Kosa la Rugemalira ni nini ?

Kosa la Rugemalira ni nini ?

Kama bado unaendelea kukanusha na kudai alichosema Zitto ndicho ulichosema wewe basi unanifanya niamini una interest fulani!
Zitto ameelezea mashaka ya government officials and ex-officials kulipwa na Ruge na akaelelezea role ya kila mmoja kv Chenge kuwa ex-AG, yule jamaa wa RITA n.k mambo ambayo nilikueleza na wewe ukakana... hapa tena unadai alichosema Zitto ndicho ulichosema wewe!!

  • Nilikuambia wazi kwamba ingawaje Ruge pesa ni zake na ana haki ya kutumia apendavyo lakini bado matumizi yaliyoonekana yanatishia shaka na wewe ukapinga na hicho ndicho alichosema Zitto!
mkuu kwanza nikusahihishe, zitto hajaeleza ROLE yoyote ambayo hawa watu wamecheza kwenye wizi wa singh sethi, kataja tu vyeo vyao, ambavyo ni common knowledge kwa kila mtanzania. Who doesn't know kuwa Chenge aliwahi kuwa attorney general? au tibaijuka ni waziri? Tatizo la Zitto ni lile lile uliokuwa nalo wewe, sensationalism! Majina makubwa yana-attract nzi! Ndio maana nikikuomba unipe theory ya kwa nini Methodious kilaini "kalipwa" sidhani kama utanieleza (well may be you can try hahaha,) Sasa yeye zitto kamtaja ili iweje? wametajwa ili kunogesha ripoti otherwise hakuna ROLE yoyote ambayo Zitto ameiainisha, badala yake amedai kuwa majina yao yamepelekwa takukuru sio kwa mashtaka BALI UCHUNGUZI! Swali ni je uchunguzi wa nini, kwa nini takuru hao wasiwe wamekamilisha huo uchunguzi mpaka leo? Je was that fair kuwataja wakati for now hakuna chochote cha maana kinachowakabili? jibu ni kuwa wametajwa kwa kuwa wanafahamika that's all!
Pili, Zitto hajaweka shaka yoyote kuwa VIP wamelipwa kiharamu. Hiyo ndio pointi ya msingi, ndio maana its pointless kutaja majina ya watu waliopewa pesa ambayo HUNA SHAKA NAYO KUWA NI HALALI! Let me ask you this simple question. Kama Rugemalira asingegawa hizi pesa, labda mpaka sasa zingekuwa tu pale Mkombozi, Je mashtaka yako dhidi yake yangekuwa nini? Ukijibu hili suala ndio utakuwa umemaliza mzizi wa fitna! The only thing kinachowavutia watu kumchafua rugemalira ni orodha ya watu aliowapa pesa, cha ajabu some of them kwa uwazi kabisa kama mama tibaijuka.
Nikakueleza kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba Seith na Ruge wamecheza mchezo pamoja na kuna uwezekano hata pesa alizolipwa Ruge zimetokana na huo mchezo na nikakueleza kuna uwezekano mkubwa kwamba ingawaje issue ni ya PAP lakini inawezekana walipeana majukumu ya nani a-deal na nani lakini wewe ukapinga na Zitto amethibitisha hilo baada ya kusema kuna wale ambao walilipwa kupitia a/c ya Ruge na kuna wale waliolipwa kupitia a/c ya PAP... inashangaza hapa unapodai kwamba ulichosema wewe ndicho alichosema Zitto!!
i must have missed that part au labda wewe umetafsiri vingine. Ngoja tupate file la ripoti ili tuwe tunafanya reference moja kwa moja, kwa sababu kwa sasa hivi tunatumia memory zetu tu ya kuona kwenye TV, so i reserve this nitajibu nikijipanga kwa file.

