Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.

No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.

1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora

Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!

Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
 
Kama unadhani kuwananga wana mtandao wanaoifilisi nchi wakipindisha ela za matibabu (afya), elimu, ujenzi wa miundombinu, na kujimilikisha migodi ambayo ingeinua watanzania ni kuiongelea CCM, basi huna AKILI. Hivi huwa mnasoma mnayoandika na kutafakari, au mnakurupuka tu?!

Swali moja tu: akitaja waliotaka kumuua Lissu, ndio atakuwa anaongelea mambo ya kitaifa?!

Waliotaka kumuua Lissu na wanaoiba makaa ya mawe, ambayo pesa zake zingeweza kujenga hospitali kila kata au zahanati kila kata, kipi kinahusiana na wananchi?! Mfano, akwambie aliyetaka kumuua Lissu ni Mafwele na Makonda, inamsaidia nini mwananchi anayeishi Mtwara, Songwe, Katavi, etc.?

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri (Thinking Capacity). Kwa akili yako hiyo huwezi kumuelewa Polepole.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya taifa, nchi na serikali.
Wengi hawajui na hii ni changamoto.
Unaweza kuwa unatetea chama na serikali, lakini hutetei nchi wala taifa na kinyume chake vivyo hivyo.
 
Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.

No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.

1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora

Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!

Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Huwezi kuongelea matatizo ya tanzania ukajifanya huihusishi CCM haiwezekani ,
1. Wala rushwa wakubwa - CCM
2.mafisadi papa - CCM
3.wezi wa mali za umma -CCM
4.Waharibifu wa amani na usalama - CCM
5.Mikataba ya kitaifa isiyo eleweka - CCM
6. Wabunge wasio jua wajibu wao - CCM
7. Wabadhirifu wakubwa fedha za umma - CCM.
8. Kesi za kubambikia raia -CCM
9.Kuteka na kuua kikatili - CCM
10.kudorora miradi ya umma - CCM
11. ........ + - CCM

Sasa hebu niambie jambo gani utaliongea kuhusu taifa hili wakakosekana CCM ndani yake? hebu tupe mfano.
 
Tatizo kubwa sio kusafisha oil bali ni kubalisha mfumo. Ukibadilisha CCM na sio mfumo tutarudi palepale kwamba nchi inategemea mtu badala ya mfumo akifa mtu …. Ndiyo maana wakina warioba wanaongelea system sio chama
 
Mwenye maamuzi ya kukubali kubadili system ni chama au serikali? Kwa uzoefu wako ndani ya nchi hii kati ya chama na serikali kipi kina nguvu? Kwani hizo system mara zote yalipo tolewa mapendekezo ili zibadilishwe zilikutana na kigingi serikalini au chamani?

Hakuna namna ya kubadili chochote nchi hii bila kwanza chama kujitenga na serikali na hilo kwa sasa haliwezekani na ndio kwanza linashamiri zaid ,

kwanza chama kirudi kwenye misingi yake ya awali, chama kirejewe kwenye azimio la arusha ili serikali sasa iweze kujisimamia na hizo system unazo sema mdio zibadilike kinyume na hapo huwezi ongelea ubovu wa serikali huku unajitoa ufahamu eti bila kuhusisha CCM.

Kumbuka CCM kwa umoja wao wa mashetani na maruhan ndio walio gomea na kuharibu mchakato wote wa katiba mpya 2012/2014, mchakato ambao kama ungepita ulikuwa unatoa taswira mpya kabisa na kuleta viongozi wawajibikaji nchini lakin kwa umoja wao na nguvu yao wakashikamana kwa ubinafsi mchakato ulio tumia bilions of money ukafia njian hadi sasa bila huruma ya pesa zilizo tumika bado hao watu tuseme wana nia njema na taifa hili ? BIG NO .
 
Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.

No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.

1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora

Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!

Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Ujuwe huyu Polepole na MangeKimambi wako fully paid na Januari Makamba kwa ajili ya kumvuruga Samia. Ndiyo maana wamejikita tu na CCM badala ya hoja kubwa za kitaifa
 
Kosa kubwa zaidi!ni wafanya maamuzi kulikabidhi taifa Kwa CCM kama taasisi pekee Kwa muda mrefu usiojukikana na kuwahakikishia kuwa watashika Dola milele!!

Hakikisho hilo limefanya makada kukosa unyenyekevu kwa wananchi na wananchi tumekosa Cha kufanya!!
 
Ujuwe huyu Polepole na MangeKimambi wako fully paid na Januari Makamba kwa ajili ya kumvuruga Samia. Ndiyo maana wamejikita tu na CCM badala ya hoja kubwa za kitaifa
Hoja gani kubwa ya kutaifa utaongelea ambayo CCM hawahusiki? Hebu tupe mfano
 
I once thought platinum member=analytical mind, oh boy how wrong, south and left i was
 
Huwezi kuongelea matatizo ya tanzania ukajifanya huihusishi CCM haiwezekani ,
1. Wala rushwa wakubwa - CCM
2.mafisadi papa - CCM
3.wezi wa mali za umma -CCM
4.Waharibifu wa amani na usalama - CCM
5.Mikataba ya kitaifa isiyo eleweka - CCM
6. Wabunge wasio jua wajibu wao - CCM
7. Wabadhirifu wakubwa fedha za umma - CCM.
8. Kesi za kubambikia raia -CCM
9.Kuteka na kuua kikatili - CCM
10.kudorora miradi ya umma - CCM
11. ........ + - CCM

Sasa hebu niambie jambo gani utaliongea kuhusu taifa hili wakakosekana CCM ndani yake? hebu tupe mfano.
12- Na kudhalilisha hata Wazee ni CCM ! 😳🤷🏿‍♂️
 
Kama unadhani kuwananga wana mtandao wanaoifilisi nchi wakipindisha ela za matibabu(afya), elimu, ujenzi wa miundombinu na kujimilikisha migodi ambayo ingeinua watanzania ni kuiongelea CCM basi huna AKILI. Hivi huwa mnasoma mnayoandika na kutafakari au mnakurupuka tu!!?..
Swali moja tu:, akitaja waliotaka kumuua Lissu ndio atakuwa anaongelea mambo ya kitaifa!?..,
Waliotaka kumuua Lissu na wanaoiba makaa ya mawe ambayo pesa zake zingeweza kujenga hospitali kila kata au zahanati kila kata kipi kinahusiana na wananchi!?.., mfano akwambie aliyetaka kumuua Lissu ni Mafwele na Makonda inamsaidia nini mwananchi anayeishi Mtwara, Songwe, Katavi etc. Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri (Thinking Capacity). Kwa akili yako hiyo huwezi kumuelewa Polepole.
Huyu amekuja na staili mpya ya kumtoa Polepole kwenye reli. Anachuja mbu na kumeza ngamia. Ngoja nione kama Polepole atatoka kwenye reli kupitia ushauri wake huu🤣
 
Back
Top Bottom