya kodi, jaribu kudadavua kwa kusoma bajeti kuu tu utaona kuwa mishahara na ulipaji wa madeni yaliyoiva unachukua zaidi ya nusu ya makusanyo. Hicho kinachobakia ndicho kinapelekwa kwenye huduma za afya, elimu miundombinu nk ili sasa kuongeza uwezo zaidi wa mapato ya kodi. Unafikiri ukiongezwa kiholela mshahara bei za vitu zitabakia jinsi zilivyo? Nakwambia tunaweza kuwa kama Zimbabwe. Unajua kitu kinaitwa hyper inflation?
 
Tumia nafsi ya kwanza umoja wewe, mbona unawasemea watu. Mimi ni mtumishi ila mimi na familia yanguna hatutampigia kura raisi Magufuli.
Watumishi wengi tu wa umma ttutamchagua Magufuli; labda wale wezi wa fedha za umma ambao wamebanwa ndio hawatamchagua.

Wewe kwanza nina mashaka kama ni mtumishi, mtumishi gani anapinga ujenzi wa barabara? Yaani faida za barabara huzioni hata hilo la kuwahi kwenda na kurudi nyumbani kwa sababu ya flyoover na barabara kuwa zimejengwa hivyo kupunguza foleni.
 
Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi, makandarasi na watoa huduma. Baada ya makundi haya kulipwa ndio wanazipeleka hela hizo kwa wananchi kwa kufanya manunuzi, kutoa michango Kama ya harusi na kuwatumia ndugu zao hela za matumizi na kuufanya mzunguuko wa hela uwepo kwenye jamii.

Ukubwa wa mzunguuko wa pesa unategemea pia ukubwa wa manunuzi ya waliopewa pesa hizo kutoka hazina, yaani wafanyakazi na ukubwa wa manunuzi utakaofanywa na wafanyakazi utategemea pia ukubwa wa malipo waliopewa kutoka hazina, yaani na mwajiri.

Idadi ya watu kwenye ngazi ya familia, mitaa, Kijiji, kata, wilaya, mkoa na taifa inayohitaji pesa huwa inaongezeka kila mwaka, Hivyo, usipowaongezea hela watumishi kwa miaka mitano maana yake watu wote wakioongezeka kwa kipindi hicho Cha miaka 5 watanyang'anya hela hiyo hiyo ya watu waliokuwepo miaka 5 iliyopita na kuufanya mzunguko wa hela uwe mdogo na maisha kuonekana kuwa magumu.

Ili mzunguko wa pesa uwe mzuri na maisha kuwa nafuu ni lazima yafuatayo yafanyike kila mwaka:

1. Ajira ziongezeke kila mwaka pia kama vile jamii inavyoongekeza pia.
2. Mishahara iongezwe kila mwaka pia Kama jamii inavyoongekeza pia.
3. Watoa huduma serikalini walipwe kwa wakati na waongezeke pia kila mwaka.
4. Juhudi za kuzuia uongezeko la watu lipewe kipaumbele.
6. Uzalishaji kwenye ngazi ya kata, Kijiji, kata, wilaya na taifa lazima uongezeke.
7. Masoko ya uhakika ya bidhaa lazima yawepo na yaongezeke.

Kama mambo haya yasipofanyika usije ukatafuta mchawi, maana mtoto anapolia njaa huwezi kumwambia subiri flyovers zinajengwa, mzazi anapokosa ada ya mtoto hawezi kusubiri ndege zinunuliwe kwanza. Gari yako inapokosa mafuta huwezi kusubiri barabara iishe. Na hii ndiyo maana kila mtumishi bila kuangalia anafanya kazi gani huwa anafurahia sherehe za May day kila mwaka ikiwa na matarajio kuwa huenda kutakuwa na nyongeza.

Kama ukiona mfanyakazi hata awe housegirl ambae hajalipwa au hajaongezewa mshahara anakuchekea ujuwe wazi kuwa anakudanganya.
 