Unadai hakuna mahala Zitto alipomtuhumu Ruge... labda tu nikukumbushe kwamba moja ya mapendekezo ya PAC ni kwamba pesa ambazo Ruge na mwenzake waligawa kama njugu zinapaswa kurudishwa na pesa za Escrow pia zinapaswa kurudishwa... na ninaposema za Escrow maana yake ni pamoja na zile alizochukua Ruge... na kama hukusikia vizuri, suala la Ruge limeachwa kwa TAKUKURU na sidhani kama ulitarajia ahukumiwe bungeni... hapa bado unasema huoni tatizo liko wapi! Taratibu za kibenji zipi unazodai zimekiukwa?
Ruge na waliopokea fedha zake wameripotiwa takukuru FOR WHAT EXACTLY? Hawajashitakiwa! wameripotiwa! tusubiri kama uchunguzi utawatia hatiani for anything ndipo tujadili. Ndio maana narudia tena, watanzania tunapenda cheap politics za majina majina badala ya substance. Mi nasubiri kusikia how methodious kilaini alivyokuwa muhimu katika kuiba fedha za escrow mpaka kutajwa bungeni kuwa "kalipwa" na rugemalira....

Kwamba eti Ruge ndie kawatonya TANESCO wala sio hoja ya msingi na kama alikuwa na nia njema asingebadilika na kuiibia serikali! Ruge anaonesha wazi kwamba ni mbinafsi... fuatlia hata kwenye issue za Mabibo Wine... kila siku kupelekana kwenye vyombo vya sheria na vikampuni vidogo vidogo ili mradi tu awe na sole right ya ku-import ama bia hii au ile! Na katika hili la IPTL, kuna uwezekano mkubwa sana lengo la Ruge kuwatonya TANESCO wala haikuwa kwa ajili ya kuipenda nchi yake lakini bila shaka alifanya hivyo ili Mechmae imwage manyanga kisha VIP wafanye biashara na TANESCO peke yao vinginevyo, sioni maana yake, ikiwa yeye ni share partner wa IPTL, ilikuwaje IPTL wapange chaji kubwa against TANESCO kisha na yeye aridhiane na wenzake kwamba watachaji XYZ lakini baadae anawazunguka na kuwaambia TANESCO kwamba eti IPTL wanatoza pesa kubwa wakati na yeye ni sehemu ya IPTL! Hapa Ruge alitaka kuwazunguka wenzake ili biashara ya umeme afanye peke yake sawa na jinsi anavyohangaishana na vikampuni vidogo ku-demand exlussive right ya kuagiza baadhi ya bia hapa nchini!
Iko hivi, Ruge alishagombana na IPTL at the time anawatonya Tanesco. Elewa kuwa kama minority share holder hakuwa na nguvu za maamuzi juu ya IPTL ingawa kweli yeye ni mwanahisa. Wakati wanaelewana na Mechmar bei haikuwa ile, Mechmar walikuja kupandisha baada ya kugombana naye, so sio kweli kwamba aliwazunguka. Rudia timeline of events. Ndio maana alishitaki mahakamani ili iwekwe chini ya ulinzi na yeyey apate haki yake. Yeye kama mbia-mzawa alifanya jambo la kizalendo kwa kuitonya Tanesco, hata hapo napo unamlaumu?

Mwisho unauliza inawezekana vipi Ruge huyo huyo acheze mchezo na IPTL kuiba fedha za Escrow! Kwanza, Ruge hakucheza mchezo na wale ambao aligombana nao bali alicheza mchezo na mpiga deal mwingine anayeenda kwa jina la Seith! Ingawaje unasema kwamba my argument is ridiculous, nakushauri waulize waliomsikia vizuri wakati Zitto anasoma ripoti maana ake inaelekea ama hukuisikiliza au ulisikiliza lakini hutaki tu kukubali ukweli!
Ndio maana nasema mwarobaini utakuwa tupate copy ya ripoti humu ili tuonyeshane EXACTLY nini kilisemwa badala ya kupambana vita vya kumbukumbu. Mimi nilichosikia na kuona ni zitto akisema kauli inafanana hivi: "James rugemalira aliitwa na muhongo na kuulizwa ulipwe shilingi ngapi ili ufute kesi na IPTL " au kitu kinafanana na hicho. Sethi ndio alimu-approach rugemalira via Muhongo na ku-offer kununua hisa za VIP. Na ndio maana nikasema argument ya ushirikiano wa Rugemalira na sethi kwenye escrow is ridiculous! Sasa sijui mwenzangu umesikia ripoti ipi tena. Na hata zitto mwenyewe the only hoja aliyonayo against rugemalira ni kuwa kawapa fedha watu wanaojulikana na majina kayapeleka takukuru ili waangalie kama "yaliyomo yamo". NOTHING ON THE DEAL BETWEEN VIP AND PAP.
 
