hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,484
- 12,053
Kwanini hawezi?.Hawezi,waurumieni wagonjwa jaman
Kwanini hawezi?.Hawezi,waurumieni wagonjwa jaman
Kama unaona kiswahili ulicho andika kipo sawa basi nikuache tundo uelewa wako ulikoishia hapo jmn kweli tanzania kazi ipo dah
Naomba kushquriwa juu mtu akitaka kusomq kozi kati ya hizo mbili ipi utamshauri na kwann? hlf mishahara yake kwa anqyefahamu kwa ngazi yq serikali naomba aniambie
Ha ha ha ha ha haa umenichekesha sana aiseeHawezi,wahurumieni wagonjwa jaman
acha uongo.....!!!!certificate mpaka diploma ni miaka mitano....kama amesoma certficate atamalizia mwaka 1 tu wa diploma na sio miaka 3.
Diploma ya nnJe mwenye certificate akienda kusoma diploma atasoma miaka mingapi?
hapo nimekusoma mkuu.hivi kumbe mtu anaweza akasoma diploma na certificate kwa pamoja?acha upumbavu wako wa fikra mdogo wangu,wewe bado dogo sana umemaliza form mwaka jana tu halafu unakuja kujibizana na wakubwa zako,kuwa mpole uelekezwe usaidiewe sisi wengine madokta hapa tena specialist.
cert&dip ndani ya miaka 2 wanasoma pamoja wanasoma masomo sawa.baada ya miaka 2 cert anakuwa amehitimu kozi yake ila diploma anaendelea anamalizia mwaka wake mmoja.
kama mtu wa cert akitaka aendelee na diploma itamchukua mwaka 1 tu kuhitimu dip yake.
NB:Na mtu wa dip hawezi kuendelea na dip yake mpka awe amefaulu vizur cert.umeelewa mdogo wangu?usipende kukurupuka bila fact
hapo nimekusoma mkuu.hivi kumbe mtu anaweza akasoma diploma na certificate kwa pamoja?
Amepata;
C-biology
C-geography
D-chemistry
F-physics
F-b/mathematics
C-english
Anaweza kusoma clinical officer?.
kutukana naweza mno....ila busara ndo msingi wa maisha yangu...nashukuru sana mi mpumbavu...!!!acha upumbavu wako wa fikra mdogo wangu,wewe bado dogo sana umemaliza form mwaka jana tu halafu unakuja kujibizana na wakubwa zako,kuwa mpole uelekezwe usaidiewe sisi wengine madokta hapa tena specialist.
cert&dip ndani ya miaka 2 wanasoma pamoja wanasoma masomo sawa.baada ya miaka 2 cert anakuwa amehitimu kozi yake ila diploma anaendelea anamalizia mwaka wake mmoja.
kama mtu wa cert akitaka aendelee na diploma itamchukua mwaka 1 tu kuhitimu dip yake.
NB:Na mtu wa dip hawezi kuendelea na dip yake mpka awe amefaulu vizur cert.umeelewa mdogo wangu?usipende kukurupuka bila fact
hapo nimekusoma mkuu.hivi kumbe mtu anaweza akasoma diploma na certificate kwa pamoja?
Je mwenye certificate akienda kusoma diploma atasoma miaka mingapi?
hiko kitu hakipo brooo....ndo maana unaomba kitu kimoja either cert au dipl...!!!Uongo uliotukuka huu, hicho kitu hakipo