Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
Jamani uvccm wametoa wapi hela ya kuhonga mateja wa kuandamana nao?
kwani wengine wanapataga wapi hela za kuwahonga wavuta B4NGI & VIROB4 ?.
Jamani uvccm wametoa wapi hela ya kuhonga mateja wa kuandamana nao?
Kwahiyo ulitaka CCM wasikatazwe? Hapa ungemsifu Kamanda Kova kwa kufanya kazi bila upendeleo ningekuona mtu wa maana.
Wanaigiza tu,hayo yamepikwa tu ili eti ionekane wanatenda haki but in real sense hakna democracy hapa!!!,acha tusubiri tuone twafanyani 2015 ,,,,,au wamemuogopa rais wa shilikisho la ujeruman!!!!!!!japo cna uhakika km hii issue ni valid!!!,ilitakiwa wazuie yoooote yaliafanyika na kinana!!!!
haah,haah ili kesho muambiwe kuweni watiifu kama UvccmCcm hawakuwi!! Acheni maigizo jamani!!
Lengo ni kumwambia Rais wa Ujerumani unaona Polisi wetu? Hata maandamano ya UVCCM yamepigwa marufuku na wao wametii bila shurti.
Huu ni wehu kabisa.