GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Kwamba WALE WOTE WALIOZALIWA ( 1900 - 1965 )
- Ni Watu WENYE BUSARA, UTU, HEKIMA, ROHO NZURI Ila HAWAZINGATII TU UZAZI WA MPANGO.
- Ni Watu WABISHI, WAOGA, HAWAPENDI NGONO Ila Ni WACHUMI WAZURI SANA.
- Ni Watu WENYE AKILI, WAPAMBANAJI WAZURI, WANAJIAMINI, WAKOROFI, HAWAPENDI UNAFIKI, WASOMI WAZURI, MAKINI, WAPENDA UTANI ILA NI WAPENDA NGONO WA KUTUKUKA, WABABE, HAWAPENDI KUBISHIWA NA NGUMI MKONONI.
- Ni Watu WAVIVU SANA, KULA KULALA, WANAPENDA DEZO DEZO ILIYOTUKUKA, WADEKAJI WAZURI Na WANAHITAJI KILA MARA UANGALIZI Na KUSIMAMIWA KTK UTENDAJI WAO NA MAISHA YAO KIUJUMLA.
- Ni WATU WASIOJALI Na HAWAJUI HATA WATENDALO Huku WAKIWA NI WAPENDA MAJUNGU WALIOTUKUKA ISIPOKUWA WANA SIFA KUBWA YA KUWA MAHIRI KTK MAHABA NA WANA BAHATI YA KUWA NA MAHUSIANO MAZURI YANAYODUMU IWE NI KWA WANAUME NA WANAWAKE.
- Ni Watu WASIOPENDA KABISA KUSOMA WALA KUJIENDELEZA KIELIMU ILA WANACHOPENDA WAO NI KUSTAREHE NA KWENDA NA WAKATI NA WAKATI MWINGINE HUPENDA MNO KUJIHUSISHA NA MATUKIO HASA YA UWIZI AU UTAPELI ILI TU WAFANIKISHE AZMA YAO YA KUISHI MAISHA YA RAHA.
- Hawa Ni VIKOJOZI WALIOTUKUKA.