Attachments

  • C84_rEgbaVsqAAof.mp4
    141.1 KB
Yeye mwenyewe alikuwa mwalimu anajua ugumu WA kuishi na mshahara mpaka akakimbilia kwenye siasa. Wafanyakazi wanaishi Kwa taabu Kadi za Benki zimeshikiliwa na watoa mikopo umiza. Anaepata shida akimpigia tutamshangaa.
 
Uhuru,haki na Maendeleo ya watu -- Chagua Chadema ,ChaguaTundu Lissu.
 
Hela hazimwagwi tu katika uchumi bali zinategemea ukuaji wa uchumi husika . Kama ukuaji wa pesa katika mzunguko ni mkubwa kuliko ukuaji wa uchumi kutatokea ongezeko kubwa la bei za bidhaa na huduma hivyo ongezeko halitakuwa na faida yeyote kwa mfanyakazi na wananchi na utarudi hapa kulialia kuwa bei ziko juu. Pili thamani ya shilingi kulinganisha na Dola au Euro na pesa zingine za nje itashuka na kuchochea zaidi uporomokaji wa shilingi.

Tatu, hizo flyover, miundombinu na ndege unazoona hazifai kwa uelewa wako wa uchumi sio sahihi; kwani iujenzi wa miundombinu (public works) unachochea ongezeko la ajira na pesa mtaani hivyo kuongeza demand ya vitu mbalimbali na hivyo kufanya uzalishaji wa bidhaa na huduma uongezeke na kupelekea kipato mtaani kuongezeka.

Hayo unayoita naendeleo ya vitu kiuhalisia ndiyo maendeleo ya watu. Sasa hivi DSM tunakula matikiti yanayotoka Sumbawanga kwa sababu ya miundombinu ya barabara na masoko iliyojengwa hivyo kufanya pesa ya wanadsm kutiririka mpaka ndani kabisa remote area; kama barabara za kuunganisha mikoa na wilaya zisingejengwa mazao toka remote areas ya Tanzania yasingefika sokoni Dar au kuuzwa nchi za nje. Leo hii nyama inachinjwa Dodoma na kupelekwa uarabuni ni kwa sababu barabara, viwanja ya ndege vimejengwa hivyo kuchochea ukuaji wa demand ambao unapelekea ukuaji wa uzalishaji katika sekta husika moja kwa moja na pia indirectly katika sekta zingine zinazosapoti sekta husika mfano kama nyumba za wageni, baa za pombe, ukahaba, saluni za urembo, sekta za vifungashio, uchukuzi, dizeli na petroli nk.

Kama unalinganisha pesa za wizi na ufisadi zilizokuwa zinaibwa na wafanyakazi wa serikali na kuja kumwagwa mitaani kupitia matanuzi na maendeleo binafsi hizo kwa sasa hazipo na hazitarudi kamwe. Pesa hizo hizo sasa ndizo serikali inazielekeza katika ujenzi wa miundombinu, zahanati, hospitali, na huduma zingine za kijamii. Mambo ya misheni tawni hayataruhusiwa tena kwa sababu wizi unaumiza wengi na kufaidisha wachache. Hivyo kama ulikuwa unafaidika na mnyororo wa wizi, jipange katika shughuli halali iwe kujiajiri au kuajiriwa.

Tarehe 28 Oktoba tukampigie kura Magufuli na wabunge na madiwani wa CCM ili aendelee kuipaisha Tanzania. Kwa kasi yake nina hakika hadi kufikia 2025 tutakuwa tumeingia higher middle income country status.
Je, uwezo wa wananchi wetu kutumia usafiri wa ndege ukoje? ni wakulima, wafugaji, wavuvi, wafanyabiashara na wafanyakazi wangapi wanaoweza kuacha kutumia barabara ili wapande ndege kusafiri? ni heri tungenunua ndege nyingi za mizigo na ndege chache za abiria kwa awamu moja. Lazima kwanza ujenge uwezo wa wananchi kumudu kupanda ndege, kupanda reli ya kisasa na kununua bidhaa za viwanda kabla ya uwekezaji. Yaani lazima kuwe na demand kubwa ya bidhaa kabla ya kushuhulika na supply na sio kinyume chake. Mfano, kama ukinunua ndege ya abiria kabla ya kujua kuna uhitaji mkubwa kiasi gani wa ndege kwenda na kutoka wapi ni kosa. Hii inaweza kusababisha ndege ya abiria ikatumika kusafirisha mizigo, au ndege ya masafa marefu ikatumika kwa usafiri wa ndani (domestic).
 
