KOTELA and MRIENY' Primary Schools...

KOTELA and MRIENY' Primary Schools...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Naomba mtambue shule hizo hapo juu!!
Hiyo ya pili kasoma Mr Rocky

Ya kwanza kasoma my aunt.. Mamndenyi...
still ndiyo the best primary schools in Tanzania..

Hongereni wadau kwa kuweka misingi imara katika shule zenu..

Tusisahau tulikotoka!! >>>
 
Last edited by a moderator:
wife! shansarie do u remember where u got the foundation of ur education?

KOKUTONA do remember Kyabakari primary school?
 
Last edited by a moderator:
Hivi nyie kumbe mlisoma "praimare"..!?
 
Mmmh Mr mi wa mujini bwana japo hata ukiniambia njoo tabata lazima nikuulize napanda basi la wapi.
nilisoma vishule vingi nilianziamuhimbili pri, magereza[kisarawe primare kariakoo huko nikaingia bunge kidogo, nikamalizia na upanga primareeeeee this was ma best at the time ilikuwa juu
Ila huko ulikokutaja KOTELA umenikumbusha mbali dear maana nimesoma maeneo ya huko mi nimemiss soko la KINYANGE nilikuwa naenda kununua nyanya za kachumbari
 
natamari ningesoma kijijini kwetu lyasikika primare au mwowe primari acha kabisa matata
 
natamari ningesoma kijijini kwetu lyasikika primare au mwowe primari acha kabisa matata

mitaa ya kina Smile hiyo! + Jamaa mmoja hivi, nimesahau username yake...
ametokea huko huko cha lyamungo kati
 
Last edited by a moderator:
Maringeni Primary School ndio best. Imetoa kwaya bora kwenye UMISHUMTA Wilaya ya Moshi Vijijini na mkoa wa Kilimanjaro mara kadhaa. Usafi na utanashati usiseme. Kwanza mpo humu hebu inueni mikono juu.
 
Back
Top Bottom