KOTELA and MRIENY' Primary Schools...

KOTELA and MRIENY' Primary Schools...

mazingira mazuri ya kimakuzi yanasaidia sana kuwaweka vijana katika hali nzuri kiakili na kimaarifa...
wamelelewa vyema

Kweli mkuu ukimpa kijana wako malezi mazuri ambayo yana Mungu ndani yake atakuwa kijana bora sana sio hawa wa mradi liende
 
Ningekuwa ndiyo wewe ningefuta haya maneno kwa kifutio cha pensel;

Usione wala unga na bangi au punda wabeba mizigo ukaseme kuwa ni watoto wa
watu masikini au ukajua kuwa ni wale wa shule za kwa st kanumba.

Hapa bongo pana vijana wengi wa watu wakubwa sana (tena wengine
nawajua kwa majina na vyeo vyao) wa nchi hii
wamesomeshwa vizuri na sasa wameshaharibika;

Omba Mungu kikombe hicho kukupite; hakuna ujanja kwenye malezi ya watoto.

Kweli mkuu ukimpa kijana wako malezi mazuri ambayo yana Mungu ndani yake atakuwa kijana bora sana sio hawa wa mradi liende
 
kiwatengu kama unakumbuka vizuri siku ile tumeonana pale kanisani
pembeni yake kulikuwa na mti mmoja wa mtembo ambao zamani
inaaminika ndipo ilipokuwa imefungwa kengele ile ya kupiga kuashiria
ibada au kama kuna lolote la kuwajulisha watu.

Ikafika mahali kuwa ni lazima huo mti ukatwe kwa kuwa mazingira yalishaboreshwa
na hautakiwi tena kuwepo pale.

Kwenye kuukata habari za kuaminika mti ulikuwa unalia kama mtu;
........ ukitaka kilichotokea ulipokatwa nipo niulize ..... copy CHAI CHUNGU

Naomba mtambue shule hizo hapo juu!!
Hiyo ya pili kasoma Mr Rocky

Ya kwanza kasoma my aunt.. Mamndenyi...
still ndiyo the best primary schools in Tanzania..

Hongereni wadau kwa kuweka misingi imara katika shule zenu..

Tusisahau tulikotoka!! >>>
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa ndiyo wewe ningefuta haya maneno kwa kifutio cha pensel;

Usione wala unga na bangi au punda wabeba mizigo ukaseme kuwa ni watoto wa
watu masikini au ukajua kuwa ni wale wa shule za kwa st kanumba.

Hapa bongo pana vijana wengi wa watu wakubwa sana (tena wengine
nawajua kwa majina na vyeo vyao) wa nchi hii
wamesomeshwa vizuri na sasa wameshaharibika;

Omba Mungu kikombe hicho kukupite; hakuna ujanja kwenye malezi ya watoto.
Mamndenyi hukunielewa sijazungumzia ukwasi wa familia au umaskini wamtu nilichozungumzia ni aina ya malelzi tunayowapa watoto wetu whether wewe ni tajiri au maskini ila ni aina gani ya malezi tunawapa watoto. Je malezi ya watoto wetu tunamshikirisha Mungu na Mungu anatuongoza katika kuwalea au kwa vile una kila kitu ndani ndo unaamini kuwa malezi ya mtoto yatalindwa au yatakuwa kulingana na vitu ulivyo navyo
nakubaliana na wewe wako wengi wana kila kitu na wanasomeshwa kwenye shule bora na wana kila kitu kinachohitajika katika maisha yao ila sio watoto ni manunda wakitoka nje ya geti la nyumbani kwao
Na wapo wengine maisha yao ni ya chini ila wana malezi ambayo Mungu anawaongoza na wanaishi kulingana na malezi ya wazazi wao
Wapo ambao kwao pi ni maisha duni ila ni nunda wa mtaani pia na wapo ambao wana kila kitu ila wamelelewa katika malezi bora pia
Ninachomaanisha ni kuwa katika malezi ya watoto, wazazi wachukue nafasi yao vyema na wamtangulize Mungu awape hekima ya namna ya kuwalea watoto wao na maombi pia yakitawala ili Mungu akuonyeshe namna bora ya kumlea kijana wako au binti yako maana ukimuachia mwalimu dunia au ukisema mtoto anaenda shule huko atajifunza ni kwamba umemwachia dunia imfundishe aina ya maisha na akirudi akiwa amenyoa kiduku na anavuta bangi usikasirike
Au wazazi mkiwa busy sana mkimwachia house girl au house boy awalelee watoto wakiwa nunda wa mtaani usilaumu maana ulikuwa busy na hukupenda kuwa karibu na mtoto wako au kumtafuta Mungu akupe hekima na maarifa ya malezi ya watoto wako
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi! ki ukweli sijawahi kusikia story ya ule mti wa mtembo pale..
aisee ts amaizing
 