Yeye mwenyewe alikuwa mwalimu anajua ugumu WA kuishi na mshahara mpaka akakimbilia kwenye siasa. Wafanyakazi wanaishi Kwa taabu Kadi za Benki zimeshikiliwa na watoa mikopo umiza. Anaepata shida akimpigia tutamshangaa.

Yaani wafanyakazi wa serikali watakaomchagua jiwe lazima watakuwa wana mtindio wa ubongo(ukiacha walamba miguu ,wachumia tumbo hao watamchagua coz wananufaika na uwepo wa jiwe),akiingia huyo mtu 2020-2025 itakuwa ni kusaga meno ,kama sasa tunakula mlo mmoja akiingia tena hata huo mlo mmoja tutakosa.
 
Hawaongezi mshahara lakini wameweka riba ya 6% kwenye makato ya bodi ya mikopo kila mwaka wao wanaita retention fee. Ukiwauliza hiyo riba ya nini, wanakwambia hiyo ni muhimu kwa sababu fedha inashuka thamani kila mwaka, kwamba hiyo sh 100 uliyokopa mwaka juzi siyo sawa na sh 100 ya leo.

Ukiwaambia kuwa kama hivyo ndivyo kwa nini basi hamuongezi mishahara kila mwaka ili kulinda thamani ya mshahara husika kutokana na gharama za maisha kupanda na pesa kushuka thamani?, Hawana majibu ya kueleweka!
Hebu mfikirie Daktari ambae amesoma miaka 5 kwa mkopo ni deni kubwa kiasi gani? Daktari huyo aliyesoma kwa mkopo miaka 5 ndiye anayetibu wagonjwa wa korona huku akiwa na deni kubwa kiasi hicho na kamshahara kake kakiwa kanakatwa 15% ya marejesho ya deni hilo, kodi ya mapato, NSSF, NHIF na makato mengine anaponunua bidhaa. Pamoja na yote hayo bado hajaongezewa mshahara kwa miaka 5.
 
Je, uwezo wa wananchi wetu kutumia usafiri wa ndege ukoje? ni wakulima, wafugaji, wavuvi, wafanyabiashara na wafanyakazi wangapi wanaoweza kuacha kutumia barabara ili wapande ndege kusafiri? ni heri tungenunua ndege nyingi za mizigo na ndege chache za abiria kwa awamu moja. Lazima kwanza ujenge uwezo wa wananchi kumudu kupanda ndege, kupanda reli ya kisasa na kununua bidhaa za viwanda kabla ya uwekezaji. Yaani lazima kuwe na demand kubwa ya bidhaa kabla ya kushuhulika na supply na sio kinyume chake. Mfano, kama ukinunua ndege ya abiria kabla ya kujua kuna uhitaji mkubwa kiasi gani wa ndege kwenda na kutoka wapi ni kosa. Hii inaweza kusababisha ndege ya abiria ikatumika kusafirisha mizigo, au ndege ya masafa marefu ikatumika kwa usafiri wa ndani (domestic).
Maximum capacity utilization huwa haifikiwi wakati wa mwanzo wa biashara, hata wewe ukifungus duka leo hii utapata wateja wachache lakini baada ya miaka kadhaa biashara yako itskuwa na wateja wengi. Ndio maana kuna business plan.
Nikuulize hizo ndege zinaenda tupu bila abiria? Nauli wanayolipa kuna kodi ya serikali yaani VAT, airport tax; pia ndege inatumia mafuta ambayo yanalipiwa kodi kadhaa, vyakula ndani ya ndege vinanumuliwa toka local supplers, wafanyakazi ndani ya ndege, ardhini airpirt kama wa wabeba mizigo, wakata tiketi, walinzi, waomgoza ndege yote haya ni ongezrko la ajira ambapo mwisho wa siku wanafanya manunuzi ya bidhaa kwa hao unaosema hawajawahi kupanda ndege hivyi kusababisha increased demand ya wanachozalisha na pia kupato zaidi. Watalii wanatumia ndege kwa usafiri wa ndani hiyo nayo inaongexa kipato ktk uchumi wa ndani.
Kabla ya corona ATCL Zilikuwa inaenda nje ya nchi kama Comoro, Kenya, Rwanda nk pua kulukuwa na mpango wa kwemda China na india hayo huyaoni? Safari za nje zinaigiza pesa za kigeni hivyo kuchangia kustabilise shilingi.

