Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
Nani sasa anaigiza zaidi ya Mbowe?Endeleni lakini watanzania siyo wajinga mnafanya maigizo mingi wanawangalia tu
Nani sasa anaigiza zaidi ya Mbowe?Endeleni lakini watanzania siyo wajinga mnafanya maigizo mingi wanawangalia tu
Ni moja ya hatua kushinikiza waeshimike ndani hata kama ungekua we ungefanya ivo kwaiyo ni sawa acha wafanye ivo ili wasikike wakija jimboni wakikwambia wamesema lkn ndo awajasikilizwa we utasema ameshindwa kaz ya kusimamia serikaliHata kama wapinzani ni wachache, lakini kusikika wakiongea na kuchangia kile wanachokiamini ni mtaji mkubwa sana, kipimo cha wapiga kura ni kusikia nini unachokisimamia ukisusa ni hasara kubwa.
Yaweza kuwa jibu lako ndio huelewi hivyo hakuna cha taratibu Bali daima hutaelewekautaelewa taratibu
CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge. CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia. Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Yani we unajua kila anayekosoa maamuzi ya kijinga ya Mbowe ni Lumumba tu.Unafikiri CHADEMA wote ni ndio mzee?Kweli Lumumba mmefilisika! Hata wapinzani wakiwepo simnapitisha mambo yenu kwa uwingi wa akili ndogo kuongoza kubwa ?
Mnawahitaji Wapinzani ili kuhalalisha mabaya mnayoyapitisha ! Sasa inataka kuwashuka kwa sababu mnaelekea kukosa mwamvuli !
HAKIKA WEWE UNA AKILI SANA. UKO WAPI UPEWE UPROFESA KABISAA!
Umemaliza au unaedelea?maamuzi ya mbowe ni ya hovyo
Mbona uchaguzi wa meya wa dar haukususiwa??Wewe mtoa mada mjinga kweli! Yaanj eti ulitaka ukawa wafanye kils ccm wanachotaka hata kubsriku uovu wa zanzibar ili tu wawepo bungeni au barazani? Ugeugeu gani huo. Kitendo chs Cuf kukataa kuhalalisha haramu iliyofanywa na ccm ni ushujaa mkubwa! Wewe unawazia tumbo tu na maslahi! Hayo yotecCAf wameyasactifice ndio maana unashangaa!
Pole sana mtoa Mada, maadamu nchi hii ni demokrasia na bando umenunua kwa pesa zako basi tunakuvumilia lililo muhimu ni kukuelimisha.
Suala la Lowasa.
Kwa wana CCM na wenye fikra duni Lowasa si lolote na hakustahiri kupewa nafasi UKAWA. Swali la kujiuliza kama sio Lowasa nani alistahili?
Kwa wenye kujua kufanya ulinganifu kwa kutumia "input output ratio" wanajua ni kwa kiasi gani ametoa mchango na hamasa kubwa katika uchaguzi uliopita.
Uchaguzi wa Zanzibar.
Haramu ni haramu. Huwezi kusema kitendo cha kuufuta uchaguzi wa Zanzibar kilikuwa haramu "then" Ukikubali kushiriki uchaguzi wa marudio. Kilicho muhimu ni historia imeandikwa "Kuna chama kimeamua kung'ang'ania madaraka pasipo ridhaa ya wananchi"
Kumsusia Dr.
Kumbuka sisi bunge letu linaendana na kanuni za mabunge ya jumuiya ya madola. Fuatilia ujue wengine huwa wa nafanyaje?
Yani we unajua kila anayekosoa maamuzi ya kijinga ya Mbowe ni Lumumba tu.Unafikiri CHADEMA wote ni ndio mzee?
Mimi ni CHADEMA og.sio ULIPO TUPO kama wewe.