Kosa la Rugemalira ni nini ?

Kosa la Rugemalira ni nini ?

Rugemalira kauza hisa PAP sio escrow, hajalipwa na escrow kalipwa na PAP.

Ukilipwa na fedha zilizopatikana kiharamu (fedha chafu) una makosa ya kusaidia kutakatisha fedha chafu (Anti-laundering money Act)
 
Ni mpaka uwe unajua. vinginevyo hata mwenye nyumba aliyopanga sethi atakamatwa, dereva teksi aliyokodishwa na sethi atakamatwa, supermarket aliyofanya shopping etc..Rugemalira kamuuzia hisa sethi, that's not illegal. Unless una ushahidi kuwa Rugemalira alikuwa anajua kuwa hizo ni fedha haramu. By the way, rugemalira amelipwa kabla ya fedha za escrow kutoka.
 
Huyu jMali bhana, hadi ameninfanya nishindwe kutekeleza majukumu yangu vizuri leo manake tangu asubuhi, kila ninachomwelewesha hataki matokeo yake, yale yale niliyomwambia ndiyo yaliyosemwa na PAC... alivyoona kibao kimemgeukia, amekula kona!!!

Wala sijala kona, ni majukumu tu mkuu. Pili, nadhani PAC actually imesema yale yale niliyosema mimi!

1. kwamba James Rugemalira amepewa "chake" (hayo maneno ni ya zitto kabwe).
2. Ni James rugemalira ndio aliyewatonya Tanesco kuwa wamepigwa cha juu katika bei ya umeme. James Rugemalira ndio CHANZO CHA ESCROW ACCOUNT KUFUNGULIWA. what was his motive you may ask? James alikuwa tayari ameshagombana na IPTL at that time so aliwa-snitch. Je inawezekana vipi tena James huyo huyo LEO HII kucheza dili ya kuiba fedha za escrow? You see how ridiculous your argument sounds?
3. Zitto kataja majina ya watu waliopewa fedha na rugemalira. The only thing kuhusu haya majina ni kuwa ni mazito mazito, but that's IT! Hakuna mahala popote pale ambapo zitto ametuhumu anything regarding uhalali wa pesa. Sana sana ukiukwaji wa TARATIBU ZA KIBENKI. Nothing at all kuhusu fedha za umma.
 
Mkuu jMali,

Nilichukua uamuzi wa kutokukujibu post yako ya mwisho si tu kwamba nilijisikia uvivu kurudia kitu kile kile kila wakati huku ukijifanya hutaki kuelewa, bali pia busara ilinishawishi kuacha ili ujibiwe na Kamati ya PAC!

Je, unaweza kuniambia kati ya yale yote niliyosema hapo kabla, ni lipi ni la uongo? Nilikupa hata uwezekano wa kwamba ni pesa za Escrow ndizo zilitumika kumlipa Ruge, bado ulikataa...!! Je, PAC nao ni waongo?

dude unless uliangalia bunge lingine, hili halijasema kokote kuwa pesa za escrow ndizo zilizomlipa Ruge! In fact Zitto kasema wazi kabisa kuwa kulipwa kwa Ruge i.e ununuzi wa hisa za VIP ndiko kulikowezesha sethi kudai IPTL! Na ni Muhongo ndio aliomshawishi Ruge kumuuzia hisa Sethi ili mgogoro uishe, je hilo hukulisikia? Wewe ndio unatakiwa uone jinsi theory yako kuwa sethi kamtuma ruge kuhonga watu ilivyokufa hapo!
 
Ruge alijua deal nzima ilivyochezwa.ila naona kama amelipa fadhila kwa watu wote waliompa ushirikiano,
 
Tangu lini dalali wa biashara katika sekta binafsi akawa waziri wa serkali katika ofisi za serkali??

Hayo waulizwe Muhongo na singh sethi. Cha muhimu ni kuwa James rugemalira is innocent! Yeye aliweka IPTL chini ya mufilisi kwa amri ya mahakama ili ifilisiwe apewe haki yake, katokea sethi anasema whatever you are hoping to get, i'll give it to you, HAPO KOSA LIKO WAPI?
Unajua mkuu, the problem hapa ni kuwa mnachanganya utetezi wangu kwa Rugemalira kuwa natetea wizi wa fedha za escrow. Kumbuka mimi namzunguzia James Rugemalira tu na ushiriki wake katika hili sakata si zaidi ya hapo.
 
