Ozzanne Issakwisa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 288
- 241
Wameanzisha vyuo gani na kozi gani? Najua kwa nurses wanaojiendeleza.mkuu,kwa sasa sector ya afya kuanzia ngazi ya cheti mpaka diploma wanatoa kwa njia ya e-learning programs (distances learning)hasa kwa inservice (kwa wake waliopo makazini).
Utaitwa chuoni kwa ajili ya facetoface na clinical area rotation nayo inaweza kukuchukua mwezi mzima au zaidi ukiwa chuoni hii kwa sababu course za afya zinahitaji mazoezi yakutosha pia wakati WA mitihani utaitwa before one or two week kwa maandalizi zaidi..
Pia utakapokuwa nyumbani utatafuta mentor kwenye hospital ya wilaya kwa ajili ya kukusupervise ukiwa clinical area pia walimu wanaweza Kuja kukusupervise pengne Mara moja kwa mwezi kujua maendeleo yako
Napata wapi form kuna mdogo wangu anataka kujiungacertificate miaka miwili.. na vigezo ni d tatu za phy,che,bios...
Sio miaka miwili?kama amesoma certficate atamalizia mwaka 1 tu wa diploma na sio miaka 3.
Kuunganisha si rahisi hivyo.diploma ,Lakini itabidi ukimaliza uunganishie na degree.
Angalia tangazo la wizara, nimeposti hapo juu.Napata wapi form kuna mdogo wangu anataka kujiunga
Muhimbili ni university. Universities Zote Zina utaratibu wake wa kuapply haupitii nacte. wanaojua vizuri wataelewesha.Hivi Muhimbili medical lab, clinical officer na nursing mbona haziko NACTE.
Pili kozi za LUGALO MILITARY MEDICAL SCHOOL wanafunzi kutoka shule za wananchi wanaruhusiwa au ni wale wenye military background
Kama Muhimbili wana hiyo course ni bora uende ukaulize, humu utapewa taarifa zisizo na uhakika.Wakuu naona baadhi ya kozi za muhimbili esp niliyotaka kuapply dip in pharmaceuticals evening class hazipo kwny guide book hii imekaaje??
Poa asante, itabidi nifanye ivyoKama Muhimbili wana hiyo course ni bora uende ukaulize, humu utapewa taarifa zisizo na uhakika.
Mbona silioni hilo tangazo mkuuNapata wapi form kuna mdogo wangu anataka kujiunga
mmeambiwa kabisa mtu unatakiwa uwe na alama zifuatazo kusoma
CERTIFICATE YA AFYA
Physics D
Chemistry D
Biology D
tofauti na hapa huwezi kuchaguliwa serikalini labda private unaeza ukawa na physics E ila utarudia mtihani hawa inawahusu 2013,2014 tu ila kwa wengine F haikubaliki popote
DIPLOMA YA AFYA
Physics D
Biology C
chemistry C
tofauti na matokeo ya hivi kwa koz yoyote ya afya ngazi ya diploma usiombe HUTAPATA.
ila ukifika level ya degree kutoka diploma LAZIMA na sio Ombi uwe na C ya english, C ya kemia.
tuwe na utaratibu wa kusoma na kufatilia vitu toka chini hadi juu.
mmh katika guide book hakuna E ya physcs,wanataka D ya phys na sio E. na ata Private hauendi kwahiyo E ya phys
Kuna mtu anataka kusoma nursing or laboratory kwa hapa dar ni vyuo gan vinafundisha moja kati ya hayo?Uzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana, maswali juu ya kozi husika na maswali juu ya vyuo husika..!!
Karibuni sana kwenye mwaka wa masomo 2016/2017
haya mzee.. .labda principle wa CHuo flani ni muongo....!!!BT nimeipata sehemu tu brooookipande cha mtu mbona unapenda kuposha watu hivyo?ni heri ukae kimya kuliko kupotosha watu.nani aliekuambia kutoka cert kwenda dip lazima upate GPA 3.5?UKU katika kozi za afya Ukipata kuanzia GPA 2.7 unaruhusiwa kwenda diplom.
yaani haiingii akili eti kutoka cert to diploma eti ni miaka 5.
ni bora ukae kimya kuliko kujifanya unajua na kupotosha watu.
mkuu Sizinga@njiwa
Muhimbili kwa diploma kipo chini ya wizara ya afya hvyo unaomba moja kwa moja chuoni na Diploma ya medicine haipo hizo zingine zipoHivi Muhimbili medical lab, clinical officer na nursing mbona haziko NACTE.
Pili kozi za LUGALO MILITARY MEDICAL SCHOOL wanafunzi kutoka shule za wananchi wanaruhusiwa au ni wale wenye military background