Majibu yote yananisapoti.
Yanakusapoti wapi tena PAC wametoa ushauri kwa serikali kuhakikisha kuwa fedha hizo zinarudi Benki Kuu hata ikibidi kwa kufili mali za watu wote 97 waliofaidika na mgao wa Rugemalira.

Sasa kama pesa zake kwa nini PAC watoe huo ushauri.

Muda si mrefu utawakataa PAC.
 
Je unayo habari kuwa PAP ni kampuni ya kitapeli au kwa lugha nyingine ni kampuni hewa? Huoni kwamba Rugemalira alifanya njama kwa kushirikiana na tapeli la kimataifa kukwapua fedha za walipa kodi wa nchi hii kwa baraka za mafisadi wetu wa kitaifa?
Nilimwambia hili kabla kwamba kuna uwezekano mkubw kwamba Ruge alicheza chezo na Seith akini akakataa... ajabu hata Ztto alipouthibitishia umma, bado ndugu yetu hataki kukubali na eri anadai alichokuwa anasema yeye ndicho alichosema Zitto... haya ndo maajabu ya Escrow!
 
jMali
Wala sitapoteza muda kueleza yale yale ambayo nimeshaeleza saa kadhaa zilizopita! Nisaidie kitu kimoja tu: What possible business ambayo mfanyabiashara Ruge anaweza kufanya na watendaji wa serikali ambao kwa namna moja au nyingine wanahusishwa na IPTL! Hata kama unajifanya hujasikia, Zitto amesema wazi kwamba inatia shaka kuona mfanyakazi wa RITA ambae IPTL ilikuwa chini yake, nae amelipwa millions of monies, akaeleza hivyo hivyo kwa Chenge ambae kutokana na role yake kama AG basi moja kwa moja alihusika kwenye ufunguzi wa Escrow a/c. Yote hayo yaache, taja one possible business ambayo mfanyabishara anaweza kufanya na ofisa wa serikali kwa bishara inayo-attract lot of millions of TZS! JUST ONE POSSIBLE BUSINESS!
 
Hee! Hii sasa kali… baada ya kutubishia sasa umeamua kujibishia hata wewe mwenyewe!!!! We si uliniambia sifahamu utendaji kazi wa RITA na kwamba IPTL haikuwa chini ya mufilisi Hebu jikumbushe:
Ukarudia tena kuonesha msisitizo:
Mara eh, saa chache baadae wewe yule yule:

Afanalek wallah, nchi ina viroja hii!!!

mkuu hapo wala sijajichanganya, ni kutokana na kukosa misamiati sahihi ya lugha ya kiswahili kuelezea jambo nililotaka. Labda ningeelezea kwa kingereza ndio tungeelewana. kuna receivership, bankruptcy, liquidation n.k.. zote hizi kiswahili changu mimi cha haraka haraka yote hiyo ni MUFILISI. Ndio maana nikaanza kwanza kukuelezea which "mufilisi" i was referring to:
1. ukiwekwa chini ya mufilisi maana ya kwanza: uko chini ya receivership. Affairs zote za kampuni zinakuwa chini ya RITA, hapa kampuni BADO HAIFILISIWI, inaendeshwa na RITA. Hii ndio hatua ambayo IPTL ilikuwamo.
2. mufilisi ya pili ni hatua ya kampuni sasa kugawanywa vipande na kupigwa bei na fedha zitakazopatikana kugawiwa kwa waliokuwa wanadai.

