Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Ndio hivo tena mkuu. Si unajua uelewa na umaskini wa wananchi wetu. Unampa buku kwa kilo kwasababu ya njaa zake wewe unapiga 3,300ok shukrani kwa kunijuza nilikuwa sijuwi maana yake kwa hiyo walanguzi ndo wenye korosho kwa sasa na sio wakulima halisi daah hii nchi kumbe mheshimiwa alivyokuwa anawatetea wakulima kumbe tayari kulikuwa na walanguzi wana korosho ndani.