Kosa kuu la tatu la UKAWA

Kosa kuu la tatu la UKAWA

CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.

CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.

Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.

Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Ukisusa Wenzio Wala. Acha Wasuse Maana Wameishiwa Hoja na Watanzania Wameanza Kuwasahau. Tulia ataendelea Kuwa Naibu Spika.
 
CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.

CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.

Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.

Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.

Sasa kama CCM watapitisha mambo yao kiraisi yanawahusu nn UKAWA
 
Kwani wapinzani wasipokuwepo ni hasara yao tuu? Kila mtu atakula hasara ya CCM,mm pia naunga mkono kususia Tulia,anaeona wanakosea akagombee upinzani alafu akakae na yeye bungeni kupinga CCM,kwani mlipokua mnachagua CCM hamkujua kuwa ni hasara,subirini tu Tanzania ya viwanda
 
Ni bora fisadi anaejua kusimamia uchumi wa soko kila mtu akapata nafuu ya maisha kuliko mwadilifu mjima/mjamaa asiyejua kanuni za uchumi,hadi sasa mnyapara katia hasara nchi,eti waliomchagua wanasema eti hali itabadilika,wamama wanakomaje kitaa
 
Avatar uliyoweka na kitu ulichoandika kina-tudhalilisha sisi academician. Please try to change it or change your mindset and the way u used to think.
OK.nitajaribu kubadilisha namna ya ufikiri wangu mpaka uwe wa kukupendeza wewe.
 
CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.

CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.

Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.

Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Dr. Slaa aliuliza hivi. Je EL ni asset ? Litatoka sio siku nyingi zijazo.
 
Je, lowasa anahukumu gani kwa kosa gani kama siyo shutuma za mitaani? Kama kulikuwa na kosa kwa nini kwa miaka 8 aliendelea kuwa huru kwa serikali makini ya CCM? Je, yaliyotokea Zanzibar katika uchaguzi yana akisi utawala wa haki katika demokrasia ya usawa na haki? Je, yanayotokea Bungeni yanaakisi haki na ukweli? Je, huyu Spika na Naibu Spika wapo hapo kweli kwa maslahi na hitaji la Taifa hili leo na sasa, au wapo hapo kwa maslahi ya chama? Ni nani basi aliyewapendekeza? Je, ni wewe kama mwananchi au chama na maslahi yake? Ifike mahali tuache ulimbukeni!!!!!
Kwa hiyo miaka 8 ni sisi CHADEMA tuliosema ufisadi wa Lowassa. CCM ilijitahidi kuficha na kutetea mafisadi wake wote akiwemo Lowassa.
 
Muheshimiwa Mbowe ameyashika magamba pabaya...yamebakia kulalamika tuu...Mbowe ni msumari wa moto sana kwenye makalio ya magamba safi sana.
Mimi sioni kama magamba yanalalamika.Namuona Mbowe ndio analalamika na kumshambulia Tulia kama amepagawa.
 
Ni bora fisadi anaejua kusimamia uchumi wa soko kila mtu akapata nafuu ya maisha kuliko mwadilifu mjima/mjamaa asiyejua kanuni za uchumi,hadi sasa mnyapara katia hasara nchi,eti waliomchagua wanasema eti hali itabadilika,wamama wanakomaje kitaa
Huu ni mwaka wa kujidhalilisha.Tutaongea mpaka aibu zetu zote ziwe wazi.
 
Hivi anaechezea akili za watu ni Mbowe au ni CCM? Kuna wabunge wangapi wa CCM na Magu akawaona wote hawafai akawachagulia Tulia, halafu wanasema eti bunge ni muhimili unaojitegemea! Kweli? Magu si ndio analiendesha bunge? au unabisha hilo? Mwingine anayecheza na akili za wabunge wa ccm ni Chenge! Hivi jiulize Nape na Kinana chini ya JK si walituhubiria habari za magamba? Na wakataja mapacha watatu? Chenge akiwa mmoja wapo na Lowasa? Chenge sasa ni nani Bungeni? Au wabunge wa CCM sio wasomi?
Kwa hiyo tunachofanya ni kutetea mafisadi kwa sababu CCM nao wanawatetea?Chenge na Lowassa ni mafisadi tu.
 
Unaweza kumlaumu Mbowe kwa kuangalia wigo mdogo lakini ukiangali nje ya box unaona mengi zaidi.
Mfano kama wangeliendelea kubaki ni wachache wangelijua ujinga huu, pia kimkakati inabidi ujiulize pamoja na udhibiti wa taarifa kutoka ndani ya bunge lakini ni kitu gani kimewezesha clip kama hii kupatikakana!? naamini kwa ujinga huu hili kundi halitaweza kufika mbali!
 
Lini umesikia jambo upinzani wameshikilia tena kwa hoja yenye mashiko ikapita kwa kula za ndio naona kabs ujumbe wako we sio mpinzani kabs
Hata kama wapinzani ni wachache, lakini kusikika wakiongea na kuchangia kile wanachokiamini ni mtaji mkubwa sana, kipimo cha wapiga kura ni kusikia nini unachokisimamia ukisusa ni hasara kubwa.
 
Hivi Mbowe ana elimu gani? Kama huyo ndo engine ya wapinzani TZ basi safari ya wapinzani ni ndefu saaana! Hoja hupingwa kwa hoja, hivyo wapinzani kujinunisha na kuondoka bungeni utoto huo hadi lini? Ivi bunge pia linafanya majukumu sawa na Vyuo au shule kuwaelimisha baadhi ya wabunge...............? Ivi Wabunge wa namna hiyo ya mkuu wao wanahakika na wanachokifanya kweli au wanafuatanafuatana mikumbomikumbo tu?. Nionanvyo mimi, upinzani TZ unajihimbia kaburi.

Mbowe form 6 ya taaabu sana
Ilikua shida kubwa sana kumaliza miaka ile miwili
 
Tuliwahi kusema hapa siasa na muziki ni vitu tofauti, sasa chama kimejaza wasanii badala ya wanasisa kuanzia M/Kiti DJ, sugu motochini , mzee wa mitulinga na wengine wasanii wa nyumba za ibada unadhani kuna kitu hapa ni sawa na kupaka rangi upepo.
 
Asiyeona athari za wabunge kususa bunge basi upeo wake ni mdogo sana.
Hivi pamoja na matatizo yote yaliyopo bado hoja zote za serikali zipite kwa ndiooo kubwa kutoka kwa wabunge wa ccm wanainchi wanalionaje bunge?
kwan uliona lini hoja zenu hazijapita kisa uwepo wa upinzani?nyie si mko wengi hata wakiwepo haisaidii acha wajitokee hakuna shida usijitoe ufahamu hapa
 
kwan uliona lini hoja zenu hazijapita kisa uwepo wa upinzani?nyie si mko wengi hata wakiwepo haisaidii acha wajitokee hakuna shida usijitoe ufahamu hapa
Sijakuelewa!
 
Siku zote ukiwa na kiongozi anayetazama mwisho mahali aliposimama ndiyo madhara yake maana kama mbowe ndiyo kila kitu ukawa mtapotezwa sana.
Watu wazima na Elimu zao kubwa, wanaongozwa na akili ndooogo kama punje ya choroko.
 
Back
Top Bottom