Wizi wa Rugemalila ni kupewa pesa kutoka ESCROW TEGETA account ya uma badala ya kulipwa kutoka kwa singasinga upo hapo???

Huu ni mchezo ulichezwa na Ruge kushirikishwa. In short, naweza sema hata naye pia ni jambazi kwani he knew everything na jinsi atakavyolipwa. Yaani kama vile wewe uniuzie nyumba yako kisha nikuambie kachukue hela zako kwa Kikwete kisiri siri ila uende na magunia siyo mfuko wa Rambo.
 
Cha kushangaza pesa za escrow!
Namna pesa zilivyolipwa, 40.425, 80.8, 16.1,80.850,1.617, 323.400, hii maana yake nini?

Zililipwa kwa USD, dola 100,000; dola 50,000; dola mil 1 n.k ukizibadili kuwa za kitanzania ndio zinakuja na hayo madecimali.
 
dude unless uliangalia bunge lingine, hili halijasema kokote kuwa pesa za escrow ndizo zilizomlipa Ruge! In fact Zitto kasema wazi kabisa kuwa kulipwa kwa Ruge i.e ununuzi wa hisa za VIP ndiko kulikowezesha sethi kudai IPTL! Na ni Muhongo ndio aliomshawishi Ruge kumuuzia hisa Sethi ili mgogoro uishe, je hilo hukulisikia? Wewe ndio unatakiwa uone jinsi theory yako kuwa sethi kamtuma ruge kuhonga watu ilivyokufa hapo!
jMali bado upo? Kweli duniani kuna watu mna roho ngumu aisee! Kwa ufahamisho tu ndugu yangu naomba ujue unapomtaja Singasinga unaitaja PAP na unapomtaja Rugemalira unaitaja VIP...sasa swali la kwanza kwako; Hisa za IPTL zilinunuliwa lini na nani? Swali la pili; hisa za VIP zilinunuliwa lini na nani? Na swali la mwisho fedha za ESCROW zililipwa lini na kwa nani? Naomba ujibu hayo maswali mawili halafu nitakuwa na ya nyongeza ukishajibu.
 
Rejea hata ripoti ya PAC leo hii:
1. IPTL ilikuwa kampuni mbili VIP ya Tanzania na Mechmar ya Malaysia, Mechmar ununuzi wa hisa zake ulikuwa wa utata kati ya PiperLink na Mechmar na benki ya StandardChartered Hongkong. Lakini hisa za VIP ndani ya IPTL hazina utata zilikuwa za James Rugemalira MTANZANIA.
2. Hisa za VIP zilinunuliwa na PAP mwezi september.
3. Fedha za Escrow zililipwa kwa PAP mwezi december.

Karibu kwa maswali ya nyongeza please.
 
Wala sijala kona, ni majukumu tu mkuu. Pili, nadhani PAC actually imesema yale yale niliyosema mimi!

