Ohhhh my God kumbe ndicho unachotafuta hahahahah Mamndenyi
Ngumu sana kuupata maana ni kaukoo kamoja kadogo sana wala hakajulikani sana
Na kako Kokirie na Komakundi na Mwika kidogo
Ila ni kaukoo kadogo sana
fikiria kwa nguvu mtu wangu! utaelewa sana tu
kuchi kuchi hotahe my darling love..
Aika mmbe kanyi
Mndumii nakusongoe
ile chemichemi ilishakauka? Nilikuwa sijui.
aaaah! umebug ujue... nnehi ni no..
kya kwi usomiye iyo..
kiwatengu umeona eeehhh huyo BARIKI MINJA ni wa juzi kumbe aise unaweza shangaa tunachat na watoto wetu humu bana
ha ha ha! wanajifunza..
uzuri, kijana yuko vizuri