Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Anajitekenya na kucheka yeye mwenyewe,hii yote kuzugisha ila kuua soo la kupigwa kwa lipumba,njia za kiitelijensia za kizamaaaaaani!!!!

Unajua yale majibu ya JK ikulu juu ya kupigwa kwa Lipumba wamegundua kuwa mkulu alikurupuka kujibu kama kawaida yake na italeta tafsiri mbaya sana kwa vile alijibu kinyume na sheria inavyo sema kuhusu maandamano, sasa wameamua kutunga hilo la UVCCM ili kuonyesha Polisi wako neutral. Tatizo mpango huo wamemtumia mtu ambaye uwezo wake wa kupanga maneno ya uwongo uko chini sana(Kova) na aibu wataipata kwa jinsi atakavyo jichanganya.
 
hawa police ccm wana strategy za kizamaniii..hao vijana Wa ccm walikuwa wanaandamana kwa lipi!!
wanataka tu waonyeshe eti wako neutral lakini in real sense no kwamba hayo maandamano yalikuwa yamepangwa ili ionekane police wanaweza hata kuwazuia ccm wasifanye maandamano.
ujanja Wa kizamani.
 
Nyoko zenu ma-CCM.. Hiyo ni mbinu ya kuiba mboga jikoni, mazafantazzzz!!
 
CCM plus Policcm wote ni kituko. Wanachukulia kama Watanzania ni mabwege, inauma sana lakini kufanywa chizi na hali mtu unajitambua vilivyo.
 
hii ni baada ya kauli ya tundu liusu bungeni kusema kuwa vyama vya upinzani vikiandamana police huzuia maandamano lakini ccm huruhusiwa kufanya maandamano @ hivyo basi ametoa kauli hiyo kuonyesha kama lisu hayupo sahihi

My take ccm kwa sasa inaendeshwa na chadema na ni dalili za za chama kuanguka
 
Members wa UVCCM Dar humu jamvini wapo wengi sana, naomba mmojawapo au zaidi anijibu lengo la maandamano lilikuwa nini? Yalipangwa kuanza wapi na kuishia wapi? Nani angekuwa mgeni wa heshima ambaye angeyapokea hayo maandamano? Barua ya taarifa kwa jeshi la Polisi iliandikwa na nani na kukabidhiwa jeshi lini? Ikiwezekana abandike nakala ya hiyo barua. Kukataliwa maandamano inauma, tamko la UVCCM in response to marufuku ya jeshi la Polisi ni nini na kama halijatolewa, why?
 
Cha ajabu hata Nape alikuwa hana taarifa ya maandamano haya! Labda Lizaboni!!
 
Last edited by a moderator:
hawa wanataka kushabihisha matukio watu wanapima kwa dhamiri zao.
uvccm ni wahuni wanajiandaa wafanye mazoezi ya vurugu kipindi cha uchaguzi
 
Huyu Kova aliyeudanganya ulimwengu kwamba Dr. Steven Ulimboka ametekwa na kichaa raia wa Kenye Joshua Mlundi aliyekwenda kutubu baadaye kwa mchungaji Gwajima?!

Hayo maandamano ya UVCCM atakuwa ameyandaa Kova mwenyewe na kuyapiga marufu yeye mwenyewe!

Kova asitufanye watanzania kwamba AKILI zetu zina makengengeza kama macho yake.

Hahahaha nimeipenda hii
 
Kikao chao kilimalizika kwa makubaliano haya......nyinyi uvccm mtangaze kwamba mtakua na maandamano....halafu wewe kamanda kova....utatangazwa kufutwa kwa maandamano hayo...baada ya kova kutangaza uvccm mtawatangazia wanachama wenu maandamano yamesitishwa ili kuleta picha picha kuwa mnatii sheria bila shuruti...kwa maana vituko tulivyowafanyia wapinzani vimetuvua nguo sisi kama jeshi la polis......haya movie inaanza.CUT'
 
Poor thing.
 
Kamanda wa kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Bw. Kova amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na UVCCM kesho kwa sababu za usalama!

Source: EA radio saa kumi jioni leo!

Kova anakuwaga makini sana
 
The "Kova Comedy" police propagandist anataka kubalansi habari za kuzuiliwa kwa BAVICHA
 
Back
Top Bottom