sasa, Rugemalira alitaka IPTL ifilisiwe (as in no 2 above), ili mali za IPTL zikiuzwa, yeye apate chake 30% of the sale of assets. lakini since kuna hatua na hatua IPTL ikawekwa kwenye hatua ya no 1. Katika hatua namba moja bado kuna uwezekano wa kampuni kutolewa chini ya hiyo process.. Ndio maana baada ya Ruge kufuta kesi mahakamani, mahakama ikatoa amri IPTL iondolewe chini ya mufilisi.

Napata shaka kama kweli hukunielewa au la, please prove me wrong!
 
jMali
Wala sitapoteza muda kueleza yale yale ambayo nimeshaeleza saa kadhaa zilizopita! Nisaidie kitu kimoja tu: What possible business ambayo mfanyabiashara Ruge anaweza kufanya na watendaji wa serikali ambao kwa namna moja au nyingine wanahusishwa na IPTL! Hata kama unajifanya hujasikia, Zitto amesema wazi kwamba inatia shaka kuona mfanyakazi wa RITA ambae IPTL ilikuwa chini yake, nae amelipwa millions of monies, akaeleza hivyo hivyo kwa Chenge ambae kutokana na role yake kama AG basi moja kwa moja alihusika kwenye ufunguzi wa Escrow a/c. Yote hayo yaache, taja one possible business ambayo mfanyabishara anaweza kufanya na ofisa wa serikali kwa bishara inayo-attract millions of TZS! JUST ONE POSSIBLE BUSINESS!

ni kweli inatia shaka, lakini kabla hujahoji lazima ujiulize WHAT RIGHT DO YOU HAVE ya kuhoji mambo binafsi ya watu? Unatakiwa uwe na msingi wa kuhoji kabla ya kuhoji. Mimi siwezi kukuhoji kuwa umepata wapi fedha ya kununua nyumba nzuri wakati wewe muuza karanga. Lakini nina uwezo wa kwenda takuru kukuripoti kuwa labda kuna uhalifu unafanya, lakini kimaadili siruhusiwi kukukabili na kukulazimisha uuelezee umma. Takuru au polisi ndio wana haki ya kukuhoji hilo, wakithibitisha ndio watakushtaki mahakamani ili uthibitishe tuhuma zao na hapo ndipo jambo linakuwa public.
katika hili sakata, watanzania mmepewa taarifa binafsi ambazo bila shaka zimeingilia haki ya usiri wa rugemalira na kuanza kutoa kashfa na kulazimisha watu waeleze wana biashara gani naye. this is not fair hata kidogo. Especially ukizingatia kuwa FEDHA NI ZAKE BINAFSI. Ingekuwa kuna shaka juu ya dili la VIP na PAP hapo sawa tungesema labda anatakatisha fedha, and even then hiyo conclusion inatakiwa kutolewa na chombo cha sheria, sio wewe na mimi. Inawezekana rugemalira katoa rushwa n.k, kuwa theory zenu ni za kweli, lakini at this point huu ni umbea tu. Ndio maana zitto hajatuhumu lolote na yeye kawaachia takuru, lakini alipokosea ni kutaja majina na sensationalize watu waliopewa pesa na ,rugemalira bila msingi. hivi hao takuru wakisema all those people are innocent wewe utaamini?
 
mkuu hapo wala sijajichanganya, ni kutokana na kukosa misamiati sahihi ya lugha ya kiswahili kuelezea jambo nililotaka. Labda ningeelezea kwa kingereza ndio tungeelewana. kuna receivership, bankruptcy, liquidation n.k.. zote hizi kiswahili changu mimi cha haraka haraka yote hiyo ni MUFILISI. Ndio maana nikaanza kwanza kukuelezea which "mufilisi" i was referring to:
1. ukiwekwa chini ya mufilisi maana ya kwanza: uko chini ya receivership. Affairs zote za kampuni zinakuwa chini ya RITA, hapa kampuni BADO HAIFILISIWI, inaendeshwa na RITA. Hii ndio hatua ambayo IPTL ilikuwamo.
2. mufilisi ya pili ni hatua ya kampuni sasa kugawanywa vipande na kupigwa bei na fedha zitakazopatikana kugawiwa kwa waliokuwa wanadai.