1. kwamba James Rugemalira amepewa "chake" (hayo maneno ni ya zitto kabwe).
2. Ni James rugemalira ndio aliyewatonya Tanesco kuwa wamepigwa cha juu katika bei ya umeme. James Rugemalira ndio CHANZO CHA ESCROW ACCOUNT KUFUNGULIWA. what was his motive you may ask? James alikuwa tayari ameshagombana na IPTL at that time so aliwa-snitch. Je inawezekana vipi tena James huyo huyo LEO HII kucheza dili ya kuiba fedha za escrow? You see how ridiculous your argument sounds?
3. Zitto kataja majina ya watu waliopewa fedha na rugemalira. The only thing kuhusu haya majina ni kuwa ni mazito mazito, but that's IT! Hakuna mahala popote pale ambapo zitto ametuhumu anything regarding uhalali wa pesa. Sana sana ukiukwaji wa TARATIBU ZA KIBENKI. Nothing at all kuhusu fedha za umma.
Kama bado unaendelea kukanusha na kudai alichosema Zitto ndicho ulichosema wewe basi unanifanya niamini una interest fulani!!
  • Zitto ameelezea mashaka ya government officials and ex-officials kulipwa na Ruge na akaelelezea role ya kila mmoja kv Chenge kuwa ex-AG, yule jamaa wa RITA n.k mambo ambayo nilikueleza na wewe ukakana... hapa tena unadai alichosema Zitto ndicho ulichosema wewe!!
  • Nilikuambia wazi kwamba ingawaje Ruge pesa ni zake na ana haki ya kutumia apendavyo lakini bado matumizi yaliyoonekana yanatishia shaka na wewe ukapinga na hicho ndicho alichosema Zitto!
  • Nikakueleza kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba Seith na Ruge wamecheza mchezo pamoja na kuna uwezekano hata pesa alizolipwa Ruge zimetokana na huo mchezo na nikakueleza kuna uwezekano mkubwa kwamba ingawaje issue ni ya PAP lakini inawezekana walipeana majukumu ya nani a-deal na nani lakini wewe ukapinga na Zitto amethibitisha hilo baada ya kusema kuna wale ambao walilipwa kupitia a/c ya Ruge na kuna wale waliolipwa kupitia a/c ya PAP... inashangaza hapa unapodai kwamba ulichosema wewe ndicho alichosema Zitto!!
  • Unadai hakuna mahala Zitto alipomtuhumu Ruge... labda tu nikukumbushe kwamba moja ya mapendekezo ya PAC ni kwamba pesa ambazo Ruge na mwenzake waligawa kama njugu zinapaswa kurudishwa na pesa za Escrow pia zinapaswa kurudishwa... na ninaposema za Escrow maana yake ni pamoja na zile alizochukua Ruge... na kama hukusikia vizuri, suala la Ruge limeachwa kwa TAKUKURU na sidhani kama ulitarajia ahukumiwe bungeni... hapa bado unasema huoni tatizo liko wapi! Taratibu za kibenji zipi unazodai zimekiukwa?
  • Kwamba eti Ruge ndie kawatonya TANESCO wala sio hoja ya msingi na kama alikuwa na nia njema asingebadilika na kuiibia serikali! Ruge anaonesha wazi kwamba ni mbinafsi... fuatlia hata kwenye issue za Mabibo Wine... kila siku kupelekana kwenye vyombo vya sheria na vikampuni vidogo vidogo ili mradi tu awe na sole right ya ku-import ama bia hii au ile! Na katika hili la IPTL, kuna uwezekano mkubwa sana lengo la Ruge kuwatonya TANESCO wala haikuwa kwa ajili ya kuipenda nchi yake lakini bila shaka alifanya hivyo ili Mechmae imwage manyanga kisha VIP wafanye biashara na TANESCO peke yao vinginevyo, sioni maana yake, ikiwa yeye ni share partner wa IPTL, ilikuwaje IPTL wapange chaji kubwa against TANESCO kisha na yeye aridhiane na wenzake kwamba watachaji XYZ lakini baadae anawazunguka na kuwaambia TANESCO kwamba eti IPTL wanatoza pesa kubwa wakati na yeye ni sehemu ya IPTL! Hapa Ruge alitaka kuwazunguka wenzake ili biashara ya umeme afanye peke yake sawa na jinsi anavyohangaishana na vikampuni vidogo ku-demand exlussive right ya kuagiza baadhi ya bia hapa nchini!
  • Mwisho unauliza inawezekana vipi Ruge huyo huyo acheze mchezo na IPTL kuiba fedha za Escrow! Kwanza, Ruge hakucheza mchezo na wale ambao aligombana nao bali alicheza mchezo na mpiga deal mwingine anayeenda kwa jina la Seith! Ingawaje unasema kwamba my argument is ridiculous, nakushauri waulize waliomsikia vizuri wakati Zitto anasoma ripoti maana ake inaelekea ama hukuisikiliza au ulisikiliza lakini hutaki tu kukubali ukweli! Ingawaje unasema my argument is ridiculous, lakini hicho pia ndicho kilichosemwa na PAP! Kuhusu motive behind nimeshakujibu... Ruge alitaka kuwazunguka wenzake otherwise haiingii akilini kusema IPTL inawatoza kiasi kikubwa wakati mwenyewe ni sehemu ya IPTL.. what hypocrisy!
 
