Kova Kova Kova, wewe huishi Mbingunu Kova, wewe tena ni karibu kabisa na Misri, Libya, Tunisia, Malawi, Kenya, Syria, Marekani (Wall Street) na kwingine kwingi. Huoni hata aibu kusimama na kuongea hayo unayoongea? Hivi unadhani ulikuwa unaongea na Mizoga?? Kova ukiwekwa ktk listi ya watanzania walioenda shule na wanaotumia Bongo kupanga na kutoa maamuzi mbalimbali ya nchi hii unaweza kujipima wewe utakuwa wangapi kwa matamko kama haya? Hembu acha umangimeza Kova. Watu tukiamua hakuna atakaye tuzuia, unajifanya unavitisho sana sio? Hivi humuoni Mubarak Rais wa Misri anavyokwenda kwa court ktk machela? Juzi tu umeona Gaddafi alivyofanyiwa kitu safi na hao mnaowakandamiza? Kova Kova Kova, umekwisha.