Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,531
- 22,760
Bado nitume namba nashida na bukubuku kumi 😪 nitalala njaa leoUmeandika falsafa kubwa sana, i hope ushapata buku lako.
Bado nitume namba nashida na bukubuku kumi 😪 nitalala njaa leoUmeandika falsafa kubwa sana, i hope ushapata buku lako.
😂😂😂toka pepo😅😅😅😅😅Una nini lakini
Matapeli mahandsome washindwe
Sawa brother nimechukua ushauri wako mkubwa 🙏🙏Kuhusu mahusiano kwa ujumla.
Katika kila njia utakayochagua lazima utakuwa judged.
Sina namba yake 😅😅Mpe basi dear hajapata 🤣🤣
Uko serious au michezo?Bado nitume namba nashida na bukubuku kumi 😪 nitalala njaa leo
We huwaga miyeyusho ila una madini kinoma!mapenzi ni kamari ya kihisia. huwez kucontrol kilichopo akilini kwa mwenza wako, but you can control how much power their choices have over your life.
Don't gamble what you can't afford to lose
Atakupatia dear 🤣Sina namba yake 😅😅
Huyo kwa hilo jibu alilokupati lazima tu anaishi na mke wake kama opponentKuna swali umemuuliza Robert nimecheka sana, unajua kwanini nimecheka? Sababu kwenye story niliyokuhadithia nilimuuliza muhusika same question, (Nikamuliza kwahiyo ikitokea mtu akakupenda will you take advantage of her?)na nimesema kuanzia siku hiyo nikawa namuangalia Boss wangu kwa macho tofauti sana, why? Nilifikiri hadi amekuwa mtu mzima almost miaka 50 itakuwa anaishije na mkewe? nikaover think ni namna gani anamuweka chini mkewe (sio kwa maana mbaya) au ni kwa namna gani ana kaa kimkakati kwa mkewe.
Just imagine baby girlMaana yangu ni kuwa mi pamoja na kujudge matendo najudge maneno yako pia, naamini kabisa kitu /ushauri au mshangao aliotoa ndio kanuni zake za maisha. Ndio maana i never looked him the same, utasemaje mtu aliyekuwa anampenda mkewe hana akili?
Wow nimevutiwa hapa my loveUlivyosema we are the same, ofcoz tunavitu vingi tunafikiria alike, Mi nilivyo anza kazi yangu ya kwanza, kuna dada anaitwa Abe** now anafanya kazi WB, aliponichunguza siku mbili tatu akaniita akanimbia nimekusoma sana nimegundua you are the “younger” version of me, Unavyofanya kazi, unavyo-interact na watu na the way you are carrying yourself, akasema hadi ukiwaga unaongea na simu break time huwa nakusikiliza, najisemea damn this girl is so me! Nikagundua anapenda wasichana pia, just like i, ni yule mdada mkubwa kazini halafu wala hana wivu na vidada sisi vi-junior, ana wa mentor vizuri, yaani she’s 10
i was so happy kuwa mtu niliyemuona nikamuadmire kumbe ananiona alike, so nilifurahi hadi pale nilipokuja kujua side yake ya mahusiano, 🙌🏻🤣 She sooooo weak (baadae tulikuja kufahamiana zaidi hasa alipoacha kazi pale) nilikuja kufahamu husiano lake moja hivi…alimpenda kaka mmoja huyo kaka alimuumizaaa, yaani alimvunja vunja 😅 Sicheki kama mazuri nacheka kwasababu kama ana tabia zangu (yeye amekiri) maana hata kwenye kupenda tunafafana sasa itakuwaje? i was 23 of age I mirrored her halafu nikatengeneza mkakati wa kuishi…….I guess i’m good.
Thank you sweetheart 💓Nimekuhadithia haya yote kwa lengo gani? Chunguza kanuni za ulimwengu ishi nazo, na kanuni hizo umeshazisoma kupitia comment section ya hili bandiko lako. 😘
Kweli tena nikutumie namba PMUko serious au michezo?
Kwanini bank teller lakin 🤣My second year chuo nili date bank teller ndipo nilipojua wanawake ni watoto waliochangamka😁
Ni huzuniInasikitisha sana.
Sawa kaka mkubwa imeisha hiyoooKaa kimachale.
