Kuna mdogo wangu wa kike kamaliza kidato cha Nne ana div 4 ya 30
CIV - 'F' HIST - 'D' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'F'. Anapenda kusomea Nursing je kwa maksi hizo anaweza kupata nafasi?
Anaweza kusoma Astashahada ya Awali ya Community Health au ya Pharmaceutical SciencesAmepata;
C-biology
C-geography
D-chemistry
F-physics
F-b/mathematics
C-english
Anaweza kusoma clinical officer?.
Aombe Kozi ya Astashahada ya awali ya Pharmaceutical Sciences au Community Healthebana wakuu samahani,nna mdogo angu ana D-ya phys,chem,bios.ila mathematics kapata F.sasa sikuelewa katika guidance book ya nacte wamesema ni D ya masomo4 katika hayo na mathe pia.je huyu kijana anaweza ombaaa chuo cha govt?
Unaweza Apply Astashahada ya Awali ya Community Health au Pharmaceutical Sciences provided una D nne including Biology......Kama mtu olevel hukusoma physics lakin una BIOS na chem unaweza kuapply na je ni course gan unaweza kuomba.
Na pili nmesikia ukitaka kuomba vyuo vya afya vya serikali ni kwa wale waliomaliz 2008 na kuendelea Kama kinyume na hapo unatakiwa uapply private je ni kweli??? Naomben majibu ya kujitosheleza.
Anaweza kusoma Astashahada ya awali ya Community Health au Pharmaceutical Sciences provided analo somo la nne ambalo amefaulu kuacha Phys, Chem na Bios, kama English, etcebana wakuu samahani,nna mdogo angu ana D-ya phys,chem,bios.ila mathematics kapata F.sasa sikuelewa katika guidance book ya nacte wamesema ni D ya masomo4 katika hayo na mathe pia.je huyu kijana anaweza ombaaa chuo cha govt?
Anaweza kusoma Astashahada ya awali ya Community Health au Pharmaceutical Sciences provided analo somo la nne ambalo amefaulu kuacha Phys, Chem na Bios, kama English, etc
nyamchele bila phys na chem unaweza kusoma pharmaceutical science??
Soma kwenye Tangazo la NACTE....hii CBET Curriculum......mtu anaweza ku exit NTA level 4, 5, au 6. Na entry qualifications ni tofauti kulingana na Level unayotaka kusoma...... Angalia kipengele namba mbili na namba tatu kwenye hilo Tangazo then utanisadia kuelewa kama nimekosea.......I stand to be corrected......never.... never...never!!! hauwezi wewe...
View attachment 331101
Kulingana na barua ya NACTE hapo juu Astashahada ya awali (Basic Technician Certificate in Pharmaceutical Sciences) inahitaji pass nne za D mojawapo ni Biology. Hapo wamespecify Biology tu na masomo mengine matatu (Hawajasema yawe Physics wala Chemistry), Hawa watu wana exit kwenye NTA level 4.......Na hii kozi ndio ilmekuwa ikitolewa na Pharmacy Council........Kama mtu anataka kusoma NTA level 5 (Technician Certificate in Pharmaceutical Science) hapo watahitaji D za Chemistry, Biology, Maths and English. Angalia Tangazo la NACTE sehemu ya Stashahada ya Awali ya Pharmaceutical Sciences na Community Health......I stand to be corrected......
Tunaendelea. Nikija mwenyew ndio kuna kua na uhakika wa kupata campus ya Dar ama?MaGumashi yapo kila Sehemu Ndugu yah Kama ni hivyo its better ukaja mwenyewee baada ya kujaza Form wakati wa kurudisha!
Hamna ndugu unaweza ukaja na ukakosa pia ila atleast unaweza kuwa na uhakika wa kuwa form yako imepokelewa na unapo kuja uwe na lengo moja kuwa unatka kozi fulani ingawa kwenye Form unajaza Kozi tatu kuanzia chaguo lako la kwanza hadi la mwisho ila ni mara chache sana ukakosa kozi y kwanza wa kakupeleka ya pili au ya tatu ni mara chache sanaaTunaendelea. Nikija mwenyew ndio kuna kua na uhakika wa kupata campus ya Dar ama?
Aah ok. Asante. . Ktk ya course ya pharmacetical; environmental ipi ni nzur kati ya hizoHamna ndugu unaweza ukaja na ukakosa pia ila atleast unaweza kuwa na uhakika wa kuwa form yako imepokelewa na unapo kuja uwe na lengo moja kuwa unatka kozi fulani ingawa kwenye Form unajaza Kozi tatu kuanzia chaguo lako la kwanza hadi la mwisho ila ni mara chache sana ukakosa kozi y kwanza wa kakupeleka ya pili au ya tatu ni mara chache sanaa
Muhimbili wana programme za afya kwa masomo ya jioni lakini hakuna certtificate pale ya medicine wala clinical officer pale kuna kozi zifuatazoMimi ni mwlm wa level ya degree nafikilia kuomba certifcate ya medicine, Je kunauwezekano wa kusoma hyo coz nikiwa nyumba (kam day school) maana kwenda kukaa boarding nivigumu kwangu(siwez kupata ruhusa kazini)
Pia naomba kujuzwa certificate ni program ya miaka mingapi?
Matokeo yangu ya kidato cha4 ni chem D, phy C, math B, bios D, engl D, kisw C, geog D, civcs C, hist F.
Advance PCM, phy E math E chem S
Karibuni kwa ushauri........
Pharmacy ndo the best! kama ana Vigezo usipepese muombee hioAah ok. Asante. . Ktk ya course ya pharmacetical; environmental ipi ni nzur kati ya hizo
Ah ah ah ah et nisipepese macho. And masomo yapoje. Vigezo amekidhi vyotePharmacy ndo the best! kama ana Vigezo usipepese muombee hio
Yah iko pouwa sana Phamarcy....Masomo yake kibishi magumu according to wanao soma wanalalamikia kuwa ina mambo mengi so inategemea kichwa cha mtu ila wanao ongoza kudisco na kusup hapa ni Pharmacy afu wanafuata Watu wa Maabara so iko Pouwa,ila Pamoja na ugumu wake sikushauri kuomba Environmental health kama unategemea Elimu ikutoeAh ah ah ah et nisipepese macho. And masomo yapoje. Vigezo amekidhi vyote
Asante sana.Yah iko pouwa sana Phamarcy....Masomo yake kibishi magumu according to wanao soma wanalalamikia kuwa ina mambo mengi so inategemea kichwa cha mtu ila wanao ongoza kudisco na kusup hapa ni Pharmacy afu wanafuata Watu wa Maabara so iko Pouwa,ila Pamoja na ugumu wake sikushauri kuomba Environmental health kama unategemea Elimu ikutoe