mansolata
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 502
- 319
Lengo wapate korosho za bure....kwa kigezo cha kutaifisha.....toka lini serikali ikafanya biasharalengo la kufanya hivi ni nini mkuu? mbona kila kukicha kuna jipya linazuka hahahahahah
Lengo wapate korosho za bure....kwa kigezo cha kutaifisha.....toka lini serikali ikafanya biasharalengo la kufanya hivi ni nini mkuu? mbona kila kukicha kuna jipya linazuka hahahahahah
Wazo zuri sana hl....namshauri dogo alie TandaimbaMbona jambo rahisi sana unafunga ndoa na mabiti 3 ambao wazazi wana mashamba ya korosho alafu kila 1 unamgeia kiasi na ww unabaki na kiasi mnaenda kupima.
hii theory yako si salama kwa mkulimaMkulima anatakiwa kupata pesa kupitia vyama vya msingi na sio MTU binafsi
Kama shamba ni la heka mbili na wewe Una magunia 300 itakuajeRahisi..unambwagia tu mwenye shamba anazimiliki zote..mnahesabiana..pesa ikitoka anakupa chako
mansolata; mshauri afanye hivo na sasa hiv ndo muda wa ndoa zenyewe zinaaza wenye kuongeza wake hayaa wanye kutaliki na kukamata chombo kipya hayaaa. Tena unakuta wazee engine wanakugawieni na magunia mengine ya korosho mkaanzie maisha.Wazo zuri sana hl....namshauri dogo alie Tandaimba
kweli mwafrika tena awe masikini ni kiumbe chenye roho mbaya sana duniani!!!sasa wewe unalofurahia hapo ni nini?hizo korosho wameziiba?wewe waulize wakulima a kahawa walivyoanza kuhaha na bado mapema kwa kujifanya wanawadhurumu wale watu waliokuwa wanawakopesha fedha kipindi wakisubili kuvuna kahawa,za kulipia karo na kutengeneza mashamba!!hizo buku buku walizolipwa zimewafikisha wapi??Ndugu wale wadau wa kangomba chukua hii...
Km ulinunua korosho kuanzia tani3 jiandae kuonyesha shamba lako...
Huu ndio msimamo wa serikali...imegundulika korosho nyingi si za wakulima halisi..
Uhakiki umeanza Jana na majina yatabandikwa
korosho nyingi zitakimbiwa na wenyewe...wale walionunua kwa magumashi bp juu juu.
Kikubwa andaa mipango mapema kaonyeshe shamba mwenyekiti wa mtaa na majirani lazima wathibitishe
Na km ulikodi shamba lazima uonyeshe mkataba wa kukodi shamba.
NB: Mh Rais najua unapita jf komaa pia kuna majina hewa yanaandaliwa na viongozi wa vyama vya ushirika,ukikaza utalipa tani laki1 tu zingine utazitaifisha kwa manufaa ya umma.
Nakukumbusha kuna majina hewa ya malipo...
Gama huyo IKIRIRI hajui tabu na maisha magumu anayopitia mkulia baada ya msimu. Mf hao wa korosho siku 1 aende kutembea Tandahimba, Nanyamba, Newala, Mahuta, Kitaya nk kuanzia mwzi wa 3 mpk 9 alafu aje akupe jibu hapa. Wengine wanaongea sababu wapo mijini au maofisini hawajui shida anazopata mkulima. Hata eao hawapendi kuuza kg 1 kwa 1500 - 2000 ila tu inawalazimu. Kama mtu unapima korosho mwez wa 9 alafu unalipwa January kwa hiyo 3000 - 3500 @kg na chomachoma unampimia na anakulipa 2000 yako hapo hapo si bora umuuzie chomachoma ufanye mambo yako.hii theory yako si salama kwa mkulima
Inabdi sahv wawafate nao wakulima waseme nao khsu korosho hzo....mkulima naona sahv Kawa mjanja kwa mtu wa kati[emoji23] [emoji23]Simpo tu kama umenunua kwa mkulima si lazima umawauzie serikali,unabangua unauza.
Mrangi kwa mfumo wa malipo ya stakabadhi ghalani mkulima bado hana huo ujanja nakwambia.Inabdi sahv wawafate nao wakulima waseme nao khsu korosho hzo....mkulima naona sahv Kawa mjanja kwa mtu wa kati[emoji23] [emoji23]
Ova
Ok....nielemishe zaidi mkuu hpoMrangi kwa mfumo wa malipo ya stakabadhi ghalani mkulima bado hana huo ujanja nakwambia.
ok shukrani kwa kunijuza nilikuwa sijuwi maana yake kwa hiyo walanguzi ndo wenye korosho kwa sasa na sio wakulima halisi daah hii nchi kumbe mheshimiwa alivyokuwa anawatetea wakulima kumbe tayari kulikuwa na walanguzi wana korosho ndani.
lakini sio matarajio, watu wajiandae kuzimia hukoMbona jambo rahisi sana unafunga ndoa na mabiti 3 ambao wazazi wana mashamba ya korosho alafu kila 1 unamgeia kiasi na ww unabaki na kiasi mnaenda kupima.
Hahaha!! yawezekana Princelakini sio matarajio, watu wajiandae kuzimia huko
hahhahaahahhhaHivi korosho zina matumizi mengine zaidi ya kutafunwa!?
Maana naona segere la korosho haliishi