Korosho za kangomba mwaka huu zitaua MTU...

Korosho za kangomba mwaka huu zitaua MTU...

Korosho sio bidhaa haramu. Sio bangi wala mirungi. Ni bidhaa inayonunulika na kuuzika kama bidhaa nyingine. Acheni kuhenyesha watanzania wanaojitafutia kipato kwa njia halali. Otherwise wapelekeni mahakamani tujue jinsi ya kuwasaidia. Kila raia mwema ana haki ya kufanya biashara. Kwa nia njema ya kuwasaidia wakulima, mh Rais alilipa Jeshi majukumu ya kununua korosho iliyododa, Lakini sio majukumu ya kusimamia biashara ya korosho na wala sio kuharamisha biashara ya korosho.
Majukumu ya kusimamia biashara zote (ikiwemo ya korosho) yanabaki chini ya wizara ya viwanda na biashara.
Otherwise, tutamuomba tena muheshimiwa atoe guidline kuhusu majukumu ya vyombo vya dola/ wanajeshi na mipaka yao, pia, kuhusu uhalali wa wachuuzi wa ndani katika kufanya biashara hii ya koroshow ili wananchi wasizidi kuonewa.
 
Korosho sio bidhaa haramu. Sio bangi wala mirungi. Ni bidhaa inayonunulika na kuuzika kama bidhaa nyingine. Acheni kuhenyesha watanzania wanaojitafutia kipato kwa njia halali. Otherwise wapelekeni mahakamani tujue jinsi ya kuwasaidia. Kila raia mwema ana haki ya kufanya biashara. Kwania njema ya kuwasaidia wakulima, Raisi alilipa Jeshi majukumu ya kununua korosho iliyododa, Lakini sio majukumu ya kusimamia biashara ya korosho na wala sio kuharamisha biashara ya korosho.
Majukumu ya kusimamia biashara zote, yanabaki chini ya wizara ya viwanda na biashara.
Otherwise, tutamuomba tena muheshimiwa atoe guidline kuhusu majukumu ya vyombo vya dola/ wanajeshi na mipaka yao, pia, kuhusu uhalali wa wachuuzi wa ndani katika kufanya biashara hii ya koroshow!
Lazima uhakiki ufanyike kuna majina hewa,pia walanguzi wa korosho lazima washughulikiwe...
 
Lazima uhakiki ufanyike kuna majina hewa,pia walanguzi wa korosho lazima washughulikiwe...
Biashara zote kubwa duniani zinaendeshwa na speculators ambao huku tunawaita walanguzi. Hawa kazi yao ni ku take market risks and returns. Wengi wao wanatumia futures and options kama financial instruments. Sasa sijui kwa nini huku iwe ni shida au biashara haramu!
What is the difference between options and futures?
 
Kangomba kama sijakosea ni wale wanaonunua mazao yakiwa shambani kwa bei ndogo kisha wanauza kwa bei kubwa. Yaani wanalalia wakulima. Sio tafsiri rasmi ila tafakuri tu.
Kangomba ni kifaa kama kikombe ila chenyewe ni kikubwa mno, kinaweza kuchukua kg 1.5-2 za korosho ghafi! kwaiyo mfanya biashara anawafuata wakulima huko mashambani anawalaghai wanamuuzia kwa kangomba moja/ kg 1.5-2 kwa Tsh 1000-1500 ye anakuja kuuza ghalani 3000+ kwaiyo mtu kati/middle man ana uhakika wa kutengeneza hela kubwa kuliko mkulima ndiyo maana ilipigwa marufuku.
 
Biashara zote kubwa duniani zinaendeshwa na speculators ambao huku tunawaita walanguzi. Hawa kazi yao ni ku take market risks. Wengi wao wanatumia futures and options kama financial instruments. Sasa sijui kwa nini huku iwe ni shida au biashara haramu!
Ni haramu coz kuna taratibu ziko wazi za kukusanya na kuuza korosho,km unataka kununua korosho subiri mnada,utanunua then vyama vya msingi vinalipa,mkulima hatakiwi kupokea pesa kutoka kwa mfanyabiashara
 
Ndugu wale wadau wa kangomba chukua hii...
Km ulinunua korosho kuanzia tani3 jiandae kuonyesha shamba lako...
Huu ndio msimamo wa serikali...imegundulika korosho nyingi si za wakulima halisi..
Uhakiki umeanza Jana na majina yatabandikwa
korosho nyingi zitakimbiwa na wenyewe...wale walionunua kwa magumashi bp juu juu.
Kikubwa andaa mipango mapema kaonyeshe shamba mwenyekiti wa mtaa na majirani lazima wathibitishe
Na km ulikodi shamba lazima uonyeshe mkataba wa kukodi shamba.

NB: Mh Rais najua unapita jf komaa pia kuna majina hewa yanaandaliwa na viongozi wa vyama vya ushirika,ukikaza utalipa tani laki1 tu zingine utazitaifisha kwa manufaa ya umma.
Nakukumbusha kuna majina hewa ya malipo...

Halafu akisema hii nchi imevurugwa kila kona wale jamaa wa upande wa pili wanahamaki.
 
Ni haramu coz kuna taratibu ziko wazi za kukusanya na kuuza korosho,km unataka kununua korosho subiri mnada,utanunua then vyama vya msingi vinalipa,mkulima hatakiwi kupokea pesa kutoka kwa mfanyabiashara
Kama ndio hivyo, basi nchi yetu bado haijawa na soko huria. Na kwa mtindo huu ndio maana matatizo kwenye biashara ya mazao ya biashara kama kahawa na korosho hayatokaa yaishe kamwe mpaka hapo kutakapokuwa na soko huria. Nyie mnaweka minada, wanunuzi wanaweka Cartels na kupanga bei ndogo. Unategemea nini hapo? That's why we are here. The methodology and models of coroshow business is long outdated if that is the case!
 
Kangomba ni kifaa kama kikombe ila chenyewe ni kikubwa mno, kinaweza kuchukua kg 1.5-2 za korosho ghafi! kwaiyo mfanya biashara anawafuata wakulima huko mashambani anawalaghai wanamuuzia kwa kangomba moja/ kg 1.5-2 kwa Tsh 1000-1500 ye anakuja kuuza ghalani 3000+ kwaiyo mtu kati/middle man ana uhakika wa kutengeneza hela kubwa kuliko mkulima ndiyo maana ilipigwa marufuku.
Neno kulaghai linatoka wapi tena?
 
Hivi korosho zina matumizi mengine zaidi ya kutafunwa!?
Maana naona segere la korosho haliishi
 
Duh kwahiyo hatununui mpaka muuzaji ajulikane ukituma agent akakuchukulie mtonyo wako ni kosa? Kuna shida sehemu lazima
 
Hivi hii ni kukomoa au kufanya watu kuwa masikini kwa lazima na wafirisiwe?? Nia ya serikali ni njema ila unapoanza kukomoa watu hapo ndio tatizo
Wewe una akili sana, asilimia kubwa ya korosho itaporwa kwa watu walionunua kwa wakulima, watatishwa na kusingiziwa walanguzi na wahujumu uchumi, hivyo serikali na jeshi itaokoa hela nyingi ilizopaswa kulipa watu wa korosho MUNGU INUSURU HII NCHI..watu watakuwa maskini wa kutupwa na hapo ndio itakuwa furaha ya watawala..Ni rahisi mno kuwatawala watu maskini..
 
Back
Top Bottom