sasa, Rugemalira alitaka IPTL ifilisiwe (as in no 2 above), ili mali za IPTL zikiuzwa, yeye apate chake 30% of the sale of assets. lakini since kuna hatua na hatua IPTL ikawekwa kwenye hatua ya no 1. Katika hatua namba moja bado kuna uwezekano wa kampuni kutolewa chini ya hiyo process.. Ndio maana baada ya Ruge kufuta kesi mahakamani, mahakama ikatoa amri IPTL iondolewe chini ya mufilisi.

Napata shaka kama kweli hukunielewa au la, please prove me wrong!
Na mufilisi niliyoisema mimi ambayo wewe uliipinga inaingia kwenye category ipi? Namba moja, au mbili?
 
Cha kushangaza pesa za escrow!
Namna pesa zilivyolipwa, 40.425, 80.8, 16.1,80.850,1.617, 323.400, hii maana yake nini?

Hyo ndo sign ya money laundering mkuu... kwakua transactions zilikua zafanywa katika round off figures... yaan mkombozi benk na stanbic bank zitakua na hatia ya utakatishaji pesa kwa FBMe
 
ni kweli inatia shaka, lakini kabla hujahoji lazima ujiulize WHAT RIGHT DO YOU HAVE ya kuhoji mambo binafsi ya watu? Unatakiwa uwe na msingi wa kuhoji kabla ya kuhoji. Mimi siwezi kukuhoji kuwa umepata wapi fedha ya kununua nyumba nzuri wakati wewe muuza karanga. Lakini nina uwezo wa kwenda takuru kukuripoti kuwa labda kuna uhalifu unafanya, lakini kimaadili siruhusiwi kukukabili na kukulazimisha uuelezee umma. Takuru au polisi ndio wana haki ya kukuhoji hilo, wakithibitisha ndio watakushtaki mahakamani ili uthibitishe tuhuma zao na hapo ndipo jambo linakuwa public.
katika hili sakata, watanzania mmepewa taarifa binafsi ambazo bila shaka zimeingilia haki ya usiri wa rugemalira na kuanza kutoa kashfa na kulazimisha watu waeleze wana biashara gani naye. this is not fair hata kidogo. Especially ukizingatia kuwa FEDHA NI ZAKE BINAFSI. Ingekuwa kuna shaka juu ya dili la VIP na PAP hapo sawa tungesema labda anatakatisha fedha, and even then hiyo conclusion inatakiwa kutolewa na chombo cha sheria, sio wewe na mimi. Inawezekana rugemalira katoa rushwa n.k, kuwa theory zenu ni za kweli, lakini at this point huu ni umbea tu. Ndio maana zitto hajatuhumu lolote na yeye kawaachia takuru, lakini alipokosea ni kutaja majina na sensationalize watu waliopewa pesa na ,rugemalira bila msingi. hivi hao takuru wakisema all those people are innocent wewe utaamini
Mambo binafsi ya watu vipi wakati watuhumiwa na watumishi wa umma? Ina maana tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa Chenge ambae alipata kuwa AG hii ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa William Ngeleja ambae alipata kuwa Waziri wa Nishati na Madini unasema is none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa Daniel Yona ambae nae alipata kuwa Waziri wa Nishati na Madini unasema hii ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa Ole Naiko ambae alikuwa bosi Tanzania INvestiment Centre unasema hii ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa maofisa wa TRA huku tukifahamu kwamba kulikuwa na ukwepaji kodi unataka kusema ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa maofisa wa RITA ambao IPTL ilikuwa chini yao bado unasema it's none of our business? Are serious?

