BARIKI MINJA hivi Lyasongoro nako kuna Minja maana nijuavyo Minja ni ya Mamba na Marangu kidogo na MasiaMamndenyi nimekupata vyema sana!
nadhani chama atapata kufahamu vyema jinsi ulivyotulia kwenye mambo yako!!
Arushaone nadhani na yeye anapajua vyema sana...
BARIKI MINJA ye ni wa milimani zaidi kule Lyasongoro...ha ha ha ha
CC;
marejesho!
BARIKI MINJA hivi Lyasongoro nako kuna Minja maana nijuavyo Minja ni ya Mamba na Marangu kidogo na Masia
anza vya kwenu basi! ukiweza naku gift kitu kikubwa sana..
ha ha ha ha! kariakoo, upanga!!
Mamndenyi nimekupata vyema sana!
nadhani chama atapata kufahamu vyema jinsi ulivyotulia kwenye mambo yako!!
Arushaone nadhani na yeye anapajua vyema sana...
BARIKI MINJA ye ni wa milimani zaidi kule Lyasongoro...ha ha ha ha
CC;
marejesho!
BARIKI MINJA hivi Lyasongoro nako kuna Minja maana nijuavyo Minja ni ya Mamba na Marangu kidogo na Masia
BARIKI MINJA atakuwa ni wa pale juu ya kwa
Askofu Moshi kidogo, wapo akina minja wengi pale.
unaifahamu marangu vyema, ila trace location ya Lyasongoro vyema..
kuna Masia mbili.
karibu mbee
ngikundi ngacha na iho himo ngikuone mfiri umwi monowama
yeah nishakumbuka Mamndenyi na pale kuna wajomba zangu wa akina Minja wako pale wengi tuu
Ila pale kuna mchanganyiko akina Moshi, Minja na Mafole zote ziko pale na Lyimo pia
Ni sawa na umenipeleka home moja kwa moja
kwa mafole ameolewa huko mama mdogo wangu,
najitahidi sana kujua ukoo wako but one day nitaujua tu.
ipo pale mgodini naifahamu pia..