KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

ha haa ha, mkuu hivi Tanzania nako kuna wasomi wa kujitapa? Ebu niambie huo usome wenu umelisaidiaje taifa letu au usomi wenu kazi yake ni kufisadi nchi.

Hamna kitu zaidi ya kuisaidia sarafu ya YURO
 
Mkuu Ritz

Mbona unataka kuhamisha mjadala, turudi kwenye mjadala.

Je wewe kwa ufaham wako yule kijana alitumwa na na chadema kukojolea msahafu?

Au wewe pia unaamini waliochoma makanisa ni wahuni? nini maoni yako mkuu

Anzisha uzi special wa ulisemalo.. Tukupe makavu..
 
Huyu Sheikh Ponda ni nani hasa? Kova anasema amekuwa akionywa mara kwa mara lakini hatii sheria za Nchi na bado wamekuwa wanamtazama tu, sasa namimi naanza kuamini Serikali ni dhaifu katika kuchukua hatua mambo ya msingi, wamemnyamazia mpaka sasa amejiona yupo juu ya sheria.

Wanaotii sheria za nchi kama Mwangosi wliuawa kwa bomo bila kusita. Maskini Msoma magazeti wa Moro aliuawa na kitu kizito bila kosa. Huu asiyetii sheria za nchi mara kadhaa AMEONYWA tu!!! Hii ndo nini POLICCM?
 
Uswe,
JF sio mali ya Chadema kwa hiyo usitake kupangia watu vitu vya kuandika, kwani wewe kuwa Chadema ni sifa.
kweli mkuu nimegundua wana jf wengi hawajui misingi ya utaifa, haiwezekani ukawa na taifa imara lenye viongozi waoga wa kusema ukweli.haiwezekani rais kikwete avumilie ujinga wa ponda. Ma self am a muslim, lakini sikubaliani na mchezo wa akina ponda kwa taifa letu. Ni hatari!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz jana mbona hatukuwa wote pale mbagala?
Ulitusaliti mzee, mabomu tumepigwa wewe hauonekani
 
Hv ina mana huyo mtot altumwa na makanisa yalyochomwa moto au?na mbona mambo haya hayatokei sehemu znazoeleweka km mbez,kjtonyama,why!!
Uelewa mdogo na kuchanganua mambo. Imagine mtu anakupa taarifa eti kuna mtu kakutwa anakuojolea Bibilia, then unakusanya nguvu zako na muda wako kwenda kurusha mawe Msikitini kisa jamaa kakojolea Bibilia. Huu ni ukosefu wa busara na hekima. Watu wanasahau Mungu wetu ni wa Roho na wala sio kimwili, kwa kweli ndugu zangu waisilamu badilikeni na wala msikubali kutumika kiasi hiki, you will regret in the near future.
 
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.

Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi

Source:Kova

Update:.....................

Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguseswa

more to follow

.
Huyu Kova amelivuruga jeshi la police kwa siasa. Anavyotutangazia kuwa Ponda atakamatwa anamaanisha nini? Kama sio kutengeneza mazingira ya kisiasa ya kumnusuru kukamatwa? Tulitaka kusikia kwa kamanda kuwa watu kadhaa wamekamatwa kuhusiana na vurugu na uchomaji makanisa akiwepo mkuu wao Ponda. Hiyo ndio kauli za mjeshi siyo bla bla bla. Kanisa la Tanzania kinachotakiwa kwa sasa ni kutangaza mgogoro na serikali, kuhoji uwezo wa serikali kwa mujibu wa katiba ya nchi kulinda mali na uhai wa watu wake dhidi ya magenge makorofi. Makanisa yalichomwa Zanzibar na hakuna aliyechukuliwa hatua. Inaonekana kwa serikali ya awamu ya nne ni haki ya waisilamu kuwasulubu wakristo vyovyote watakavyo.
.
 
yeyote anayeongea some sense kwenye mitandao hii huitwa mwana chadema.
Kama hiyo ndo sifa ya kuwa mwana chadema basi nitakuwa mwanachadema daima dumu.
 
Ni kweli kwa ujinga wenu mtakufa nae.Ni bora tuwatengee sehemu yenu ya kuishi maana hamna ustaarabu kabisa binadamu nyie.
kumkamata ponda ni sawa na kutupia njiti ya kibiriti kwenye petrol, ponda ndiye kiongozi wetu tutakufa nae.
 
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.

Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi

Source:Kova

Update:.....................

Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguseswa

more to follow

Kwa kweli Kova kama kuna mambo yanayofanya uonekane dhaifu ni kutomkamata Ponda.... kuna mashala kibao ambayo Ponda amekua akitamka lakini hakuna hatua zinazochukuluwa.. kwa nini? kamata weka ndani fikisha mahakamani na hakikisheni anapatiwa adhabu inayomstahilu.... msimuonee aibu
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

Nadhani you are the most empty headed person here in JF. How does CDM come into this?

Serikali inachochea udini, mnaushabikia kupitia ccm, waislamu (baadhi ya wasiojua dini yao) wanafanya uhalifu kwa mgongo wa dini bila kuchukuliwa hatua halafu mnataka tunyamaze. Yanayotokea sasa ni matunda ya 'udini' unaopaliliwa na serikali ya ccm.
 
Mkuu Ritz

Mbona unataka kuhamisha mjadala, turudi kwenye mjadala.

Je wewe kwa ufaham wako yule kijana alitumwa na na chadema kukojolea msahafu?

Au wewe pia unaamini waliochoma makanisa ni wahuni? nini maoni yako mkuu

Mkuu wangu adolay,
Tatizo humu JF ukiwa muislam ndio unaitwa mdini lakini hakuna mkiristo mdini humu JF.

Mkuu Uislam ni dini ya amani mie binafsi sikubaliani na fujo zilitokea Mbagala kuchoma Kanisa kuaribu mali za watu, yule mtoto kweli kafanya makosa kwa kile kitendo lakini Waislam hawajafundishwa kuaribu mali za watu.

Tatizo kitendo kikifanywa na Muislam moja kikundi wanachanganywa Waislam wote pamoja ni Uislam sie tukitokeza kupinga hayo ndio tunaonekana wadini... Mkuu kuna Wachungaji Mashoga na wanaendesha ibada Makanisani lakini mie siwezi kuwachanganya Wakiristo wote ni makosa.
 
Last edited by a moderator:
I was asking myself hivi long term impact ya society wanayoijenga sasa, ya kupenda vurugu na kutofuata sheria, itakuwa nini? Au ndio legacy ambayo baadhi ya watu wanaotuongoza ndio wanataka kutuachia?
 
Uwa nahisi wewe una miaka below 15 maana michango yako ya KITOTO
am sorry sina muda kujibizana na watoto wa chekechea

Inawezekana mie na umri kama wa mzee wako hujui tu.
 
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.

Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi

Source:Kova

Update:.....................

Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguseswa

more to follow

kova anatuchanganyia habari, angetuambia kwanini makanisa yanachomwa moto, kwa hiyo watu wanajenga mahali pakuabudia wao wanabomoa, kova tuambie kwanini makanisa yanachomwa moto, kukamatwa kwa shehe ponda haitusaidii kitu na wasilete siasa kwenye suala kuchoma makanisa
 
Back
Top Bottom