Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,570
Reaction score
21,115
Kamanda wa kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Bw. Kova amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na UVCCM kesho kwa sababu za usalama!

Source: EA radio saa kumi jioni leo!
 
Wanaigiza tu,hayo yamepikwa tu ili eti ionekane wanatenda haki but in real sense hakna democracy hapa!!!,acha tusubiri tuone twafanyani 2015 ,,,,,au wamemuogopa rais wa shilikisho la ujeruman!!!!!!!japo cna uhakika km hii issue ni valid!!!,ilitakiwa wazuie yoooote yaliafanyika na kinana!!!!
 
Huyu Kova aliyeudanganya ulimwengu kwamba Dr. Steven Ulimboka ametekwa na kichaa raia wa Kenye Joshua Mlundi aliyekwenda kutubu baadaye kwa mchungaji Gwajima?!

Hayo maandamano ya UVCCM atakuwa ameyandaa Kova mwenyewe na kuyapiga marufu yeye mwenyewe!

Kova asitufanye watanzania kwamba AKILI zetu zina makengengeza kama macho yake.
 
Ni usanii mtupu na wamefanya hivyo ili rais wa ujerumani aone kuwa vyama vya upinzani ni wajeuri awatii sheria wakiambia waache maandamano wanakataa lkn ccm wakiambiwa waache wanatii sheria na ni mpango wa ccm na polis,chezea misaada ww?
 
Hili ndo jeshi letu la polisi bana. Eti wanabalansisha! Kwanza ni wapi na ni lini hao YUVISISIEMU waliomba kufanya maandamano kama sio Kova anajitungia mwenyewe.
 
ccm na policcm ni wanafiki wa kutupwa,imefika mahala jeshi la polisi limekuwa kama chama cha siasa sasa,eti kapiga marufuku maandamano ya uvccm?ina maana wanaona akili za watanzania ni kama za mtoto wa miaka 3 eeh?
 
....waliandaa maandamano wenyewe na eti amezuia tena yeye mwenyewe,mbinu za kipambavu.....mbona wanapokuja kuvamiwa anakuwa hajui...
 
Back
Top Bottom