Sina furaha na ajira yangu, natamani kuacha. Je, nitaachaje?

Amie whitney

Member
May 21, 2023
78
183
Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu nachukia kufanya kazi labda ni sababu ni wilaya niliyokuwepo.

Nilikuwa kwenye shirika x mkoa x baada ya kutoka ajira za Serikali mwaka jana nikaamua kuomba hizo ajira nikahisi huku ni assurance ila sasa baada ya kuingia huku kwenye ajira za Serikali kupo hovyo, mazingira ya kazi ni magumu sana huku Tamisemi aisee.

Nafikiri kuacha kazi.
 
Mwanzo Mgumu, Badilika Geuza changamoto zako ziwe fursa. alafu achana na motivational speakers kuhusu kutajirika kazini (Mapema) na fikiria zaidi kuisaidia jamii yako.

❤️जीवनकीसीख_2c91b3a6_1594019229577_cmprsd_40.jpg
 
Wadau kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu nachukia kufanya kazi labda ni sababu ni wilaya niliyokuwepo

Nilikuwa kwenye shirika x mkoa wa wa x baada ya kutoka ajira za Serikali mwaka jana nikaamua kuomba hizo ajira nikahisi huku ni assurance ila sasa baada ya kuingia huku kwenye ajira za Serikali kupo hovyo, mazingira ya kazi ni magumu sana huku Tamisemi aisee.

Nafikiri kuacha kazi.
Nilishawahi kusema watu serikalini wanapenda kuingia kwa sababu ya ulimbukeni tu na wakiingia tu kinachofuata ni majuto na kufa moyo.

1. Mazingira magumu

2. Marupurupu hakuna

3. Mishahara MIDOGO

4. Exposure zero

5. Connection zero

Kufanya kazi TAMISEMI Nchi hizi za ulimwengu wa tatu ni ishara ya Umaskini tosha.
 
Back
Top Bottom