Ukianalye backward and forward ya uwepo wa ndege zilizonunuliwa utaona manufaa makubwa sana lakini kwa kuwa mnakariri kama kasuku anachawaambia Lissu ndio maana mnaona ndege hazi a manufaa. Niwaambie tu serikali i kuna planners na wachumi wazuri tu ambao wanapanga mioango ya nxhi hii vizuri usufikiri Rais aluamua tu kununua ndege.
Unayoyaona lei ni matokeo ya Tanzania Development Vision 25 iliyoasisiwa mwaka 1999.

Sasa hivi wakulima wa mikoa yote wanauza mazao yao Dsm sababu ya kuboreshwa miundombinu ya ndege, barabara, reli mambo mliyokaririshwa kuwa ni maendeleo ya vitu. Ndizi za Ngara, nyanya za Songea, dagaa wa kugoma, mchele wa Mpanda, matikiti ya Rukwa, samaki wabichi wa Mwanza, nk yanaletwana kuuzwa Dar.

Nakushauri tafuta mchumi akupige shule kidogo kuhusu abc za uchumi.
Miundombinu na service sector ndiyo key factor ya ukuaji wa kasi wa uchumi wowote ule sababu unafungua potential wealth zilizoko ndani ndani ziweze kuchakatwa na kufikishwa sokoni katika miji au nje ya nchi.
 
Itakuwa vizuri mtu aje akujibu kwa hoja lakini sio wale wa kuropoka tu.
 
Foolish kabisa,PUMBA
Hela hazimwagwi tu katika uchumi bali zinategemea ukuaji wa uchumi husika . Kama ukuaji wa pesa katika mzunguko ni mkubwa kuliko ukuaji wa uchumi kutatokea ongezeko kubwa la bei za bidhaa na huduma hivyo ongezeko halitakuwa na faida yeyote kwa mfanyakazi na wananchi na utarudi hapa kulialia kuwa bei ziko juu. Pili thamani ya shilingi kulinganisha na Dola au Euro na pesa zingine za nje itashuka na kuchochea zaidi uporomokaji wa shilingi.

Tatu, hizo flyover, miundombinu na ndege unazoona hazifai kwa uelewa wako wa uchumi sio sahihi; kwani iujenzi wa miundombinu (public works) unachochea ongezeko la ajira na pesa mtaani hivyo kuongeza demand ya vitu mbalimbali na hivyo kufanya uzalishaji wa bidhaa na huduma uongezeke na kupelekea kipato mtaani kuongezeka.

Hayo unayoita naendeleo ya vitu kiuhalisia ndiyo maendeleo ya watu. Sasa hivi DSM tunakula matikiti yanayotoka Sumbawanga kwa sababu ya miundombinu ya barabara na masoko iliyojengwa hivyo kufanya pesa ya wanadsm kutiririka mpaka ndani kabisa remote area; kama barabara za kuunganisha mikoa na wilaya zisingejengwa mazao toka remote areas ya Tanzania yasingefika sokoni Dar au kuuzwa nchi za nje. Leo hii nyama inachinjwa Dodoma na kupelekwa uarabuni ni kwa sababu barabara, viwanja ya ndege vimejengwa hivyo kuchochea ukuaji wa demand ambao unapelekea ukuaji wa uzalishaji katika sekta husika moja kwa moja na pia indirectly katika sekta zingine zinazosapoti sekta husika mfano kama nyumba za wageni, baa za pombe, ukahaba, saluni za urembo, sekta za vifungashio, uchukuzi, dizeli na petroli nk.

