Yani hajaonzaKuondoa FAO la kujitoa ni kosa kubwa.
Hasa Sekta binafsi, FAO la kujitoa ni haki na muhimu.
Watu wanafanya kazi kwa malengo, mkataba ikiisha alipwe Pesa yake yote na akajiajiri na kuajiri wengine.
Magufuli ulikosea sana na bado Magufuli husikilizi.
Jiwe anajiamini ataiba kura
Acha kubwata wewe . Hujui lolote kuhusu utumishi wa umma, unaleta ujinga wako wa UK. Ili uonekane unajua kumbe mjinga tu.Watanzania wanapenda kuchezewa gemu za kitoto sana kama ilivyokuwa inafanyika awali wanashindwa kuelewa ya kwamba ni bora zaidi kustabilise bei za kiuduma na vyakula kuliko kuongeza mishahara mf UK salary per 8 hrs ni pounds 12 na pesa nakiwango hiki kimedumu kwa zaidi ya muongo mmoja sasa with no changes ninachotaka kusema hapa ni kwamba serekali inaweza kuongeza mshahara at the same time ikaongeza bei petrol kwa shs 75 ikakuuzia vocha kwa mia 5 ila ikakupunja muda wa maongezi kufidia hili achwatu wakabaki wanacheka kupanda mshahara kama mazuzu bila kufahamu maumivu yanakuja kwa njia gani #JPM,#CHACHU_OMBARA waone
Watumishi wa serikali wako wangapi!?Unazijua taratibu za kazi au unalalamika tu na kuwaonea wivu walioajiriwa? Kuna mtu alikuzuia na wewe kuajiriwa? Halafu aliyekuambia huo mchango wako ndiyo unaomlipa mfanyakazi ni nani?
Na unachangia kodi kiasi gani walau kwa mwezi tu? Au ndiyo kile kitambulisho ulichopewa na magufuli na kukilipia kwa elfu 20 kwa mwaka? Unaifahamu kodi wanayolipishwa wafanyakazi kila mwezi kulingana na madaraja yao ya kiutumishi?
Da we jamaa una akili Sana.Daa! Kaka hebu fanya utafiti mdogo Kati ya Kijiji ambacho kina shule ya msingi na sekondari, zahanati, na kituo Cha polisi na Kijiji ambacho hakina vitu hivyo kwenye mzunguuko wa fedha. Kijiji chenye watu walioajiriwa wengi hata wakulima wananufaika kwa kuuza mazao yao ya shambani na mifugo, nyumba za kupangisha na hata biashara zinapata wanunuzi kwa wingi kuliko Kijiji ambacho hakina watumishi. Baada ya watumishi kulipwa mwisho wa mwezi au kupata mikopo ya benk hufanya matumizi ambayo hata wasioajiriwa wananufaika na mishahara hiyo kwa njia moja au nyingine.
Walioajiriwa wakipata mshahara wanawatumia wazazi wao kijijini, wanalimiwa, wanajenga, wananunua nyama, wanahonga, nk
Maneno haya yaniathiri ccm pakubwa ,Ni vile wee hujui tu.Wafanyakazi wameongezewa mishahara chungu nzima
Mwambieni na Mbowe akuongezeeni hapo ufipa
Maneno haya yaniathiri ccm pakubwa ,Ni vile wee hujui tu.
Anachokisema ni uongo.Da
Da we jamaa una akili Sana.
Wengi hawajui ukweli huu.
Ukiondoa huo mzunguko wa fedha uliosema Kuna huduma Bora itokanayo na kuwa na maslahi Bora.
Mfano waalimu,madaktari,manesi,Mapolisi wanaolipwa vizuri hutoa huduma nzuri,Bora na upendo juu.
Waalimu wanaolipwa vizuri Watoto wetu hupata elimu Bora.
Wewe hujui kutofautisha Kati ya microeconomy na macroeconomy. Katika uchumi mdogo waajiriwa ndio game changers. Waajiriwa ndio kundi Tanzania ambalo hata mabenki linawaani, yaani wanakopesheka. Idadi ya kukopa benk na ukubwa wa pensions unategemea na ukubwa wa mshahara mtumishi analipwa kwa mwezi. Kama mtumishi hajaongezewa mshahara kwa miaka uwezo wake wa kukopa hela nyingi umepungua na hela inayokwenda kwenye mifuko ya hifadhi za jamii inapungua pia, hivyo kupunguza purchasing power ya mfanyakazi. Kama uwezo wa manunuzi ukipungua maana yake hata biashara zitadorora. Hapa ndipo watu watakapojidanganya kuwa wameounguza mfumko wa Bei, lakini sio kweli kuwa wameounguza mfumko wa bei bali watu hawana hela ya kumeet demands zao. Utakuta nyanya na matikiti yanaozea kwenye meza sokoni na shambani kwa mkulima sio kwasababu uzalishaji umeongezeka Bali watu hawawezi kumudu kununua nyanya japo wanazihitaji.Anachokisema ni uongo.
