CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.
CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.
Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Siku zote ukiwa na kiongozi anayetazama mwisho mahali aliposimama ndiyo madhara yake maana kama mbowe ndiyo kila kitu ukawa mtapotezwa sana.
Sasa Mkuu hoja watazitolea wapi ati wakati wanajibu hoja kanuni ovu zinainuka wanakalishwa chini au hata kusimamishwa kuhudhuria bunge kwa hili la kujibu hoja kwa hoja umechemka mjumbe toa njia nyingine mbadala zaidi ya hii kwani nguvu zao kwa number ni chache sana.Hivi Mbowe ana elimu gani? Kama huyo ndo engine ya wapinzani TZ basi safari ya wapinzani ni ndefu saaana! Hoja hupingwa kwa hoja, hivyo wapinzani kujinunisha na kuondoka bungeni utoto huo hadi lini? Ivi bunge pia linafanya majukumu sawa na Vyuo au shule kuwaelimisha baadhi ya wabunge...............? Ivi Wabunge wa namna hiyo ya mkuu wao wanahakika na wanachokifanya kweli au wanafuatanafuatana mikumbomikumbo tu?. Nionanvyo mimi, upinzani TZ unajihimbia kaburi.
Kile CCM kimewapa mpaka sasa kufikia hatua ya kukata viuno kwa ile kusoma namba ambapo imewageukia na mnaisoma kisawa sawa hadi sasa mnatumbuliwa majipu ndio hicho wao wamepewa na kinawapeleka pazuri nanyi mnaona ndio maana mnapiga kelele humu.mimi sijui hata MBOWE amewapa nin sijui ndo mambo ya kungarisha nyota kwa mtakatifu TB JESHUA, maana kila wanaloambiwa na MBOWE wao wanafuata nyuma kama BEBERU , na zitto naye pamoja na kutukanwa sana baye ameanza kuwafuata , hii sio bure MBOWE amewapa kitu hawa akina ester , bulaya
lowasa aamshe nn mkuu....acha utani kwenye kampeni bila sumae kumuongelea sijui angefanyaje...dk 5 tu ndio lowasa alikuwa anaongea...that was a technical mistake to mr mboe though he is powerless to admit the failure...Wewe ni mfuasi wa Dr Slaa, ulisikia Lowassa ni liability ukaamini hivyo... na slaa angegombea Rais angekuwa Membe na angeshinda kwa kura milioni 10.......... i am sure of that. Lowasa na nyota, hata leo akianzisha amshamsha anaweza kubadilisha mitazamo ya wengi.... Dr Slaa Who??? yule aliyetukimbia kipindi angali tunamhitaji mno? yule aliyeona na nguvu sana zaidi ya chama??? Ni vibaya sana kichwa cha mwananume kutawaliwa na Delila
mkuu usishangilie haya siyo maamuzi ya kushangilia kwani ukishangilia mpasuko ktkt jamii inaonekana buitakii mema nchi hii.CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.
CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.
Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Kwa uliyoyaandika hapa inaelekea unaikubali role ya upinzani katika mfumo uongozi isipokuwa unaona tatizo ni Mbowe.Kama ndivyo ni kwa nini wewe usichukue jukumu hilo la kuupeleka upinzani kunakostahili? Hebu tuambie ni nani kati yako wewe mwenye Brain Map murua usiyechukua hatua yoyote na Mbowe mwenye Spoiled Brain Map anayechukua hatua ni nani nafuu?Mbowe is a disgrace to the opposition. Hivi huyu jamaa ana mandate ya kuwa mwenyekiti wa CDM kwa miaka mingapi? He's got to step down now!!
No, si kweli mkuu na sikubaliani na wewe kwa 100%!
CCM ina wabunge zaidi ya 250 na UKAWA/UPINZANI ni si zaidi 120!!
Kwa tofauti hiyo ya idadi hata kama hawa wangekuwa wanahudhuria kila kikao wakati wote na CCM wakataka kupitisha jambo lolote wangeshindwaje?
Ninakubaliana na wewe ktk moja tu, kuwa sasa wanaweza kupitisha chochote pasipo upinzani mkubwa.
Hata hivyo, hii hata haina maana yoyote kwa sbb kama jambo lililopitishwa ni baya basi litabaki kuwa baya tu na litawaathiri wananchi wote na kama ni kupingwa basi litapingwa tu huku nje!!
Rejea bunge la katiba. Pamoja na kuachiwa na kuipitisha "katiba pendekezwa" kwa mbwembwe za kila dizaini, iko wapi? Je, haikugeuka kuwa kitanzi cha kwao wenyewe? Samwel Sitta yuko wapi?
Uliona ugumu wa uchaguzi wa mwaka jana?
Hii watacheka kwa muda na kudhani wamewaweza, lakini ukweli ni kuwa hiki ni kitanzi chao cha hapo badae...waingereza wanasema ita back fire!
Ni vyema sana mkashindana kwa hoja humo humo na mkawashinda kuliko kujengewa dhana ya kutoaminiwa na upande mmoja kwa sbb za upendeleo, ukiukaji wa taratibu na ubabe tu usio na kichwa wala miguu!!
