shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
kumbe ewe bwa lyamungo kyeku
yaani huko ndo kwenyewe bila chenga
kumbe ewe bwa lyamungo kyeku
kiwatengu umenifikisha nyumbani. Kotela ni pale shuleni tulionana mi nikiwa naenda kumzika mzee wetu mdogo. Mi nilisoma kimangaro ambayo kwa sasa ni bishop moshi sec school.
Aika sana mae
kumbe ilibadilishwa jina?
Pale ndo home pia
we ulipaa? au ndiyo zile medium school
Nafikiri kijana wake anaitwa Dr Zebadia Moshi ni mkuu wa VETAkiwatengu kama uliona pale kanisani kotela pembeni alizikwa Askofu wa kwanza wa KKKT Mh. Stefano Moshi na kwa sasa wamepajenga sana wameamua pawe eneo la kitalii. Kazi inasimamiwa Na kijana wake mmoja ambaye ni boss fulani huko VETA.
Mamndenyi umepatia kabisa aise pale Kotela napita tuu njia banaMr Rocky atakuwa ni wa kule juu mitaa ya kokirie. pale anapita njia tu ninavyohisi.
Mtoto halali na hela ndo manake bana mi mzawa kabisa aiseaah kumbe we mzawa wa huku?
Nafikiri kijana wake anaitwa Dr Zebadia Moshi ni mkuu wa VETA
Mamndenyi umepatia kabisa aise pale Kotela napita tuu njia bana
Mtoto halali na hela ndo manake bana mi mzawa kabisa aise
shem we hukumbi ile ya kwako? Chaukari primary school!!
aika sana