Sema Chilo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 324
- 25
Ha ha ha.. Hao Uvccm walikaa na kupanga lini kuandamana hiyo keshokutwa..?
Nawaza lini waliyapanga? Full comedy hii serikali
Ha ha ha.. Hao Uvccm walikaa na kupanga lini kuandamana hiyo keshokutwa..?
Me mwenyewe uvccm ila nlikua sijui Kama tuna maandamano ....kwanza ni ya nin ??
Kama ni maandamano tulishafanya Songea. Haya ya kesho siyajui!!!!???????
Kamanda wa kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Bw. Kova amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na UVCCM kesho kwa sababu za usalama!
Source: EA radio saa kumi jioni leo!
Kamanda wa kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Bw. Kova amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na UVCCM kesho kwa sababu za usalama!
Source: EA radio saa kumi jioni leo!
Kwahiyo ulitaka CCM wasikatazwe? Hapa ungemsifu Kamanda Kova kwa kufanya kazi bila upendeleo ningekuona mtu wa maana.wanajitekenya na kucheka wenyewe!!!!
Wehu wake ni kuwakatalia CCM kuandamana? Hakupaswa kufanya hivyo? Kwa sababu za kiusalama?Kova ni mwehu
Wehu wake ni kuwakatalia CCM kuandamana? Hakupaswa kufanya hivyo? Kwa sababu za kiusalama?
Kwako wewe unayetafsiri kila jambo kisiasa ni maigizo, ila kwa Kova mwanausalama yeye yupo kazini!hapana kwa kufanya maigizo yasiyokuwa na tija
Kwako wewe unayetafsiri kila jambo kisiasa ni maigizo, ila kwa Kova mwanausalama yeye yupo kazini!
Amina. Heri fujo kuliko utumwa.As for you, hakuna jema mnapenda kuliona. Hata nchi zenye fujo zilianza kwa propaganda za "aggresion" namna hiyo.
Ni udhaifu mkubwa.