kutukana naweza mno....ila busara ndo msingi wa maisha yangu...nashukuru sana mi mpumbavu...!!!
ila kwa uelewa wangu MTU wa certificate let say clinical mdcn ili asome diploma kwa mwaka mmoja inabidi awe na GPA 3.5....na kuendelea!!!!
kheri ya mpumbavu kuliko mkosa busa ra!!!nimemaliza form 4 mwaka 2003
Ok,nimekuelewa.hawezi, huyo mumpelekage kwingine tu
nimekuelewa....ila point ya kunote ni kwamba ili uende diploma kutoka certificate unatakiwa kua na GPA kuanzia 3.5ngoja niwaeleshe inaonekana katika ya afya inawasumbua kidogo.Ni hivi mtu wa cert akitaka kusoma mpka diplom ni miaka 3 tu,na mtu wa diploma anatumia miaka 3 tu.
lakini kwa cert ni miaka 2 ila akifaulu vzr anaweza kuendelea kumalizia mwaka 1 ili apate diploma jumla inakuwa ni miaka 3 na sio miaka 5 kama mnavyofikiria.halafu kwa kozi ya cert in clinical medicine na dip in clinical medicine miaka 2 ya mwanzo wote wanasoma pamoja,darasa moja,na masomo sawa ila diplom anamuacha cert mwaka 1 tu.
kipande cha mtu mnabisha vitu msivyovijua
Uongo uliotukuka huu, hicho kitu hakipo
nimekuelewa....ila point ya kunote ni kwamba ili uende diploma kutoka certificate unatakiwa kua na GPA kuanzia 3.5
hapana. ..kama GPA yake ipo below 3.5 atasoma diploma kwa miaka mitatu...jumla mitano...means certi 2 yrs +diplo 3 yrsNaomba unikosoe kama nitakua nimeelewa vibaya, mtu mwenye certificate (kwa coz za afya) endapo atakua na GPA ya 3.5 nakuendelea atasoma diploma kwa mwaka1 na atakua kutumia miaka 3 kupata diploma yake(ukijumlisha miaka 2 ya certificate).
Ila endapo GPA yake yake ya cerificate ni chini ya 3.5 atasoma miaka 2 kwaajili ya diplo na atakua ametumia miaka 4 kupata diploma yke (ukijumlisha miaka 2 ya certificate)
Je, hivi ndivyo? Nijibu tafadhari
hapana. ..kama GPA yake ipo below 3.5 atasoma diploma kwa miaka mitatu...jumla mitano...means certi 2 yrs +diplo 3 yrs
sio GPA 3.5,kwenda diploma waanzia GPA 2.7nimekuelewa....ila point ya kunote ni kwamba ili uende diploma kutoka certificate unatakiwa kua na GPA kuanzia 3.5
Teh teh teh...MNATUCHANGANYA SASA,
NDIO NYIE MNAOSAHAU MIKASI KWENYE MATUMBO YETU. :-(
Soma tangazo nililoposti hapo juu.ebana wakuu samahani,nna mdogo angu ana D-ya phys,chem,bios.ila mathematics kapata F.sasa sikuelewa katika guidance book ya nacte wamesema ni D ya masomo4 katika hayo na mathe pia.je huyu kijana anaweza ombaaa chuo cha govt?
Unataka course yenye field nyingi? Field ipi wakati unakuwa na wagonjwa?Kama kichwa kilivyoelza naomba nijue utaratibu wa field maana nalinganisha na kozi za ualimu fied kilq mwaka
Angalia tangazo la Wizara nimeposti hapo juu.Kama mtu olevel hukusoma physics lakin una BIOS na chem unaweza kuapply na je ni course gan unaweza kuomba.
Na pili nmesikia ukitaka kuomba vyuo vya afya vya serikali ni kwa wale waliomaliz 2008 na kuendelea Kama kinyume na hapo unatakiwa uapply private je ni kweli??? Naomben majibu ya kujitosheleza.
Soma tangazo la Wizara ya Afya hapo juu.Mimi ni mwlm wa level ya degree nafikilia kuomba certifcate ya medicine, Je kunauwezekano wa kusoma hyo coz nikiwa nyumba (kam day school) maana kwenda kukaa boarding nivigumu kwangu(siwez kupata ruhusa kazini)
Pia naomba kujuzwa certificate ni program ya miaka mingapi?
Matokeo yangu ya kidato cha4 ni chem D, phy C, math B, bios D, engl D, kisw C, geog D, civcs C, hist F.
Advance PCM, phy E math E chem S
Karibuni kwa ushauri........