Hebu tag hiyo mada ya mtoa hoja tuone na tushauri ShesRise_1Kosa la Mwanamke Anapopenda Ni Nini?
Kuna mtoa mada juzi kasema kwamba dada yake alikuwa in love na mshikaji fulani na mwisho wa siku yule jamaa akamtapeli ikiwemo kadi yake ya bank, na kumuacha akiwa mjamzito
Nikaona baadhi ya comments wakisema kwamba wanawake huwa tunapenda sana bila kuchunguza au kutumia akili
Sasa najiuliza, kosa la huyo dada ni nini hasa?
Kumpenda huyo mwanaume na kumwamini hilo ndiyo kosa?
Kwa nini tusimlaumu kwanza mwanaume kwa kuwa msaliti na tapeli wa mapenzi?
In short ameaminiwa ila amefanya hiyana wakulaumiwa hapa ni huyu binadamu aliekosa utu na kuongozwa na tamaa
Ajabu ni kwamba mwanamke akipenda sana utasikia:
Utasikia 👇
Wanawake wakipenda wanapenda vibaya, hawatumii akili
ooh 👇
Mwanamke akitiwa vizuri hasikii wala haoni
Hapo mwanamke kaonekana amependa vibaya sio kupongezwa kwa kua na upendo usiopimika
Sasa ikitokea mwanamke kaamua kua bandidu
unasikia👇
Wanawake ni majambazi, tusiwaamini, ni watu wabaya, hawana mapenzi..🙄
Na bla bla kibao
Hata hapa jamvini tunaona hizi shutuma
Sasa mimi nashangazwa...
Mwanamke akipenda kwa moyo, akaamini na kujitoa kwa mtu, mwisho wa siku akapigwa matukio na kudhalilishwa, tunaishia kusema:
Alitumia hisia badala ya akili
Na kuacha kulaumu mharibifu
Akiamua kuwa bandidu, kujilinda na kutoweka moyo wake kirahisi, unaambiwa:👇
Huyu sio wife material
Sasa mwanamke afanye nini? 😅
Tukipenda sana, tunatumia akili vibaya
Tukijilinda, hatuna upendo
Tukiamini, tumejitoa bila kuchunguza
Tukikataa kuamini kirahisi, tunaambiwa tuna attitude
Basi kosa la mwanamke linakuwa nini hasa?
Nyinyi wanaume, nawaambieni kitu...
Mwanamke anapojitolea kukupenda kwa moyo bila kuwa na kasumba nyingi, wewe ambaye unapendwa appreciate hiyo nafasi
Usigeuze upendo wa mwenzako kuwa fimbo ya kumchapia
Usitumie udhaifu wa mtu anayekupenda kama silaha dhidi yake
Na kama unaona kwamba upendo unaopewa unakuzidi, au unaona huwezi kuurudisha kwa kiwango anachokupa, ni bora kuwa muwazi kwenye mapenzi kuliko kuendelea kumshikilia mtu huku ukijua humthamini na wala huna haja nae
Mwambie ukweli
Mwambie unachoweza na usichoweza kumpa ajue kabisa ananyoa au anasuka
Na hii hata kwa mwanamke pia ni vivyo hivyo ukiona hujamuelewa mshikaji be open mapema MUDA NI MALI!
Maana wakati mwingine kinachomuumiza mtu si kwamba hapendwi, bali ni kupewa matumaini na mtu ambaye tayari anajua hawezi kumpenda
Na mwisho wa siku, moyo wenye upendo si ule unaopenda tu
Moyo wenye upendo ni ule ambao haumuumizi mwingine kwa makusudi(labda bahati mbaya)
Swali la mjadala 👇
Kosa ni la anaependa sana na kujitolea?
Au kosa ni la anaeumiza mwingine
Kwa kumjeruhi kihisia au hata kiuchumi?
ShesRise_1 ✋️
Mpka nikaitafute hiyo post yakeHebu tag hiyo mada ya mtoa hoja tuone na tushauri ShesRise_1
Itakuwa vizuri sanaMpka nikaitafute hiyo post yake
Nikiiona nitaiweka hapa
SawaItakuwa vizuri sana
Hakuna mwenye X-ray machine ya kuumulika au kuuchunguza moyo(Nia) ya mtu. Kuna mambo tukubali tu kwamba yapo juu ya Uwezo wetu wa kibinadamu. Ndio maana tunashauri kufanya hivi 👇Kosa la Mwanamke Anapopenda Ni Nini?
