utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 324
serikali yetu tukufu imekata rufaa.
Astakafilulahi ptuuuuuu tema chini, acha kukufuru, nini? Tukufu? Toka lini?
serikali yetu tukufu imekata rufaa.
Yes, Al shabaab tupo hapa nchini lakini napemda kuwahakikishia kwamba maandamano haya sisi Al shabaab tumeyaridhia na hatutofanya lolote negatively, na tumekubaliana kuyalinda kwa juhudi zote maandamano haya ya dowans-hivyo kama Kova wasiwasi wake ni sisi Al Shabaab, bac ayaruhusu tu wala asiwe na wasiwasi, sisi huwa tunaharibu kwenye uharibifu(bar/casino/danguro na upuuzi wa namna hizo) Oyaa, dogo Kova, ruhusu tu mzee-surely hatulipui ktk hayo maandamano. Tchao, HMPolisi wana source nyingi za kujua hatari inayoweza kujitokeza. Tusipuuze kwa ajili ushabiki tu.
wewe kweli mzee rula maana umenyoosha maneno yako kama rula,umenena ukweli mtupu,kwa hakika tzania naweza sema ni nchi ya kiabunuwasi.Nadhani kuna haja ya kuahirisha maazimisho ya miaka 50 ya uhuru, mechi ya simba na yanga na mikusanyiko mingine mingi itayojumuisha viongozi wa taifa na kimataifa kwa kuhofia Al Shabab!
Wewe acha kutuletea siasa za Polisi za mwaka 47! Unafikiri Polisi wa Gaddafi hawakuwa na source za kuwajulisha hatari? Lenye mwanzo lina mwisho! Iko siku nchi hii itakombolewa, na siku hiyo, wewe sugu1; kama ilivyokuwa kwa Gaddafi, tutakutoa shimoni ulikojificha kama panya. SHAME ON U !Polisi wana source nyingi za kujua hatari inayoweza kujitokeza. Tusipuuze kwa ajili ushabiki tu.
Huyo Marekani anayezitengeneza sheria za kimataifa haziheshimu wala kuzijali. Wewe mchovu (tz) unafaidika nini na sheria hizo zaidi ya kunyonywa? Ninyi ni wa kuwalipa wanaume wenzenu kila siku, niambie llini nanyi mtalipwa eti kwa vile haki zenu zimekiukwa? Sheria za kimataifa za upande mmoja, ovyooooo! Yapasa tuzikatae.Tuwache ushabiki jamani. Mwenzenu ANANILEA NKYA kisha pokea chake sasa anataka kutuingiza vitani. Hivi huyu mama kasomea sheria kweli?. Basi vurugu zikianza na awe Mbele kabisa ili aoneshe uzalendo wake. Hili Deni lazima lilipwe tu tulishafanya makosa tena yaliosababishwa na siasa zetu za kupakana matope. Hivi kweli tumefika huko ambako sasa tunajifanya hatutaki kuheshimu sheria za kimataifa?
kwa mara ya kwanza ninakubaliana na Polisi ktk hili sababu kwa kipindi hiki ambacho hali ni tete hawa jamaa Al shabab wanaweza kutupiga ktk maandamano na kusababisha mass casualty,tukikumbuka uganda jinsi walivyoshambuliwa wakati wakiangalia world cup.Kifupi kwa kipindi hiki tujiepushe na mikusanyiko siyo ya lazima.