dude unless uliangalia bunge lingine, hili halijasema kokote kuwa pesa za escrow ndizo zilizomlipa Ruge! In fact Zitto kasema wazi kabisa kuwa kulipwa kwa Ruge i.e ununuzi wa hisa za VIP ndiko kulikowezesha sethi kudai IPTL! Na ni Muhongo ndio aliomshawishi Ruge kumuuzia hisa Sethi ili mgogoro uishe, je hilo hukulisikia? Wewe ndio unatakiwa uone jinsi theory yako kuwa sethi kamtuma ruge kuhonga watu ilivyokufa hapo!
Labda tukuulize wewe umesikiliza kituo gani... Kama ukusikia jinsi Zitto alivyowahusisha hata government officials na Ruge then am afraid there's something behind your critics!
 
wewe mwenye ufahamu tufahamishe ukishindwa basi wewe ndio huna ufahamu

aliuza hisa kwa kampuni bandia. akalipwa fedha zisizomilikiwa na kampuni hiyo kisheria. otherwise hana makosa ktk kugawa hela aliyodhani niyake.
 
Mkuu jMali,

Nilichukua uamuzi wa kutokukujibu post yako ya mwisho si tu kwamba nilijisikia uvivu kurudia kitu kile kile kila wakati huku ukijifanya hutaki kuelewa, bali pia busara ilinishawishi kuacha ili ujibiwe na Kamati ya PAC!

Je, unaweza kuniambia kati ya yale yote niliyosema hapo kabla, ni lipi ni la uongo? Nilikupa hata uwezekano wa kwamba ni pesa za Escrow ndizo zilitumika kumlipa Ruge, bado ulikataa...!! Je, PAC nao ni waongo?
dude unless uliangalia bunge lingine, hili halijasema kokote kuwa pesa za escrow ndizo zilizomlipa Ruge! In fact Zitto kasema wazi kabisa kuwa kulipwa kwa Ruge i.e ununuzi wa hisa za VIP ndiko kulikowezesha sethi kudai IPTL! Na ni Muhongo ndio aliomshawishi Ruge kumuuzia hisa Sethi ili mgogoro uishe, je hilo hukulisikia? Wewe ndio unatakiwa uone jinsi theory yako kuwa sethi kamtuma ruge kuhonga watu ilivyokufa hapo
Sawa, tuseme mimi sielewi au nilikuwa nafuatilia bunge lingine kabisa na wala sio bunge ambalo Zitto alikuwa anamwaga nondo zake! Hawa chini ina maana wote nao hawaelewi au walikuwa pia wanafuatlia bunge lingine kabisa?
Ruge alijua deal nzima ilivyochezwa.ila naona kama amelipa fadhila kwa watu wote waliompa ushirikiano,
jMali bado upo? Kweli duniani kuna watu mna roho ngumu aisee! Kwa ufahamisho tu ndugu yangu naomba ujue unapomtaja Singasinga unaitaja PAP na unapomtaja Rugemalira unaitaja VIP...sasa swali la kwanza kwako; Hisa za IPTL zilinunuliwa lini na nani? Swali la pili; hisa za VIP zilinunuliwa lini na nani? Na swali la mwisho fedha za ESCROW zililipwa lini na kwa nani? Naomba ujibu hayo maswali mawili halafu nitakuwa na ya nyongeza ukishajibu.
Huu ni mchezo ulichezwa na Ruge kushirikishwa. In short, naweza sema hata naye pia ni jambazi kwani he knew everything na jinsi atakavyolipwa. Yaani kama vile wewe uniuzie nyumba yako kisha nikuambie kachukue hela zako kwa Kikwete kisiri siri ila uende na magunia siyo mfuko wa Rambo.
Cha kushangaza pesa za escrow!
Namna pesa zilivyolipwa, 40.425, 80.8, 16.1,80.850,1.617, 323.400, hii maana yake nini?
Kama si mwizi mbona kaweka mawakili mpaka wa ulaya?
Sijajua kwa ishu nzito kama hii anaibuka MTU kutetea moja kati ya mafisadi. Siku zote fisadi ni mkwepaji na ndio maana hata huyu Singa Seth though alijua anafisadise lakini alitengeneza mfumo kuhakikisha analinda maslah na usalama wake kisheria!
Majibu nadhani umeyapata kwenye ripoti ya PAC.
Ukilipwa na fedha zilizopatikana kiharamu (fedha chafu) una makosa ya kusaidia kutakatisha fedha chafu (Anti-laundering money Act)
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mchezo ulichezwa na Ruge kushirikishwa. In short, naweza sema hata naye pia ni jambazi kwani he knew everything na jinsi atakavyolipwa. Yaani kama vile wewe uniuzie nyumba yako kisha nikuambie kachukue hela zako kwa Kikwete kisiri siri ila uende na magunia siyo mfuko wa Rambo.
Nilimwambia uwezekano huo hata kabla Zitto hajasoma lakini akakataa kata kata... hivi sasa anaibuka na kudai alichosema yeye ndicho alichosema Zitto!!!!
 
