Kosa ni la msaliti?

Kosa ni la msaliti?

Hakuna mwenye X-ray machine ya kuumulika au kuuchunguza moyo(Nia) ya mtu. Kuna mambo tukubali tu kwamba yapo juu ya Uwezo wetu wa kibinadamu. Ndio maana tunashauri kufanya hivi 👇

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.

Kujimwambafy kwenye mambo yaliyo juu ya Uwezo kutazidi kuwakaanga wengi
Shukran 🙏🙏
 
Kuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kupewa na Mungu na Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Sawa mkuu
 
Life is not fair.... Na ukweli mchungu ni kwamba "Life wasn't supposed to be fair in the first place"

Stay VIGILANT
 
eeh unaonekana una utu na utulivu 😁

sawa bro
Cc : binti kiziwi 😅

Wanawake wengine tunapenda vibaya msituumize gaizzzz
Sikuzingatia I'd sorry young girl

but it didn't last long alinifumania na niliyempenda zaidi yake

imagine niliyempenda zaidi yake naye tuliachana 😁
but we ended up having a daughter
 
Sikuzingatia I'd sorry young girl
hapa ndiyo unaharibu sasa mimi bro 😎
but it didn't last long alinifumania na niliyempenda zaidi yake
eeh uliempenda zaidi yake I wonder 🤣🤣🤣
imagine niliyempenda zaidi yake naye tuliachana 😁
hii ndiyo tuuite karma au pole mkuu😁
but we ended up having a daughter
Ulipata mtoto na huyo bank teller au?
 
Back
Top Bottom