Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Kama mtu olevel hukusoma physics lakin una BIOS na chem unaweza kuapply na je ni course gan unaweza kuomba.
Na pili nmesikia ukitaka kuomba vyuo vya afya vya serikali ni kwa wale waliomaliz 2008 na kuendelea Kama kinyume na hapo unatakiwa uapply private je ni kweli??? Naomben majibu ya kujitosheleza.
Nijuavyo Kozi za Afya zote lazima uwe umosoma Physics na kufaulu labda Environmental unaweza soma
 
Wakuu naona baadhi ya kozi za muhimbili esp niliyotaka kuapply dip in pharmaceuticals evening class hazipo kwny guide book hii imekaaje??
Muhimbili hawapo nacte subiri au endelea kutembelea website ya chuo
 
Jamani tuache kudanganya watu huwezi kusoma Certficate na Diploma kwa pamoja! utaratibu upo wazi unaenda ngazi kwa ngazi na kama umeamua kuanza cerficate utasoma mpaka umalize ndo unaenda Diploma na Ukimaliza diploma unaenda degree tusiwe waongo labda utoe na Mfano wa chuo wanaofundisha certficate na Diploma! kitu kama hukijui ni bora ukakiachaa
 
Kwa waoulizia Kuhusu Muhimbili Nitaandika hapa kwa kifupi labda kuwe na swali

kwanza muhimbili huombi kupitia nacte kwa sababu chuo kipo chini ya wizara ya Afya hivyo utaratibu unaomba kupitia chuoni moja kwa moja na utaratibu ni kuwa application form huwa ziwekwa kwenye website ya chuo kuanzia mwezi wa nne mwanzoni na hutoa mwezi mmoja tu wa kufanya application na application form inalipiwa Elfu 20

Baada ya application kufungwa kama hukufanikiwa kufanya application mwezi wa Kumi huwa wanatoa tena second around application unaweza kufanya kwa utaratibu ule ule!

Kozi zote hapa Muhimbili lazima uwe umefaulu masomo Matano yaani Mathematics,Biology,physics,chemistry,na English kuna baadhi ya Kozi Biology ni major subject,chemistry ni major subject na physics ni major subject

Wakati unachukua Form kutoka kwenye website ya chuo uwe makini na ujue ni form gani unaichukua kuna Regular Programe na Excutive programm( evening)

Ukichukua Regular program (government sponsored) ambayo mara nyingi huwa ina ushindani sababu ni wengi wanao omba,ada ni laki 4.5 per year,utapewa hostel,hela ya field utajitegemea utasoma Asubuhi kuanzia sa mbili hadi sa saba kwa baadhi ya Kozi

Excutive program ( Evening) ada ni 1.5M,utajitegemea kila kitu sehemu ya kulala means hostel hutapewa labda ulipie laki 6 utapewa hostel,utajitegemea chakula,hela ya field na utasoma kuanzia sa nane kwa baadhi ya Kozi na mara nyingi hapa competition huwa ndogo!

wastani ni 50 ukishindwa kufikisha wastani huo kwa masomo matatu una disco.

Kama kuna swali labda
 
Pia Muhimbili kuna Kozi ukiomba utapangiwa dodoma campus,au Tanga campus au KCMC campus kozi wanazotoa kuna Advanced Diploma na Diploma hakuna Diploma ya Medicine
 
mmh katika guide book hakuna E ya physcs,wanataka D ya phys na sio E. na ata Private hauendi kwahiyo E ya phys


ni kweli ila nimeona kwa baadhi ya vyuo

Wakuu nahitaji hiyo guide book ya diploma kwa health related fields maana nmehangaika kuitafuta kwenye mtandao wa cas.go.tz wanasema "it will be available soon"..
Naombeni msaada maana deadline inasongea kwa kasi nahitajika nimuombee dogo.. Natanguliza shukrani zangu..
 
Wakuu nahitaji hiyo guide book ya diploma kwa health related fields maana nmehangaika kuitafuta kwenye mtandao wa cas.go.tz wanasema "it will be available soon"..
Naombeni msaada maana deadline inasongea kwa kasi nahitajika nimuombee dogo.. Natanguliza shukrani zangu..
deadline tarehe 31/5.,,ina maana muda wowote watatoa gidebook.. !!!!
 
jamani hivi baada ya kumaliza diploma ya clinical unaweza kua vizuri hata kumshona mgonjwa
 
Jaman mm matokeo yngu ni haya then nataka nisome koz ya lab technician inawezkana au medical lab
Hist d
Engl d
Civ c
Geo d
Kisw c
Phys f
Chem d
Bios d
Math f
Nisaidieni jaman pia kama haitqwezkan nishaurin ni koz gan nawza piga tofauti na afya japo napenda sana mambo ya afya
Karubu kwa ushauri
No matusi!!
 
Jaman mm matokeo yngu ni haya then nataka nisome koz ya lab technician inawezkana au medical lab
Hist d
Engl d
Civ c
Geo d
Kisw c
Phys f
Chem d
Bios d
Math f
Nisaidieni jaman pia kama haitqwezkan nishaurin ni koz gan nawza piga tofauti na afya japo napenda sana mambo ya afya
Karubu kwa ushauri
No matusi!!
duuh.. kwa uelewa wangu kuna medical lab na lab technician.....ulikua na makusudio gani?
 
Back
Top Bottom