Kama bado unaendelea kukanusha na kudai alichosema Zitto ndicho ulichosema wewe basi unanifanya niamini una interest fulani!!
  • Zitto ameelezea mashaka ya government officials and ex-officials kulipwa na Ruge na akaelelezea role ya kila mmoja kv Chenge kuwa ex-AG, yule jamaa wa RITA n.k mambo ambayo nilikueleza na wewe ukakana... hapa tena unadai alichosema Zitto ndicho ulichosema wewe!!
  • Nilikuambia wazi kwamba ingawaje Ruge pesa ni zake na ana haki ya kutumia apendavyo lakini bado matumizi yaliyoonekana yanatishia shaka na wewe ukapinga na hicho ndicho alichosema Zitto!
  • Nikakueleza kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba Seith na Ruge wamecheza mchezo pamoja na kuna uwezekano hata pesa alizolipwa Ruge zimetokana na huo mchezo na nikakueleza kuna uwezekano mkubwa kwamba ingawaje issue ni ya PAP lakini inawezekana walipeana majukumu ya nani a-deal na nani lakini wewe ukapinga na Zitto amethibitisha hilo baada ya kusema kuna wale ambao walilipwa kupitia a/c ya Ruge na kuna wale waliolipwa kupitia a/c ya PAP... inashangaza hapa unapodai kwamba ulichosema wewe ndicho alichosema Zitto!!
  • Unadai hakuna mahala Zitto alipomtuhumu Ruge... labda tu nikukumbushe kwamba moja ya mapendekezo ya PAC ni kwamba pesa ambazo Ruge na mwenzake waligawa kama njugu zinapaswa kurudishwa na pesa za Escrow pia zinapaswa kurudishwa... na ninaposema za Escrow maana yake ni pamoja na zile alizochukua Ruge... na kama hukusikia vizuri, suala la Ruge limeachwa kwa TAKUKURU na sidhani kama ulitarajia ahukumiwe bungeni... hapa bado unasema huoni tatizo liko wapi! Taratibu za kibenji zipi unazodai zimekiukwa?
  • Kwamba eti Ruge ndie kawatonya TANESCO wala sio hoja ya msingi na kama alikuwa na nia njema asingebadilika na kuiibia serikali! Ruge anaonesha wazi kwamba ni mbinafsi... fuatlia hata kwenye issue za Mabibo Wine... kila siku kupelekana kwenye vyombo vya sheria na vikampuni vidogo vidogo ili mradi tu awe na sole right ya ku-import ama bia hii au ile! Na katika hili la IPTL, kuna uwezekano mkubwa sana lengo la Ruge kuwatonya TANESCO wala haikuwa kwa ajili ya kuipenda nchi yake lakini bila shaka alifanya hivyo ili Mechmae imwage manyanga kisha VIP wafanye biashara na TANESCO peke yao vinginevyo, sioni maana yake, ikiwa yeye ni share partner wa IPTL, ilikuwaje IPTL wapange chaji kubwa against TANESCO kisha na yeye aridhiane na wenzake kwamba watachaji XYZ lakini baadae anawazunguka na kuwaambia TANESCO kwamba eti IPTL wanatoza pesa kubwa wakati na yeye ni sehemu ya IPTL! Hapa Ruge alitaka kuwazunguka wenzake ili biashara ya umeme afanye peke yake sawa na jinsi anavyohangaishana na vikampuni vidogo ku-demand exlussive right ya kuagiza baadhi ya bia hapa nchini!
  • Mwisho unauliza inawezekana vipi Ruge huyo huyo acheze mchezo na IPTL kuiba fedha za Escrow! Kwanza, Ruge hakucheza mchezo na wale ambao aligombana nao bali alicheza mchezo na mpiga deal mwingine anayeenda kwa jina la Seith! Ingawaje unasema kwamba my argument is ridiculous, nakushauri waulize waliomsikia vizuri wakati Zitto anasoma ripoti maana ake inaelekea ama hukuisikiliza au ulisikiliza lakini hutaki tu kukubali ukweli! Ingawaje unasema my argument is ridiculous, lakini hicho pia ndicho kilichosemwa na PAP! Kuhusu motive behind nimeshakujibu... Ruge alitaka kuwazunguka wenzake otherwise haiingii akilini kusema IPTL inawatoza kiasi kikubwa wakati mwenyewe ni sehemu ya IPTL.. what hypocrisy!
Kwa kuongezea pesa aliyochukuwa Rugemalira ina kodi ndani yake ambao ni pesa ya umma.
 
