mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
Kweli sasa wanataka kutuharibia nchi kwani sie tuna ugonvi gani na al shababy aache hizo huyo Kova
Tanzania tuna viongozi wa ajabu...!!! Kova kapiga marufuku maandamano ya kupinga Dowans kulipwa 111bns..... eti kwa ajili ya tishio la Al Shabab...
Source Radio Wapo FM..... Najisikia kuanza kulia.....
Na wanaharakati wanaoandaa maandamano wameamuaje baada ya kova kuongea upuuzi huo??
Tanzania tuna viongozi wa ajabu...!!! Kova kapiga marufuku maandamano ya kupinga Dowans kulipwa 111bns..... eti kwa ajili ya tishio la Al Shabab...
Source Radio Wapo FM..... Najisikia kuanza kulia.....
Tanzania tuna viongozi wa ajabu...!!! Kova kapiga marufuku maandamano ya kupinga Dowans kulipwa 111bns..... eti kwa ajili ya tishio la Al Shabab...
Source Radio Wapo FM..... Najisikia kuanza kulia.....
Tanzania tuna viongozi wa ajabu...!!! Kova kapiga marufuku maandamano ya kupinga Dowans kulipwa 111bns..... eti kwa ajili ya tishio la Al Shabab...
Source Radio Wapo FM..... Najisikia kuanza kulia.....
Haya maandamano ni ya CDM kutaka kutuvurugia amani yetu ya Tz na si lingile lolote !
Hivi kwa mfano wananchi wakijitokeza na kuandamana hiyo Kesho ni nani ataweza kuwazuia?
ongeza na mahospitalini, makanisani na kumbi za starehe.Kwa hiyo, hata bunge halitakaa mwezi ujao, maana hata wao ni mkusanyiko wao ni mkubwa? Na shule chekechea, shule za msingi na sekondari na vyuo je? Au huko taarifa za kiintelejensia hazigusi?
geniusbrain!!???Haya maandamano ni ya CDM kutaka kutuvurugia amani yetu ya Tz na si lingile lolote !
GeniusBrain!!????Haya maandamano ni ya CDM kutaka kutuvurugia amani yetu ya Tz na si lingile lolote !
Pole mkuu, lakini usillie. Hii ndiyo bongo. Ulikuwa ulaya kwa muda mrefu nini? Maana kwa sisi tuliopo hapa bongo kauli kama hizo ni za kawaida. Mtu huyo huyo anayepinga maandamano hayo sahihi, kesho atalalamika chini chini ati mshahara wa mwanaye au mtoto wa dada ni mdogo. Lakini yupo tayari mafisadi walipwe mabilioni ya kodi zetu pamoja na ya kwake kiujanja ujanja, ili mradi awaridhishe waliomuweka katika position ile. Oh gosh it pains!!!!Tanzania tuna viongozi wa ajabu...!!! Kova kapiga marufuku maandamano ya kupinga Dowans kulipwa 111bns..... eti kwa ajili ya tishio la Al Shabab...
Source Radio Wapo FM..... Najisikia kuanza kulia.....