Kosa linalopuuzwa na Rais

Kosa linalopuuzwa na Rais

Wanawake ni viumbe muhimu pale wanapodhibitiwa kikamilifu. Tofauti na hapo ni balaa kuliko itakavyodhaniwa.
Mkuu, eleza kidogo.Unaposema Mwanamke inabidi adhibitiwe una maanisha nini hasa?.Asipelekwe shule?,asiajiliwe?,asifanye biashara?,asimiliki mali/fedha?,hastahili nafasi za Uongozi?.Fafanua tafadhali.
 
Kwenye hii post hujaona matatizo yanayoikabili Afrika mkuu au ndio kujitia huna akili?
Hujaona tatizo la vijana kukokuwa na maadili kwenye hii post?
hujaona tatizo la uvivu kwa vijana kwenye hii post?
hujaona tatizo ndoa kuvunjika kwenye hii post?
hujaona hatari ya kuvunjika kwa amani kwenye nchi za kiafrika kwenye hii posti?

unataka matatizo gani niyazungumzie?
Je nchi zilizoendelea Mwanamke amedhibitiwa?
 
Baba hapingwi abadani. Labda kwa watoto wasiojua nini maana ya Baba. Watoto waliokosa malezi stahiki.
Huwezi elewa hii bila kufikiri mkuu

huu ndyo upuuzi nisiopenda kuuskia "eti baba hapingwi" are u mad ? ina maana hta akikuamuru kufanya jambo ambalo si sahihi we unafanya tu bila kureason!
 
Mkuu, eleza kidogo.Unaposema Mwanamke inabidi adhibitiwe una maanisha nini hasa?.Asipelekwe shule?,asiajiliwe?,asifanye biashara?,asimiliki mali/fedha?,hastahili nafasi za Uongozi?.Fafanua tafadhali.

mwanamke adhibitiwe katika masuala yafuatayo;
1. Uhuru wa kujieleza ndani na nje ya familia
2. suala la uongozi ndani na nje ya familia
3. Kutotoa maamuzi ya mwisho
4. Amiliki nusu ya mali kwa kumlinganisha na mwanaume
 
Je nchi zilizoendelea Mwanamke amedhibitiwa?

Wamejitahidi kwa kiasi fulani.
Hasa kwenye suala la mishahara. Mwanamke kwa baadhi hulipwa nusu ya kile anacholipwa mwanaume wakati kazi ni ile ile na elimu ni ile ile. Kama sijakosea nchi ya uingereza.

Lakini bado hajadhibitiwa
 
mwanamke adhibitiwe katika masuala yafuatayo;
1. Uhuru wa kujieleza ndani na nje ya familia
2. suala la uongozi ndani na nje ya familia
3. Kutotoa maamuzi ya mwisho
4. Amiliki nusu ya mali kwa kumlinganisha na mwanaume
Vipi kuhusu Elimu/shule ambayo kwa kiasi kikubwa inampa haya yote?
 
Hahahaahaha kila mtu apambane na familia yake...binafsi namshukuru sana mzee wangu alikua King na mbabe kweli kweli familia ilikua imenyooka barabara...ametufanya tuwe vidume kwenye nyumba zetu na alihakikisha tunafanikiwa bila kusubiri afariki turidhi mali zake hapo alifanikiwa..R I P
 
Umesahau kuweka namba ya simu mkuu unaweza ukakumbukwa kwenye ufalme wa wakolomije.
 
Hahahaahaha kila mtu apambane na familia yake...binafsi namshukuru sana mzee wangu alikua King na mbabe kweli kweli familia ilikua imenyooka barabara...ametufanya tuwe vidume kwenye nyumba zetu na alihakikisha tunafanikiwa bila kusubiri afariki turidhi mali zake hapo alifanikiwa..R I P

shukuru sana
 
Mmmm! Mbona kama unaegemea upande?. Vipi kuhusu wanaume wasio timiza wajibu wao?, mfano wenye mitaala na hawahudumii familia zao, walevi, wakandamizaji, wabakaji, wababe, wanaolazimisha kurithi wake wa wenzao na mali za marehemu n.k HAWASTAHILI KUDHIBITIWA?, BADO WANASTAHILI HESHIMA?
 
Back
Top Bottom