Miji yenye mzunguko mkubwa wa fedha ni miji ya wafanyabishara na wachuuzi.. ukija na nadharia hiyo unieleze how watumishi ambao hardly wanafika mil 2 na mishahara yao ni around trilioni moja kwenye uchumi mkubwa kama Tanzania wanakuwa major spenders!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nyie ndio mnagawana keki ya taifa sio?Hela hazimwagwi tu katika uchumi bali zinategemea ukuaji wa uchumi husika . Kama ukuaji wa pesa katika mzunguko ni mkubwa kuliko ukuaji wa uchumi kutatokea ongezeko kubwa la bei za bidhaa na huduma hivyo ongezeko halitakuwa na faida yeyote kwa mfanyakazi na wananchi na utarudi hapa kulialia kuwa bei ziko juu. Pili thamani ya shilingi kulinganisha na Dola au Euro na pesa zingine za nje itashuka na kuchochea zaidi uporomokaji wa shilingi.
Tatu, hizo flyover, miundombinu na ndege unazoona hazifai kwa uelewa wako wa uchumi sio sahihi; kwani iujenzi wa miundombinu (public works) unachochea ongezeko la ajira na pesa mtaani hivyo kuongeza demand ya vitu mbalimbali na hivyo kufanya uzalishaji wa bidhaa na huduma uongezeke na kupelekea kipato mtaani kuongezeka.
Hayo unayoita naendeleo ya vitu kiuhalisia ndiyo maendeleo ya watu. Sasa hivi DSM tunakula matikiti yanayotoka Sumbawanga kwa sababu ya miundombinu ya barabara na masoko iliyojengwa hivyo kufanya pesa ya wanadsm kutiririka mpaka ndani kabisa remote area; kama barabara za kuunganisha mikoa na wilaya zisingejengwa mazao toka remote areas ya Tanzania yasingefika sokoni Dar au kuuzwa nchi za nje. Leo hii nyama inachinjwa Dodoma na kupelekwa uarabuni ni kwa sababu barabara, viwanja ya ndege vimejengwa hivyo kuchochea ukuaji wa demand ambao unapelekea ukuaji wa uzalishaji katika sekta husika moja kwa moja na pia indirectly katika sekta zingine zinazosapoti sekta husika mfano kama nyumba za wageni, baa za pombe, ukahaba, saluni za urembo, sekta za vifungashio, uchukuzi, dizeli na petroli nk.
Kama unalinganisha pesa za wizi na ufisadi zilizokuwa zinaibwa na wafanyakazi wa serikali na kuja kumwagwa mitaani kupitia matanuzi na maendeleo binafsi hizo kwa sasa hazipo na hazitarudi kamwe. Pesa hizo hizo sasa ndizo serikali inazielekeza katika ujenzi wa miundombinu, zahanati, hospitali, na huduma zingine za kijamii. Mambo ya misheni tawni hayataruhusiwa tena kwa sababu wizi unaumiza wengi na kufaidisha wachache. Hivyo kama ulikuwa unafaidika na mnyororo wa wizi, jipange katika shughuli halali iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Tarehe 28 Oktoba tukampigie kura Magufuli na wabunge na madiwani wa CCM ili aendelee kuipaisha Tanzania. Kwa kasi yake nina hakika hadi kufikia 2025 tutakuwa tumeingia higher middle income country status.
Swali langu ni kuwa hii trilioni moja ya watu milioni mbili pekee ndio inaendesha uchumi!?Wewe hujui kutofautisha Kati ya microeconomy na macroeconomy. Katika uchumi mdogo waajiriwa ndio game changers. Waajiriwa ndio kundi Tanzania ambalo hata mabenki linawaani, yaani wanakopesheka. Idadi ya kukopa benk na ukubwa wa pensions unategemea na ukubwa wa mshahara mtumishi analipwa kwa mwezi. Kama mtumishi hajaongezewa mshahara kwa miaka uwezo wake wa kukopa hela nyingi umepungua na hela inayokwenda kwenye mifuko ya hifadhi za jamii inapungua pia, hivyo kupunguza purchasing power ya mfanyakazi. Kama uwezo wa manunuzi ukipungua maana yake hata biashara zitadorora. Hapa ndipo watu watakapojidanganya kuwa wameounguza mfumko wa Bei, lakini sio kweli kuwa wameounguza mfumko wa bei bali watu hawana hela ya kumeet demands zao. Utakuta nyanya na matikiti yanaozea kwenye meza sokoni na shambani kwa mkulima sio kwasababu uzalishaji umeongezeka Bali watu hawawezi kumudu kununua nyanya japo wanazihitaji.