Una habari kuwa ujinga huu tayari unafungamanishwa na Rais Magufuli na serikali kwa ujumla? Unajua madhara yake? Utazuia watu kutoamini haya?
Mkubwa siasa haziko bungeni tu. Uwanja wa siasa na harakati za kisiasa zina eneo pana sana. Tena huku nje ndiko siasa hasa zinakofanyika!!
Unakumbuka sakata la Buzwagi mwaka 2006/7 dhidi ya Zitto KABWE? Wakamwadhibu Zitto Kabwe kutohudhuria vikao kadhaa, wakachekelea sana na kudhani wamemuua kisiasa yeye binafsi na CHADEMA ili kuficha uchafu wa CCM na serikali yao chini ya zulia!
Matokeo yake unayakumbuka? Ili back fire kwa CCM na kuiporomosha serikali kwa kishindo kikuu na leo Zitto huyo politically stronger than ever hata akienda kugombea jimboni Chato kesho na Magufuli, anachaguliwa tu!!
Na unafuatilia lakini jinsi huyu mama anavyopondwa na kuitwa majina ya kila aina kwa sbb ya hiki anachokifanya anapokuwa amekalia kiti cha spika?
Trust me. Hata wale wenye akili walioko humo humo CCM na serikalini, wanaoona mbali, hawaungi mkono ujinga huu unaofanywa na huyu mama aliyepachikwa hapo!!
Najaribu kuangalia namna nzuri ya kuionyesha dunia kama Tanzania hakuna haki tena kuwaonyesha kwa amani kama tunadhurumiwa ni kufanya hayo ambayo wewe umeyaita MAKOSA NA KUYAPA NAMBA tofauti na hapo tunaweza kuionyesha dunia kama tunadhurumiwa kwa VITA ambayo sio nzuri sana(tunaweza kuandamana,kugoma/kususia au kupigana vita ili kudai haki itendeke sasa wewe unaona njia ipi inafaa?)CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.
CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.
Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
au ICJ
Duhhhhhh,hujitambui!!!!Pole sana mtoa Mada, maadamu nchi hii ni demokrasia na bando umenunua kwa pesa zako basi tunakuvumilia lililo muhimu ni kukuelimisha.
Suala la Lowasa.
Kwa wana CCM na wenye fikra duni Lowasa si lolote na hakustahiri kupewa nafasi UKAWA. Swali la kujiuliza kama sio Lowasa nani alistahili?
Kwa wenye kujua kufanya ulinganifu kwa kutumia "input output ratio" wanajua ni kwa kiasi gani ametoa mchango na hamasa kubwa katika uchaguzi uliopita.
Uchaguzi wa Zanzibar.
Haramu ni haramu. Huwezi kusema kitendo cha kuufuta uchaguzi wa Zanzibar kilikuwa haramu "then" Ukikubali kushiriki uchaguzi wa marudio. Kilicho muhimu ni historia imeandikwa "Kuna chama kimeamua kung'ang'ania madaraka pasipo ridhaa ya wananchi"
Kumsusia Dr.
Kumbuka sisi bunge letu linaendana na kanuni za mabunge ya jumuiya ya madola. Fuatilia ujue wengine huwa wa nafanyaje?
Huwa sielewi Mbowe kawapa nini, anacheza na akili za watu wazima tena wengine wasomi kwa namna anavyotaka.Wewe ni mfuasi wa Dr Slaa, ulisikia Lowassa ni liability ukaamini hivyo... na slaa angegombea Rais angekuwa Membe na angeshinda kwa kura milioni 10.......... i am sure of that. Lowasa na nyota, hata leo akianzisha amshamsha anaweza kubadilisha mitazamo ya wengi.... Dr Slaa Who??? yule aliyetukimbia kipindi angali tunamhitaji mno? yule aliyeona na nguvu sana zaidi ya chama??? Ni vibaya sana kichwa cha mwananume kutawaliwa na Delila
Wangekuwa sio wajinga wasingeongozwa miaka 50+ na CCMEndeleni lakini watanzania siyo wajinga mnafanya maigizo mingi wanawangalia tu
Hivi anaechezea akili za watu ni Mbowe au ni CCM? Kuna wabunge wangapi wa CCM na Magu akawaona wote hawafai akawachagulia Tulia, halafu wanasema eti bunge ni muhimili unaojitegemea! Kweli? Magu si ndio analiendesha bunge? au unabisha hilo? Mwingine anayecheza na akili za wabunge wa ccm ni Chenge! Hivi jiulize Nape na Kinana chini ya JK si walituhubiria habari za magamba? Na wakataja mapacha watatu? Chenge akiwa mmoja wapo na Lowasa? Chenge sasa ni nani Bungeni? Au wabunge wa CCM sio wasomi?Huwa sielewi Mbowe kawapa nini, anacheza na akili za watu wazima tena wengine wasomi kwa namna anavyotaka.
Watanzania tubadilike, kuwa mpinzani au Chadema siyo kushabikia hadi mambo ya kijinga yasiyo na faida kwa Chama wala Taifa.