Kosa la Rugemalira ni nini ?

Kosa la Rugemalira ni nini ?

FACTS:

1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.

What is IPTL?
 
kuwahonga kwa nini? yeye anamiliki 30% ambazo zina thamani hiyo ya 75mi USD. Sasa hapo ahonge ili iweje? kwani singasinga asingenunua yeye angeumia kivipi? Na je, hao majaji na mawaziri wanahusika vipi na ununuzi wa hisa wa PAP from VIP?
seith alitoa shilingi ngapi kununua IPTL .badala yake wakachukue hela za escrow wakagawana,
 
As a matter of fact fedha zimetoka mfukoni mwa singasinga (PAP), nadhani wewe ndio ukafanye utafiti!
SINGASINGA HAKUTOA HATA SENTI TANO KUNUNUA IPTL BADALA YAKE ALICHUKUA HELA YA ESCROW AKAMGAWIA JR NDO AMENUNUA HIVYO .WAKATI HILO NI GAWIA HALALI RUGE MAANA NAYE ALIKUWA MWANAHISA
 
FACTS:

1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
nasubiri mwisho wa kesi yake nione
 
Wewe uliona wapi tangu nchi hii ipate uhuru mtu agawe 10 billion za mboga tu tena kwa watu wenye links kimadaraka?
FACTS:

1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
 
Wizi wa Rugemalila ni kupewa pesa kutoka ESCROW TEGETA account ya uma badala ya kulipwa kutoka kwa singasinga upo hapo???
Mkuu nani alimpa hizo pesa? Kwanini aliyemlipa hizo pesa akamatwi na kujibu kwanini alimlipa hizo pesa?
 
Huna ulijualo katafti ndio ulete uzi wako sawa!!unafikri km zingetoka mfukoni mwa singasinga ungesikia story ya JR???
Na kingne kuzitoa huko zlikua ndo maana kashirikisha wez wenzie kuwagawia mgao.
Hao wezi wenzie wapo Mars au Jupiter?
 
Bora mngekaa kimya tu kwenye ili mnazidi kumzamisha jamaa yenu.

James Rugemalira wa VIP Engineering and Management (VIPEM) na Harbinder Sing Sethi, wa Pan Africa Power (PAP) kwa kushirikiana na viongozi wa serikali wameitapeli na kuibia serikali fedha zote zilizochukuliwa toka akaunti ya Tegeta Escrow.

Mkuu kaa kimya.
Mkuu viongozi wa serikali kama nani na wako wapi?
 
Hapo kwenye ununuzi wa hisa ndipo kwenye wizi mkubwa hakuna hati halisi za hizo shere certificaties walifanya udanganyifu mkubwa zilizuiwa na mahakama, na kwenye kodi walitoa nyaraka za uwongo kukwepa kodi.
Si kweli
 
Hatia wanayo ila walitolewa kafala na viongozi wa juu wa serikali
 
yeye hakupokea fedha kutoka kwenye mfuko wa pap bali amepokea fedha zilizoibiwa bot huku yeye mwenyewe akijua kuwa zinaibiwa
Safi umemjibu vizuri kwa mutaza huu hats yule aliyembatiza kafulila ngedere angeunga kifurushi
 
FACTS:

1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
Hizo facts ndio zitamsaidia mahakamani, kama unataka kumsaidia ushahidi uwasiliane naye. Vita ya magamba wacha mmalizane wenyewe
 
FACTS:

1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
Nadhani alikuwa adui wa Magufuli kabla hajawa Rais, hakuna jingine zaidi ya hilo, refer kilichomkuta Manji
 
kuwahonga kwa nini? yeye anamiliki 30% ambazo zina thamani hiyo ya 75mi USD. Sasa hapo ahonge ili iweje? kwani singasinga asingenunua yeye angeumia kivipi? Na je, hao majaji na mawaziri wanahusika vipi na ununuzi wa hisa wa PAP from VIP?
Zile hela alikuwa anazitoa za nini?
 
Wizi wa Rugemalila ni kupewa pesa kutoka ESCROW TEGETA account ya uma badala ya kulipwa kutoka kwa singasinga upo hapo???
hivi pesa za escrow si zilitolewa ufafanuzi bungeni mpaka the top man?!?, bado tunaulizana maswali hayo?!?
 
Back
Top Bottom