Yaani wala huoni taabu kusema "...zimeingilia haki ya usiri wa rugemalira na kuanza kutoa kashfa na kulazimisha watu waeleze wana biashara gani naye...!" Hivi mfanyakazi wa RITA afanye biashara na VIP ya kufikia kulipwa mamilioni ya pesa?????!!!!!
 
Nilimwambia hili kabla kwamba kuna uwezekano mkubw kwamba Ruge alicheza chezo na Seith akini akakataa... ajabu hata Ztto alipouthibitishia umma, bado ndugu yetu hataki kukubali na eri anadai alichokuwa anasema yeye ndicho alichosema Zitto... haya ndo maajabu ya Escrow!

mkuu rushwa inaharibu akili! jMali siyo yeye!
 
Last edited by a moderator:
Mambo binafsi ya watu vipi wakati watuhumiwa na watumishi wa umma? Ina maana tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa Chenge ambae alipata kuwa AG hii ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa William Ngeleja ambae alipata kuwa Waziri wa Nishati na Madini unasema is none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa Daniel Yona ambae nae alipata kuwa Waziri wa Nishati na Madini unasema hii ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa Ole Naiko ambae alikuwa bosi Tanzania INvestiment Centre unasema hii ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa maofisa wa TRA huku tukifahamu kwamba kulikuwa na ukwepaji kodi unataka kusema ni none of our business? Tunapohoji malipo yaliyofanywa kwa maofisa wa RITA ambao IPTL ilikuwa chini yao bado unasema it's none of our business? Are serious?

Yaani wala huoni taabu kusema "...zimeingilia haki ya usiri wa rugemalira na kuanza kutoa kashfa na kulazimisha watu waeleze wana biashara gani naye...!" Hivi mfanyakazi wa RITA afanye biashara na VIP ya kufikia kulipwa mamilioni ya pesa?????!!!!!

Tufanye hivi: majina hayo yamepelekwa takuru, tusibishane sana, let's wait and see takuru watasemaje.
 
Na mufilisi niliyoisema mimi ambayo wewe uliipinga inaingia kwenye category ipi? Namba moja, au mbili?

namba mbili. wewe ulidai IPTL ilikuwa imefilisiwa kwa maana ya dissolved.
 
Je unayo habari kuwa PAP ni kampuni ya kitapeli au kwa lugha nyingine ni kampuni hewa? Huoni kwamba Rugemalira alifanya njama kwa kushirikiana na tapeli la kimataifa kukwapua fedha za walipa kodi wa nchi hii kwa baraka za mafisadi wetu wa kitaifa?

Hewa kivipi? Haijasajiliwa brela au?
 
Hewa kivipi? Haijasajiliwa brela au?

JMali, what's your comment kuh hii quotation kutoka ripoti ya PAC "Kampuni ya PAP haikuwa na uhalali wowote wa umiliki wa IPTL wakati inalipwa fedha za kutoka Akaunti ya Tegeta ESCROW."

subiri akifikishwa mahakamani utafahamu makosa yake, anafanya mzaha ndani ya kumi na nane za watu?
 
kampuni hewa sio ya Rugemalira.
subiri aende pale kisutu, kama msafi sheria itamsafisha. ila kwa ninavyojua, hautaamini macho yako kwasababu kenye hii issue kuna forgeries nyingi sana, money laundering amefanya sana huyu hasa kwa kusafishia hela chafu kwa kugawa kwa watu, kukwepa kodi amekwepa, ..yaani kuna makosa mengi hadi utamwonea huruma. we tuliza mtima subiri apelekwe mahakamani halafu utaona mziki wake.

na ikijulikana kuwa hao waliopokea pesa pia walikuwa na knowledge kuwa pesa hizo zilikuwa ni chafu, wote wanaingia kwenye money laundering.kosa ambalo halina dhamana. huyo mhindi singasinga ndio kabisa hatakuwa na dhamana hivyo ajiandae kwenda kukaa lupango na wezi wa manzese.
 
Back
Top Bottom