Rejea hata ripoti ya PAC leo hii:
1. IPTL ilikuwa kampuni mbili VIP ya Tanzania na Mechmar ya Malaysia, Mechmar ununuzi wa hisa zake ulikuwa wa utata kati ya PiperLink na Mechmar na benki ya StandardChartered Hongkong. Lakini hisa za VIP ndani ya IPTL hazina utata zilikuwa za James Rugemalira MTANZANIA.
2. Hisa za VIP zilinunuliwa na PAP mwezi september.
3. Fedha za Escrow zililipwa kwa PAP mwezi december.

Karibu kwa maswali ya nyongeza please.
Je unayo habari kuwa PAP ni kampuni ya kitapeli au kwa lugha nyingine ni kampuni hewa? Huoni kwamba Rugemalira alifanya njama kwa kushirikiana na tapeli la kimataifa kukwapua fedha za walipa kodi wa nchi hii kwa baraka za mafisadi wetu wa kitaifa?
 
Hee! Hii sasa kali… baada ya kutubishia sasa umeamua kujibishia hata wewe mwenyewe!!!! We si uliniambia sifahamu utendaji kazi wa RITA na kwamba IPTL haikuwa chini ya mufilisi Hebu jikumbushe:
Kwa maelezo yako nahisi inawezekana hujui kazi ya RITA na jinsi inavyofanya kazi, naomba ufuatilie na kujiongezea ufahamu how RITA works. Kuna hatua za ufilisi na si kila kampuni inayowekwa chini ya RITA maana yake imefisilika au ndio inafilisiwa. IPTL iliwekwa RITA katika level ya uangalizi, hawakuwekwa katika hatua ya ufilisi. ….
Ukarudia tena kuonesha msisitizo:
Again, kama hujui kazi ya RITA lazima utatuhumu rushwa, lakini once ukijua, utagundua kuwa there is ABSOLUTELY NOTHING OF THE SORT. kampuni zinawekwa chini ya RITA kwa amri ya mahakama na zinaondolewa kwa amri ya mahakama. kama kuna mtu wa RITA amelipwa amelipwa kwa ishu zingine, vinginevyo thibitisha (ukionyesha ni jambo gani ambalo ofisa wa RITA kafanya kumsaidia JR).
Mara eh, saa chache baadae wewe yule yule:
Hayo waulizwe Muhongo na singh sethi. Cha muhimu ni kuwa James rugemalira is innocent! Yeye aliweka IPTL chini ya mufilisi kwa amri ya mahakama ili ifilisiwe apewe haki yake, katokea sethi anasema whatever you are hoping to get, i'll give it to you, HAPO KOSA LIKO WAPI?
Unajua mkuu, the problem hapa ni kuwa mnachanganya utetezi wangu kwa Rugemalira kuwa natetea wizi wa fedha za escrow. Kumbuka mimi namzunguzia James Rugemalira tu na ushiriki wake katika hili sakata si zaidi ya hapo.
Afanalek wallah, nchi ina viroja hii!!!
 
Back
Top Bottom