Hata kwenye bar wateja Ni wengi mwisho wa mwezi, hata madukani wateja Ni wengi mwisho wa mwezi , hata karo za shule malipo Ni makubwa mwisho wa mwezi , hata michango ya harusi ahadi zinalipwa nyingi mwisho wa mwezi, hata supermarket wanunuzi Ni wengi mwisho wa mwezi. Kwanini?
Ukweli Ni kwamba mheshimiwa alikosa ushauri mzuri kwenye hili, maana hata uwezo wa Askari kunywa pombe umepungua sana pia. Hivyo hata Askari lazima Kuna wanaosema hapana hiki, hata wale usalama wa taifa ambao walikuwa wakisafiri nje ya nchi wakati Mkuu wa nchi akisafiri nje nao pia uwezo wao wa manunuzi umeshuka maana hakukua na safari nyingi za nje Kama zamani.
Ndio Hawa afande. Maana kundi hili lina wanajeshi, polisi, uhamiaji, usalama wa taifa, wauguzi, madakatari, wakusanya ushuru, walimu, wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri, wazoa taka, marubani, nk ambao ndiyo injini ya uchumi. Kundi hili linaonekana dogo kwa maoni yako lakini ndio uti wa mgongo wa taifa na uchumi kwa ujumla, Kama kundi hili ukilichanganya ubongo hata hayo makundi mengine hayatafua dafu.Swali langu ni kuwa hii trilioni moja ya watu milioni mbili pekee ndio inaendesha uchumi!?
Ndiyo inanunua matikiti yasioze, nyanya na kunde sokoni!?
Ni hawa watu milioni mbili tu watumishi wa serikali ndio wanaostabilize uchumi mdogo wa Tanzania!?
Ni hao tu watu milioni mbili wanaokula mazao ya kilimo!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unajua Mishahara ya watumishi ni kiasi gani kwa mwaka!?Ndio Hawa afande. Maana kundi hili lina wanajeshi, polisi, uhamiaji, usalama wa taifa, wauguzi, madakatari, wakusanya ushuru, walimu, wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri, wazoa taka, marubani, nk ambao ndiyo injini ya uchumi. Kundi hili linaonekana dogo kwa maoni yako lakini ndio uti wa mgongo wa taifa na uchumi kwa ujumla, Kama kundi hili ukilichanganya ubongo hata hayo makundi mengine hayatafua dafu.
Unachotaka tuamini Ni kuwa watumishi Ni kundi ambalo sio muhimu sanakuliko mengine.Unajua Mishahara ya watumishi ni kiasi gani kwa mwaka!?
Tozo zao za kodi Unazifahamu!?
Unaweza kusema bila kupepesa Tozo zinazotoka kwa wafanyakazi wa serikali ni kubwa na nyingi kuliko kundi jingine lolote!?
Na unaweza kusema bila shaka pato la wafanyakazi ndilo pekee linalotengeneza highest spenders nchini!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nachotaka kuamini watumishi ni kundi muhimu kama makundi mengine. Na special treatment kama za kuongezwa mishahara zinaweza kuwa extended kwa makundi mengine pia.. kwa namna tofauti.. and once that happens watumishi wafurahie pia kwa niaba ya watanzania wa makundi mengine waliokumbukwa.Unachotaka tuamini Ni kuwa watumishi Ni kundi ambalo sio muhimu sanakuliko mengine.
Na FAO LA KUJITOA?Shule hulipi ada,hiyo hela badala ya kulipa ada ongeza kwenye mshahara wako,bwawa la Umeme likiisha Umeme ukishuka bei,ile hela unayo save kutokana na umeme kupungua ongeza kwenye mshahara wako,
Nikukumbushe tu kuwa mtumishi ni yule mtu ambae anapangiwa na mwajiri wake anze na kumaliza kazi muda, siku, mwezi na mwaka gani. Kwa mtumishi wa serikali yeye anapangiwa hivyo na serikali kwa manufaa ya makundi mengine. Hapa unaongelea watu kama walimu, madakatari, wakusanya kodi, polisi, wanajeshi, zima moto, wahasibu, makuli, nk. Hawa mara nyingi huwa wanapunzika na kufanya mambo yao binafsi siku 28 tu kwa mwaka. Kama mtu huyu utamruhusu afanye kazi nyingine kama vile kufuga kuku, samaki, bata au kuwa na kiosk, shamba au kitu kingine cha kumuongezea kipato basi utakaribisha huduma duni kwa anaowahudimia kwenye ajira yake mama. Kwa maana nyingine huyu mtumishi lazima amtegemee mwajiri wake kwa 99.9% kwa kipato chake vinginevyo malalamiko kwa wapokea huduma zake yatajitokeza tu.Nachotaka kuamini watumishi ni kundi muhimu kama makundi mengine. Na special treatment kama za kuongezwa mishahara zinaweza kuwa extended kwa makundi mengine pia.. kwa namna tofauti.. and once that happens watumishi wafurahie pia kwa niaba ya watanzania wa makundi mengine waliokumbukwa.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app