Hakuna kitu kama hicho!Mimi niliacha nanikaomba tena serikalini nikapata.Labda waanze leo huo utaratibu.
mzee, hauajiriwi tena ukiacha kazi, achilia mbali hizo post za juu, hizi za watu wa chini, hao tume ya ajira wanayo database kama uliacha wakakuweka x ukiapply tena baadaye unaonekana kuwa wewe ni wa kupata kazi na kuachaacha hivyo watafikiriwa wenzio. hivyo ndivyo nilivyosikia, wenye uhakika zaidi mtujuze. hata hivyo, kwanini uache, tumikia taifa kijana jenga taifa lako.
habari wadau....nauliza wataalamu hivi ni kweli kisheria ukiacha kazi serikalini hutaajiriwa tena serikalini?? mazingira hapa yakoje...ntashukuru kwa majibu yenu
Hakuna kitu kama hicho!Mimi niliacha nanikaomba tena serikalini nikapata.Labda waanze leo huo utaratibu.
Mimi pia niliambiwa na afisa utumishi mmoja kuwa kwasasa data base zipo pouwa nakuanzia mwaka jana ukiacha kazi ndio kwa heri kwa serikali ..thou cna valid report
Mimi pia niliambiwa na afisa utumishi mmoja kuwa kwasasa data base zipo pouwa nakuanzia mwaka jana ukiacha kazi ndio kwa heri kwa serikali ..thou cna valid report
Serikali kuu au Local Government ukiacha kazi hutaruhusiwa kurudi tena. Na kama ni kurudi labda iwe ni kwa kibali maalum toka utumishi tena kupitia kwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kasheshe yake ni kubwa sana. Na imewekewa mkazo miaka ya karibuni.
My close friend ameacha kaz 2010 taasisi moja ya serikali na juzi ameanza kaz PSPF utaratibu wa kumkataza mtu kuajiriwa tena lazima uwe na sheria na ndio mngeiweka hapa sio maneno matupu tu!
Mkuu refer my earlier post nimesema ukiajiriwa serikali kuu au local government. Hizo ulizotaja ni taasisi za serikali huwa ni autonomous/independent kwa masuala mengi. Kwa maana hiyo kama umeajiriwa taasisi ya serikali ni rahisi ku move utakavyo hata kama utaenda private persee na kurudi tena it is ok. Kama utakanyaga serikali kuu na LG ukiondoka umeondoka!!! Kurudi ni utapitia taratibu ndefu na mara nyingi si rahisi!!! Utarudi tu kama ujuzi uliokuwa nao hakuna popote, which is not practicable for the time being. Anyway, details ni nyingi sana ila cha msingi elewa hivyo!!!