Kama unalinganisha pesa za wizi na ufisadi zilizokuwa zinaibwa na wafanyakazi wa serikali na kuja kumwagwa mitaani kupitia matanuzi na maendeleo binafsi hizo kwa sasa hazipo na hazitarudi kamwe. Pesa hizo hizo sasa ndizo serikali inazielekeza katika ujenzi wa miundombinu, zahanati, hospitali, na huduma zingine za kijamii. Mambo ya misheni tawni hayataruhusiwa tena kwa sababu wizi unaumiza wengi na kufaidisha wachache. Hivyo kama ulikuwa unafaidika na mnyororo wa wizi, jipange katika shughuli halali iwe kujiajiri au kuajiriwa.

Tarehe 28 Oktoba tukampigie kura Magufuli na wabunge na madiwani wa CCM ili aendelee kuipaisha Tanzania. Kwa kasi yake nina hakika hadi kufikia 2025 tutakuwa tumeingia higher middle income country status.
 
Kuna mtu ukimpa ushauri wa kitaalamu unaotiririka kama huo, hakuelewi anaweza hata kukufukuza kazi! Yaani watumishi wa serikali ya awamu ya tano wamepitia maumivu makali sana! Tuzidi kumuomba Mungu awaletee watumishi kiongozi atakayewafuta machozi!
 
Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi, makandarasi na watoa huduma. Baada ya makundi haya kulipwa ndio wanazipeleka hela hizo kwa wananchi kwa kufanya manunuzi, kutoa michango Kama ya harusi na kuwatumia ndugu zao hela za matumizi na kuufanya mzunguuko wa hela uwepo kwenye jamii.

Ukubwa wa mzunguuko wa pesa unategemea pia ukubwa wa manunuzi ya waliopewa pesa hizo kutoka hazina, yaani wafanyakazi na ukubwa wa manunuzi utakaofanywa na wafanyakazi utategemea pia ukubwa wa malipo waliopewa kutoka hazina, yaani na mwajiri.

Idadi ya watu kwenye ngazi ya familia, mitaa, Kijiji, kata, wilaya, mkoa na taifa inayohitaji pesa huwa inaongezeka kila mwaka, Hivyo, usipowaongezea hela watumishi kwa miaka mitano maana yake watu wote wakioongezeka kwa kipindi hicho Cha miaka 5 watanyang'anya hela hiyo hiyo ya watu waliokuwepo miaka 5 iliyopita na kuufanya mzunguko wa hela uwe mdogo na maisha kuonekana kuwa magumu.

Ili mzunguko wa pesa uwe mzuri na maisha kuwa nafuu ni lazima yafuatayo yafanyike kila mwaka:

1. Ajira ziongezeke kila mwaka pia kama vile jamii inavyoongekeza pia.
2. Mishahara iongezwe kila mwaka pia Kama jamii inavyoongekeza pia.
3. Watoa huduma serikalini walipwe kwa wakati na waongezeke pia kila mwaka.
4. Juhudi za kuzuia uongezeko la watu lipewe kipaumbele.
6. Uzalishaji kwenye ngazi ya kata, Kijiji, kata, wilaya na taifa lazima uongezeke.
7. Masoko ya uhakika ya bidhaa lazima yawepo na yaongezeke.

Kama mambo haya yasipofanyika usije ukatafuta mchawi, maana mtoto anapolia njaa huwezi kumwambia subiri flyovers zinajengwa, mzazi anapokosa ada ya mtoto hawezi kusubiri ndege zinunuliwe kwanza. Gari yako inapokosa mafuta huwezi kusubiri barabara iishe. Na hii ndiyo maana kila mtumishi bila kuangalia anafanya kazi gani huwa anafurahia sherehe za May day kila mwaka ikiwa na matarajio kuwa huenda kutakuwa na nyongeza.

