Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Walikuwa waandamane kwa sababu zipi hasa? I mean why kuandamana? Wanataka kumpongeza nani maana mara nyingi huandamana kupongeza hata mambo ya kijinga.
 
Hayo maandamano yanahusu nini na ni mpokeaji was hayo maandamano npeni hapo jamani nami mkimbizi nijue .
 
Wanaugiza tu,hayo yamepikwa tu ili eti ionekane wanatenda haki but!!!,acha tusubiri tuone twafanyani 2015 au wamemuogopa raid wa shilikisho la ujeruman!!!!!!!japo cna uhakika km hii issue ni valid!!!
Wajinga mbona wanadhani bado tupo miaka ya 70. Yaani polisi wa Tanzania ni hatari na katili kuliko hata wale wa wakati wa utawala wa makaburu wa Afrika ya Kusini. Wewe jiulize mtu wameshamdhibiti na hana silaha lakini utakuta polisi wanne hadi sita wanamshambulia kwa marungu utadhani wanaua nyoka. Halafu mbona Kinana alikuwa anaendelea na mikutano Zanzibar ina maana kule silaha walizoporwa Rufiji haziwezi kufika kwakuwa kule sio Tanganyika? Nani aliwaambia silaha zikiporwa zitatumika Tanganyika tu tena kwenye maandamano na mikutano ya wapinzani. Kumbuka siku hiyo walipowasulubu CUF kulikuwa na kumbu kumbu ya mauaji ya wayahudi yaliyofanywa na Hitla hapo hapo Dar. Kwani wasizuie na kusanyiko lile kwa hofu ya silaha zilizoporwa Rufiji? Tatizo la polisi wetu shule ni ndogo sana!
 
Kama ni kwa sababu za kiusalama, that is good. Tusisubiri hadi mambo yaharibike ndipo mchawi atafutwe.
 
Kova anajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Hivi maCCM wana akili kweli?, kila kitu wanachofanya wanasahau kuwa watu wa leo wana ufahamu wa juu sana; swala kama hili linaonyesha kabisa wameishiwa mbinu na weledi wa kuwashawishi wananchi kwa utendaji kazi, wamebakia tu na ubabaishaji.

Hii ni comedy ya wazi kabisa na ya kijinga
 
Safi Kova wananchi wenye hasira kali wangeweza kuchukua sheria mkononi manake hawana sababu za kuandamana ni kejeli wangeweza kuumizwa hawa jamaa.
 
Wanaigiza tu,hayo yamepikwa tu ili eti ionekane wanatenda haki but in real sense hakna democracy hapa!!!,acha tusubiri tuone twafanyani 2015 ,,,,,au wamemuogopa rais wa shilikisho la ujeruman!!!!!!!japo cna uhakika km hii issue ni valid!!!,ilitakiwa wazuie yoooote yaliafanyika na kinana!!!!
Unataka wafanye nini toa maoni yako sasa.
 
Huyu Kova aliyeudanganya ulimwengu kwamba Dr. Steven Ulimboka ametekwa na kichaa raia wa Kenye Joshua Mlundi aliyekwenda kutubu baadaye kwa mchungaji Gwajima?!

Hayo maandamano ya UVCCM atakuwa ameyandaa Kova mwenyewe na kuyapiga marufu yeye mwenyewe!

Kova asitufanye watanzania kwamba AKILI zetu zina makengengeza kama macho yake.

Mkuu Umeua kabisa..te...te....te.....te....te......Camillione type and the comedy at work...
 
Ni kama kamchezo ka kukuchukua hela mfuko wa nyuma then unaweka wa mbele then unadai umeiba au kuokota hela
 
Baraza la vijana Chadema (Bavicha) kanda maalum ya DSM.

Tumeadhimia kufanya maandamano siku ya ijumaa tareh 6.2.2015
Maandamano yataanzia katika viwanja vya biafra saa 2:30 asubuh na kuishia katika ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi zilizopo posta

Lengo la maandamano hayo ni kuihoji tume ya uchaguzi jui ya

1.Ni lini uandikishaji wa wapiga kura utaanza kwa mkoa wa Dar es salaam

2.Utaratibu wa kuandikisha wanafunzi wa vyuo vikuu na utaratibu wao wa kupiga kura Mwezi October 2015

Tunaomba vijana wote waliopo Dar es salaam na maeneo ya jirani wajitokeze kwa wingi.

Upatapo ujumbe huu wataarifu na wenzio

Imetolewa na:-

Hilda Newton,

Katibu Wa Bavicha Mkoa wa Temeke.
 
Huyu Kova aliyeudanganya ulimwengu kwamba Dr. Steven Ulimboka ametekwa na kichaa raia wa Kenye Joshua Mlundi aliyekwenda kutubu baadaye kwa mchungaji Gwajima?!

Hayo maandamano ya UVCCM atakuwa ameyandaa Kova mwenyewe na kuyapiga marufu yeye mwenyewe!

Kova asitufanye watanzania kwamba AKILI zetu zina makengengeza kama macho yake.

Umenikumbusha ya Kiongozi wa Panya Road
 
Wanaigiza tu,hayo yamepikwa tu ili eti ionekane wanatenda haki but in real sense hakna democracy hapa!!!,acha tusubiri tuone twafanyani 2015 ,,,,,au wamemuogopa rais wa shilikisho la ujeruman!!!!!!!japo cna uhakika km hii issue ni valid!!!,ilitakiwa wazuie yoooote yaliafanyika na kinana!!!!

Mbona hamna shukrani bavicha? Sasa andamaneni alhamisi mkione cha moto
 
Akili za kova ni mchanganyiko wa kamasi na kiini cha yai viza
Sasa anadhani wote tunaakili kama zake ezi za kuadaa watz zilishapita
Walivyotangaza kuandamana werevu haya tulishajua yatatokea so haishangazi hata kidogo.
 
Umeniwahi Mkuu, swali zuri sana hili na kamwe hawawezi kulijibu, BRAVO!

Yaani Mkuu BAK huyu Kova anatufanya watu wote ni wajinga.. Amekurupuka huko kaja na single hiyo.. Baadae akistaafu utasikia anataka kugombea ubunge.. Kulipwa fadhila..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani uvccm wametoa wapi hela ya kuhonga mateja wa kuandamana nao?

Ni usanii mtupu na wamefanya hivyo ili rais wa ujerumani aone kuwa vyama vya upinzani ni wajeuri awatii sheria wakiambia waache maandamano wanakataa lkn ccm wakiambiwa waache wanatii sheria na ni mpango wa ccm na polis,chezea misaada ww?
Hiyo ndo CCM Sanaa tupu
 
Kova alitakiwa awe mwanamazingaombwe maana mbwembwe zake na ukatuni haziishi. Hachelewi kuonyesha silaa eti wanachadema walitaka kuwalipua.
 
Maandamano yao yalihusu nini? Kuipongeza polisi kwa kumpiga Lipumba? Hawa watu Wapumbavu kupita kiasi!!

Yaani Mkuu BAK huyu Kova anatufanya watu wote ni wajinga.. Amekurupuka huko kaja na single hiyo.. Baadae akistaafu utasikia anataka kugombea ubunge.. Kulipwa fadhila..
 
Back
Top Bottom