Last edited by a moderator:
So siku ya kuukata ule mti,
wakati zoezi linaendelea wakataji wakadai
kuwa mti ulikuwa unalia kama mtu.

Kabla haujadondoka akakatiza mama mmoja wa
jirani sana pale kanisani, mama katoka zake town
akashuka pale ili aende home kwake;

Kabla ya kukatiza akauliza wakataji, jamani vipi naweza katiza hapo
wakasema mama pita tu mti bado sana kuanguka;

Mama ametia tu mguu pale mti ukamwangukia, bahati nzuri hakufa ila
aliumia umia akakimbizwa hospitalini.

Baada ya kupona yule mama alikuja kutoa ushuhuda kuwa
aliota ndoto kwamba aende kwenye ofisi za kanisa akamwambie mchungaji
kuwa huo mti usikatwe kwa kuwa ulikuwa umefungwa kengele miaka ya nyuma.

Lakini mama akaona kuwa ni only ndoto na akapuuza akaachana nayo;

Naamini umeelewa elewa kidogo kuhusu ule mti wa mtembo,
japo huwa sina kiswahili fasaha sana.

Mamndenyi! ki ukweli sijawahi kusikia story ya ule mti wa mtembo pale..
aisee ts amaizing
 
nashukuru kaka zangu kiwatengu , Mr Rocky , ila tofauti ya lyasongoro na lyasomboro ni lyasongoro kanisa la lutheran usharika wa lyasongoro na lyasomboro linatumika kama jina la kijiji na jina la shule japo sikuhizi kutokana na tafsiri mbaya jina lyasongoro linatumika kwa vyote nikimaanisha shle, kijiji na kanisa
 
Hili litakuwa limeanza kutumika siku za nyuma kidogo, afu kuna Library moja ya kisasa ipo huko Masia ndani ndani hivi, nilifika mara ya mwisho mwaka 2004. bado ipo?
Maktaba nadhani inajitegemea!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo library bado ipo na inapatikana pale TRC shule ya msingi mshiri chezea marangu wewe kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
mi naijua vyema mkuu, niliwahi kufika pale 2004. walikuwa wanatumia hadi komputer + projectors kule wako mbele mkuu

Kweli hao wako juu kama 2004 wanatumia projector na computer ni balaa
Ila ukiangalia kule mndenyi hakujakaa kama kijijini maana mambo yanayofanyika kule ni kama yanafanywa kimjini na sio kijijini kama kule mkuu kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Kweli hao wako juu kama 2004 wanatumia projector na computer ni balaa
Ila ukiangalia kule mndenyi hakujakaa kama kijijini maana mambo yanayofanyika kule ni kama yanafanywa kimjini na sio kijijini kama kule mkuu kiwatengu

kweli kabisa Mkuu, hivi si unaijua ile sekondari ya Mboni? wanafunzi wake wameanza kufundishwa computer kama somo mwaka 2003! hebu angalia afu ufananishe ni secondary gani kubwa hapa Tanzania zinazomilikiwa na serikali zilizofikia juu kitechnolojia kama hiyo..

Wako juu kweli
 
Back
Top Bottom