Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

habari za kazi wana jf
mm nilihitimu kidato cha nne 2014 ila sikubahatika kwenda shule tokana na matatizo ya kifamilia ila matokeo yangu yalikuwa kama ifuatavyo:
chemistry-c
biology - c
physics-c
math-e
english-b
kiswahili-b
history-b
geography-c
civics-c
je naweza somea kozi za afya?
kozi ipi ni nzuri kwangu?
japo mm binafsi napenda sana clinical medicine je naweza somea hiyo?
nataraji majibu na ushauri mzuri toka kwenu na mungu awabariki?
 
  • Thanks
Reactions: CTX
habari wana elim...

nmejaribu kudownload guidebook kwa kozi za afya na kilimo bira mafanikio...
msaada tafadhali kwa mwenye link ya guide book na jinsi ya kuaply

ahsante....
wasalaam.
 
Jaman mm matokeo yngu ni haya then nataka nisome koz ya lab technician inawezkana au medical lab
Hist d
Engl d
Civ c
Geo d
Kisw c
Phys f
Chem d
Bios d
Math f
Nisaidieni jaman pia kama haitqwezkan nishaurin ni koz gan nawza piga tofauti na afya japo napenda sana mambo ya afya
Karubu kwa ushauri
No matusi!!

badluck una F ya phys, huwezi kusoma afya.mkuu tafuta chuo cha utumishi omba mapema sana
 
inadepend na kozi anayo taka kusoma

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
habari za kazi wana jf
mm nilihitimu kidato cha nne 2014 ila sikubahatika kwenda shule tokana na matatizo ya kifamilia ila matokeo yangu yalikuwa kama ifuatavyo:
chemistry-c
biology - c
physics-c
math-e
english-b
kiswahili-b
history-b
geography-c
civics-c
je naweza somea kozi za afya?
kozi ipi ni nzuri kwangu?
japo mm binafsi napenda sana clinical medicine je naweza somea hiyo?
nataraji majibu na ushauri mzuri toka kwenu na mungu awabariki?
Tafuta kozi ya Afya inayo endana na Matokeo yako Hope nursing,medical lab,dental unaweza soma kwa diploma!
 
Jaman mm matokeo yngu ni haya then nataka nisome koz ya lab technician inawezkana au medical lab
Hist d
Engl d
Civ c
Geo d
Kisw c
Phys f
Chem d
Bios d
Math f
Nisaidieni jaman pia kama haitqwezkan nishaurin ni koz gan nawza piga tofauti na afya japo napenda sana mambo ya afya
Karubu kwa ushauri
No matusi!!
Kwa diploma Kozi ya afya huwezi soma kwa matokeo hayo hata certificate sidhani kwasababu hizo F 2 zinakuharibia pia huna C kwa masomo muhimu kwa kozi za Afya kifupi make sure uwe umefaulu Chemistry,Biology,physics,Math na English lang. At least C nakuendelea!

Angalia kozi zingine mkuu ila kama unapenda Kozi za Afya labda urudie mtihani then ufanye vizuri katika masomo hayo
 
Tafuta kozi ya Afya inayo endana na Matokeo yako Hope nursing,medical lab,dental unaweza soma kwa diploma!
sawa nashukuru kwa hilo.
nnapenda kusoma clinical medicine.
je chuo cha kolandoto kina elimu nzuri?
 
Kwa diploma Kozi ya afya huwezi soma kwa matokeo hayo hata certificate sidhani kwasababu hizo F 2 zinakuharibia pia huna C kwa masomo muhimu kwa kozi za Afya kifupi make sure uwe umefaulu Chemistry,Biology,physics,Math na English lang. At least C nakuendelea!

Angalia kozi zingine mkuu ila kama unapenda Kozi za Afya labda urudie mtihani then ufanye vizuri katika masomo hayo
hata akirudia hawezipata...maana wanataka MTU ambae ana kikao kimoja tu cha mtihani sio reseter
 
Msaada jamani jinsi ya kufanya application UDOM kwa kozi ya Nursing,lab technician na Pharmacy through website maana nimezunguka sana kwenye website yao na sijafanikiwa kuona sehemu ya ku apply au kama kuna mtu anazo form zao anitumie pm.
shukran wadau
 
Tanzania ipi mkuu? Unajua vizur maana ya E learning?? Mimi nipo Kigoma Cotc kama tutorial mwaka wa 4 sasa sijawah sikia online course ya afya! Koz zote za afya ni full time! Na lazima uwe ndan ya mazingira ya hospitali! Usipotoshe umma
 
Back
Top Bottom