sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 722
Unatumika vibaya sana ndugu yangu
uko free sasa baada ya kufukuzwa UDOM, vilaza bana
HaswaaaaaaaaChadema ya Dr. wa Canada?
Una maana KILAZA?Mbowe form 6 ya taaabu sana
Ilikua shida kubwa sana kumaliza miaka ile miwili
ndio,anafaa kuitwa mkuuwakambirasmi vilazaUna maana KILAZA?
CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge. CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia. Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Mpuuuz wwCCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge. CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia. Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Inayopotezwa ni mali asili za tz kwa mikataba mibovu inayosainiwa na viongoz na kupitishwa na wabunge mbumbumbu wa ndiooooo. Ukawa itabaki pale pale na 2020 tutawapa kura zote kama tulivowapa mkakwiba. Jiandaen kukwiba zote maana hakuna namna kwa uhuni na ubabe huu ccm inaofanya haiwez kupendwa na watu labda wawe milofa ka wwSiku zote ukiwa na kiongozi anayetazama mwisho mahali aliposimama ndiyo madhara yake maana kama mbowe ndiyo kila kitu ukawa mtapotezwa sana.
Hata akiachia ngaz bado utazd kuisakama cdm maana ww ni mamluk wa kijani. Fanya yakoMbowe is a disgrace to the opposition. Hivi huyu jamaa ana mandate ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mingapi? He's got to step down now!!
Wanapokuwa bungeni wanawazuia mabunge ya CCM kupitisha ujinga? badala ya kushawishi wapiga kura waelewe faida za kuwa na wabunge wengi wa upinzani ili Bunge libalance mnakaa hapa kulaumu wabunge wa upinzani!Asiyeona athari za wabunge kususa bunge basi upeo wake ni mdogo sana.
Hivi pamoja na matatizo yote yaliyopo bado hoja zote za serikali zipite kwa ndiooo kubwa kutoka kwa wabunge wa CCM wanainchi wanalionaje bunge?