Kama ukiona mfanyakazi hata awe housegirl ambae hajalipwa au hajaongezewa mshahara anakuchekea ujuwe wazi kuwa anakudanganya.
WanaLumumba sijui kama watakuelewa. Pia kutokupandishwa kwa mishahara ya wafanyakazi imewaumiza sana wasitaafu. Pension zao kwa miaka mitano haijapanda na maisha yanazidi kuwa magumu kwa kuwa hawawezi kufanya kazi nyingine ya kuwaongezea kipato. Namshauri TL azungumzie jambo hili ili akombe kura za wasitaafu.
 
Nitawashangaa mno watanzania hasa wafanyakazi kama watampa kura ya ndiyo huyu mgombea... !!
 
Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi, makandarasi na watoa huduma. Baada ya makundi haya kulipwa ndio wanazipeleka hela hizo kwa wananchi kwa kufanya manunuzi, kutoa michango Kama ya harusi na kuwatumia ndugu zao hela za matumizi na kuufanya mzunguuko wa hela uwepo kwenye jamii.

Ukubwa wa mzunguuko wa pesa unategemea pia ukubwa wa manunuzi ya waliopewa pesa hizo kutoka hazina, yaani wafanyakazi na ukubwa wa manunuzi utakaofanywa na wafanyakazi utategemea pia ukubwa wa malipo waliopewa kutoka hazina, yaani na mwajiri.

Idadi ya watu kwenye ngazi ya familia, mitaa, Kijiji, kata, wilaya, mkoa na taifa inayohitaji pesa huwa inaongezeka kila mwaka, Hivyo, usipowaongezea hela watumishi kwa miaka mitano maana yake watu wote wakioongezeka kwa kipindi hicho Cha miaka 5 watanyang'anya hela hiyo hiyo ya watu waliokuwepo miaka 5 iliyopita na kuufanya mzunguko wa hela uwe mdogo na maisha kuonekana kuwa magumu.

Ili mzunguko wa pesa uwe mzuri na maisha kuwa nafuu ni lazima yafuatayo yafanyike kila mwaka:

1. Ajira ziongezeke kila mwaka pia kama vile jamii inavyoongekeza pia.
2. Mishahara iongezwe kila mwaka pia Kama jamii inavyoongekeza pia.
3. Watoa huduma serikalini walipwe kwa wakati na waongezeke pia kila mwaka.
4. Juhudi za kuzuia uongezeko la watu lipewe kipaumbele.
6. Uzalishaji kwenye ngazi ya kata, Kijiji, kata, wilaya na taifa lazima uongezeke.
7. Masoko ya uhakika ya bidhaa lazima yawepo na yaongezeke.

Kama mambo haya yasipofanyika usije ukatafuta mchawi, maana mtoto anapolia njaa huwezi kumwambia subiri flyovers zinajengwa, mzazi anapokosa ada ya mtoto hawezi kusubiri ndege zinunuliwe kwanza. Gari yako inapokosa mafuta huwezi kusubiri barabara iishe. Na hii ndiyo maana kila mtumishi bila kuangalia anafanya kazi gani huwa anafurahia sherehe za May day kila mwaka ikiwa na matarajio kuwa huenda kutakuwa na nyongeza.

Kama ukiona mfanyakazi hata awe housegirl ambae hajalipwa au hajaongezewa mshahara anakuchekea ujuwe wazi kuwa anakudanganya.
Magu hatufai kabisa
 
NA IPOSIKU MISHAHARA ITASITISHWA RASMI KWA KIPINDI FLANI, ILIFEDHA HIYO IKATEKEREZE MIRADI YA MAENDELEO KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE. MAENDELEO SIO KUONGEZA MISHAHARA . SAWAAA, SAAWAA?????
 
Back
Top Bottom