Kuna mtoa mada juzi kasema kwamba dada yake alikuwa in love na mshikaji fulani na mwisho wa siku yule jamaa akamtapeli ikiwemo kadi yake ya bank, na kumuacha akiwa mjamzito
Nikaona baadhi ya comments wakisema kwamba wanawake huwa tunapenda sana bila kuchunguza au kutumia akili
Sasa najiuliza, kosa la huyo dada ni nini hasa?
Kumpenda huyo mwanaume na kumwamini hilo ndiyo kosa?
Kwa nini tusimlaumu kwanza mwanaume kwa kuwa msaliti na tapeli wa mapenzi?
In short ameaminiwa ila amefanya hiyana wakulaumiwa hapa ni huyu binadamu aliekosa utu na kuongozwa na tamaa
Ajabu ni kwamba mwanamke akipenda sana utasikia:
Utasikia 👇
Wanawake wakipenda wanapenda vibaya, hawatumii akili
ooh 👇
Mwanamke akitiwa vizuri hasikii wala haoni
Hapo mwanamke kaonekana amependa vibaya sio kupongezwa kwa kua na upendo usiopimika
Sasa ikitokea mwanamke kaamua kua bandidu
unasikia👇
Wanawake ni majambazi, tusiwaamini, ni watu wabaya, hawana mapenzi..🙄
Na bla bla kibao
Hata hapa jamvini tunaona hizi shutuma
Sasa mimi nashangazwa...
Mwanamke akipenda kwa moyo, akaamini na kujitoa kwa mtu, mwisho wa siku akapigwa matukio na kudhalilishwa, tunaishia kusema:
Alitumia hisia badala ya akili
Na kuacha kulaumu mharibifu
Akiamua kuwa bandidu, kujilinda na kutoweka moyo wake kirahisi, unaambiwa:👇
Huyu sio wife material
Sasa mwanamke afanye nini? 😅
Tukipenda sana, tunatumia akili vibaya
Tukijilinda, hatuna upendo
Tukiamini, tumejitoa bila kuchunguza
Tukikataa kuamini kirahisi, tunaambiwa tuna attitude
Basi kosa la mwanamke linakuwa nini hasa?
Nyinyi wanaume, nawaambieni kitu...
Mwanamke anapojitolea kukupenda kwa moyo bila kuwa na kasumba nyingi, wewe ambaye unapendwa appreciate hiyo nafasi
Usigeuze upendo wa mwenzako kuwa fimbo ya kumchapia
Usitumie udhaifu wa mtu anayekupenda kama silaha dhidi yake
Na kama unaona kwamba upendo unaopewa unakuzidi, au unaona huwezi kuurudisha kwa kiwango anachokupa, ni bora kuwa muwazi kwenye mapenzi kuliko kuendelea kumshikilia mtu huku ukijua humthamini na wala huna haja nae
Mwambie ukweli
Mwambie unachoweza na usichoweza kumpa ajue kabisa ananyoa au anasuka
Na hii hata kwa mwanamke pia ni vivyo hivyo ukiona hujamuelewa mshikaji be open mapema MUDA NI MALI!
Maana wakati mwingine kinachomuumiza mtu si kwamba hapendwi, bali ni kupewa matumaini na mtu ambaye tayari anajua hawezi kumpenda
Na mwisho wa siku, moyo wenye upendo si ule unaopenda tu
Moyo wenye upendo ni ule ambao haumuumizi mwingine kwa makusudi(labda bahati mbaya)
Swali la mjadala 👇
Kosa ni la anaependa sana na kujitolea?
Au kosa ni la anaeumiza mwingine
Kwa kumjeruhi kihisia au hata kiuchumi?
ShesRise_1 ✋️
Kuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kupewa na Mungu na Mke/Mume wa kujitafutia mwenyeweHakika hakika hakika umenena 👏👏
Lakini pia watu tujiepushe na kua sababu ya maumivu kwa wengine
Hata kama tumependwa sana na waliutupenda wakajiachia kwetu tusiwaumize
Watu hatujafanana maarifa !