habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Mwanaume pia hufunzwa adabu, au hujaenda jando?Acha pupa dada, tulia uelewe. Mwanamke kufunzwa adabu, heshima na utiifu ni moja ya haki zake.
Jiamini na si kukurupuka.
Mwanaume pia hufunzwa adabu, au hujaenda jando?Acha pupa dada, tulia uelewe. Mwanamke kufunzwa adabu, heshima na utiifu ni moja ya haki zake.
Jiamini na si kukurupuka.
I never discuss anything with fools. I m sorry for that.Kinapoongelewa kitu kisichoeleweka inahitaji watu wasioelewa kuelewa. Hope you are the one![]()
![]()
![]()
Mwanaume pia hufunzwa adabu, au hujaenda jando?
I never discuss anything with fools. I m sorry for that.
My Tomorrow Will Be Greater Than Today
Mawazo yako nayapinga, hayana nafasi kwa sasa,Nani unabishana nae kwani Dada? Wapi nimesema mwanaume hafunzwi adabu? Nilichoongelea umekisoma na kukielewe au unaandika tu kwa mihemko. Sipo hapa kuwakandamiza wanawake au kuwatetea wanaume. Ninachoongelea ni umuhimu wa kumfunza adabu mwanamke kwa mustakabali wa kizazi kijacho. Sasa sijui hujaelewa wapi?
Mkuu umeandika point za maana sana. Umefanya nitafakari mienendo ya 'mabinti' wa kitanzania na nikalinganisha na mienendo ya wanawake mashuhuri kwenye biblia walivyokuwa wanawapigania mataifa yao. Mtu kama Esther na hata Delila aliyewapigania wafilisti ndugu zake japo hakuweza kuwaokoa.
Ukiachana na habari za wale wa biblia, kuna habari ya miaka ya 1960s inayohusu mwanamke wa kiyahudi aliyekuwa kaolewa misri aliyoweza kupenyeza taarifa muhimu na hatimaye kuliokoa taifa lake dhidi ya maashambulizi ya wamisri na hatimaye Israel ikapata ushindi. Sasa jiuliza je, mabinti wa Tanzania kama Mange anaweza kufanya hivyo? Au ndo sherehe kisa taifa linasambaratika?
Mawazo yako nayapinga, hayana nafasi kwa sasa,
Tujadili kuhusu matatizo yanayoikabili jamii ya kitanzania na afrika, upuuzi huu ulouandika kauprinti uwe kwenye kabati km kumbukumbu
Mke uliye muoa au mtoto wa kumzaa unaweza kumdhibiti japo inategemea,Kwenye hii post hujaona matatizo yanayoikabili Afrika mkuu au ndio kujitia huna akili?
Hujaona tatizo la vijana kukokuwa na maadili kwenye hii post?
hujaona tatizo la uvivu kwa vijana kwenye hii post?
hujaona tatizo ndoa kuvunjika kwenye hii post?
hujaona hatari ya kuvunjika kwa amani kwenye nchi za kiafrika kwenye hii posti?
unataka matatizo gani niyazungumzie?
Wewe mtoto una Laana kweli kweli!
Kwa nchi zote zilizoendelea mwanamke ni next to God!
Angalia sheria za mmarekani zinvyo mtetea mwanamke, Europe na kwingine kote!
Nchi zote zinazo mdhalilisha mwanamke zinatawaliwa na mwanamme wa nchi nyingine!
Piga mahesabu yako vizuri usije ukafa bado kijana!
Mwanamke ni mtu kiumbe wa kuogopewa sana!
NDIYO MAANA VIJIJINI KUMEBAKI KINAMAMA NA WATOTO!
Chunga sana kijana!
Mke uliye muoa au mtoto wa kumzaa unaweza kumdhibiti japo inategemea,
Narudia tena
Mliweza zamani kdhibiti mwanamke, kwa sasa haiwezekani tena,
tukirejea kwenye makusudi ya mwenyezi mungu ya uumbaji wa mwanadamu ktk hizi jinsia mbili,kuna kitu kilikusudiwa ktk mfumo wa maisha ya jinsia hizo,ila utashi wa mwanadamu ndio ulioleta haya matokeo ya kibeijing.........
Rudi nyuma Unisome vizuriHata hapo ulipo unadhibitiwa. Sema kwa akili yako hulioni hilo.
Rudi nyuma Unisome vizuri
Niombee akili zinijie kabla sijafaSiku ukiwa na akili utayajua haya. kwa sasa bado mpaka yote yatimie