subiri aende pale kisutu, kama msafi sheria itamsafisha. ila kwa ninavyojua, hautaamini macho yako kwasababu kenye hii issue kuna forgeries nyingi sana, money laundering amefanya sana huyu hasa kwa kusafishia hela chafu kwa kugawa kwa watu, kukwepa kodi amekwepa, ..yaani kuna makosa mengi hadi utamwonea huruma. we tuliza mtima subiri apelekwe mahakamani halafu utaona mziki wake.
na ikijulikana kuwa hao waliopokea pesa pia walikuwa na knowledge kuwa pesa hizo zilikuwa ni chafu, wote wanaingia kwenye money laundering.kosa ambalo halina dhamana. huyo mhindi singasinga ndio kabisa hatakuwa na dhamana hivyo ajiandae kwenda kukaa lupango na wezi wa manzese.