Wadau naomba mnisaidie kujibu hilo swali Tafadhali.
Nakumbuka mwandishi nguli Ulimwengu yalishamkuta hayo.
Na ukishan'ganywa uraia, je, unapewa Pesa ya kukuwezesha kusafiri kwenda nchi yoyote kuomba hifadhi kwa maana ya ukimbizi!?
Wakupe pesa ukaishi kwenye nchi ambayo haipo?Mie nataka wanipe hizo pesa nkaishi imerika
Trump, atakumaliza mapema sanaaaa, akisikia tu unawza kwenda imerika/Amerika kabla hata hujaondoka mkuu anakunyongelea mbaliiii. Kwa hiyo gawa tu urithi ili usilete balaa kwa ndugu na jamaa zako na madeni yoteee lipa. Ila, wewe ni raia wa wapi?Mie nataka wanipe hizo pesa nkaishi imerika
mtu ambae anaweza kunyan'ganywa uraia ni yule aliepewa uraia na waziri wa mambo ya ndani lakini yule mwenye uraia wa kuzaliwa au kurithi kutoka kwa wazazi hawana huwezo wa kumnyan'ganya uraia
mtu anaweza kunyang'anywa uraia kama alipata uraia kwa kuomba na siyo kwa kuzaliwa.Uraia wa kuzaliwa[Citizenship by birth]haiwezi kunyang'anywa na mtu yeyote hata Rais wa nchi.Wadau naomba mnisaidie kujibu hilo swali Tafadhali.
Nakumbuka mwandishi nguli Ulimwengu yalishamkuta hayo.
Na ukishan'ganywa uraia, je, unapewa Pesa ya kukuwezesha kusafiri kwenda nchi yoyote kuomba hifadhi kwa maana ya ukimbizi!?
Kwa mtu ambae mzazi wake mmoja ni raia na mmoja si raia huyo mtoto uraia wake unakuaje?
mtu anaweza kunyang'anywa uraia kama alipata uraia kwa kuomba na siyo kwa kuzaliwa.Uraia wa kuzaliwa[Citizenship by birth]haiwezi kunyang'anywa na mtu yeyote hata Rais wa nchi.
Kwa nchi nyingi uraia wako ni wa ile sehemu uliyozaliwa, na mazazi mmoja akiwa raia wa nchi ile, inamaana unachukua uraia wa mzazi alie raia. Sina uhakika na sheria za Tanzania zikoje kwenye hili, wajuzi tuelewsheni.Kwa mtu ambae mzazi wake mmoja ni raia na mmoja si raia huyo mtoto uraia wake unakuaje?