Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Akili za kova ni mchanganyiko wa kamasi na kiini cha yai viza
Sasa anadhani wote tunaakili kama zake ezi za kuadaa watz zilishapita
Walivyotangaza kuandamana werevu haya tulishajua yatatokea so haishangazi hata kidogo.

Da! Hii kali.
 
wangezuia yale ya jk kweli ningeamini wao mabigwa
 
Kamanda Kova umeonyesha weledi wa hali ya juu. Nakupongeza kwa kufanya maamuzi pasipo kuegemea upande wowote ule.
 
Kamanda Kova umeonyesha weledi wa hali ya juu. Nakupongeza kwa kufanya maamuzi pasipo kuegemea upande wowote ule.

Zile silaha za kivita zilizotekwa na majambazi pale Ikwiriri bado hazijapatikana?
 
Huyu Kova aliyeudanganya ulimwengu kwamba Dr.
Steven Ulimboka ametekwa na kichaa raia wa
Kenye Joshua Mlundi aliyekwenda kutubu baadaye
kwa mchungaji Gwajima?!
Hayo maandamano ya UVCCM atakuwa ameyandaa
Kova mwenyewe na kuyapiga marufu yeye
mwenyewe!
Kova asitufanye watanzania kwamba AKILI zetu
zina makengengeza kama macho yake.
 
Hili ni igizo la kufungua mwaka! Mbona hatujasikia matangazo ya kuwepo kwa maandamano! Na yalikuwa yahusu nini?
 
Huyu Kova aliyeudanganya ulimwengu kwamba Dr.
Steven Ulimboka ametekwa na kichaa raia wa
Kenye Joshua Mlundi aliyekwenda kutubu baadaye
kwa mchungaji Gwajima?!
Hayo maandamano ya UVCCM atakuwa ameyandaa
Kova mwenyewe na kuyapiga marufu yeye
mwenyewe!
Kova asitufanye watanzania kwamba AKILI zetu
zina makengengeza kama macho yake.

Wewe kama mtanzania kuzuiwa kwa maandamano haya kumekuathiri vipi?
 
Maigizo mengine hata mtoto wa ''vidudu'' hawezi kukubali kuyaigiza. waache kucheza na akili ya watanzania bhana!!
 
Chondechonde ni hatari kuendesha nchi kisani!
 
Kama jeshi la polisi linafanya siasa lisajiriwe rasmi na msajiri wa vyama vya siasa. Hatutavumilia upuuzi huu unaofanywa na ccm kupitia jeshi la polisi. JK jana ameweka wazi kuwa ndiye anayeruhusu jeshi la polisi kupiga raia.....kitakachofuata hapo nikujibu mapigo kwa vitendo.....wote tuna haki sawa mbele ya sheria. Sijaona katiba au sheria yoyote inayoruhusu binadamu kumpiga binadamu mwenzie. Kama JK ameharalisha hilo hii nchi inaelekea pabaya.
 
Mimi Kova huwa simwelewi . Inabidi atafute director was filamu zake kwani Mara zote anaharibu.
 
Wayiiiiii!!!

maandamano yao ilikuwa inahusu nini tena???
 
Kama jeshi la polisi linafanya siasa lisajiriwe rasmi na msajiri wa vyama vya siasa. Hatutavumilia upuuzi huu unaofanywa na ccm kupitia jeshi la polisi. JK jana ameweka wazi kuwa ndiye anayeruhusu jeshi la polisi kupiga raia.....kitakachofuata hapo nikujibu mapigo kwa vitendo.....wote tuna haki sawa mbele ya sheria. Sijaona katiba au sheria yoyote inayoruhusu binadamu kumpiga binadamu mwenzie. Kama JK ameharalisha hilo hii nchi inaelekea pabaya.

Kumbuka amri ya 11 usiwe ccm, bora watanzania wote tutekeleze kwa vitendo ili tuepuke kuangamia kwa kukosa maarifa!
 
Wanaigiza tu,hayo yamepikwa tu ili eti ionekane wanatenda haki but in real sense hakna democracy hapa!!!,acha tusubiri tuone twafanyani 2015 ,,,,,au wamemuogopa rais wa shilikisho la ujeruman!!!!!!!japo cna uhakika km hii issue ni valid!!!,ilitakiwa wazuie yoooote yaliafanyika na kinana!!!!

Original Comedy at work...

Hayo ni maandalizi ya kupiga marufuku maandamano ya BAVICHA kesho kutwa!

Jamani uvccm wametoa wapi hela ya kuhonga mateja wa kuandamana nao?

Hivi huyo kova si alipaswa awe amestaafu mwaka Juzi?

As for you, hakuna jema mnapenda kuliona. Hata nchi zenye fujo zilianza kwa propaganda za "aggresion" namna hiyo.

Ni udhaifu mkubwa.
 
Kamanda wa kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Bw. Kova amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na UVCCM kesho kwa sababu za usalama!

Source: EA radio saa kumi jioni leo!

Hahahahaaaa mzee wa mazingaombwe mzee macho mengi!!
 
Kamanda wa kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Bw. Kova amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na UVCCM kesho kwa sababu za usalama!

Source: EA radio saa kumi jioni leo!

unafiki jazz band
 
Back
Top Bottom