Haya mambo mnayakuza saaanaa , kwa mtu ambaye haelewii amekaa tu huko mjini anaona haya mambo mtandaoni na alinunua kangomba kumtuma mtu, anaweza kufa kwa presha...
Uhakiki kweli upo na kabla msimu hujaanza yaliandikwa majina ya wakulima wote na kupelekwa kwa afisa ushirika na mkuu wa mkoa ili kuwajua wakulima na ukubwa wa mashamba yao...
Uhakiki siyo tani 3 kama unavyodai mtoa uzi,,,,
Kwa mfano cheti kimoja kikiwa na kg nyingi mfano tani 10 hapo watakuhakiki kujua kweli za shambani kwako au laaa!!!!!
Sasa tani si karibu wakulima wote wanapata tani 3....
Mkulima ambaye anapata korosho shambani kwake gunia mbili tatu hawezi kupeleka ghalani anachofanya anaziuza tuu, wengi wanaopeleka ghalani ana zaid ya tani moja wastani....